Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
wachunge ng'ombe huko kwa utulivu huu sio muda wa porojo,
Wananchi hawataki braa-braa
Wananchi hawataki braa-braa
Ukanda ni sumu kubwa sana iliyoingizwa nchini na CHADEMA. Nyerere alijitahidi kujenga nchi kama kitu kimoja, lakini hii issue ya Ukanda ililetwa na CHADEMA. Mleta mada yuko sahihi: ukisema wasukuma unajikuta umechanganya siyo wasukuma tu, bali hata washashi, wanyantuzu, wanyamwezi, wakunenge na wasumbwa! Hiyo ni block kubwa sana ya kura. Katika mgawanyo sawa wa madaraka, siyo jambo la ajabu kukuta watu hao ni wengi kwenye madaraka.
Na una citation yoyote ya ku prove hoja yako kwamba chama cha chadema kimeleta ukanda maana kama mnajifariji fulani hivi. Maana huyo late ndio aliyeanza mambo ya ukanda.na ujiulizi kwanini utawala wa bwana yule mambo ya topic za ukabila ,ukanda zimeshamiri ...embu kuwa mkweliUkanda ni sumu kubwa sana iliyoingizwa nchini na CHADEMA. Nyerere alijitahidi kujenga nchi kama kitu kimoja, lakini hii issue ya Ukanda ililetwa na CHADEMA. Mleta mada yuko sahihi: ukisema wasukuma unajikuta umechanganya siyo wasukuma tu, bali hata washashi, wanyantuzu, wanyamwezi, wakunenge na wasumbwa! Hiyo ni block kubwa sana ya kura. Katika mgawanyo sawa wa madaraka, siyo jambo la ajabu kukuta watu hao ni wengi kwenye madaraka.
Maswala ya Kanda ya Kaskazini Vs Kanda ya Ziwa limetokea CHADEMA ndipo likaenea. Hata sera yao ya majimbo ni kutokana na hilo la ukanda! Hilo halihitaji proof ya aina yoyote: not by induction nor by contradiction nor by construction nor by contraposition nor by anything else! It is obvious.Na una citation yoyote ya ku prove hoja yako kwamba chama cha chadema kimeleta ukanda maana kama mnajifariji fulani hivi. Maana huyo late ndio aliyeanza mambo ya ukanda.na ujiulizi kwanini utawala wa bwana yule mambo ya topic za ukabila ,ukanda zimeshamiri ...embu kuwa mkweli
mi siungi mkono hili ila kwa unachofanya wewe ni kuchochea zaidi moto. Hao watu wapuuzwe tu na hili litapitaLimeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Wanataka kujisahaulishausisahau ni katika term hii ambapo watu wakiona mtu mwenye asili ya kwao kapata uteuzi, wanaona ni neema imewashukia
pathetic, sijui tumefikaje huku
Na ukimsoma mleta mada between the lines utagundua anajifariji fulani hivi... Na pia anataka kutuaminisha hiyo kanda aliyoitaja kwamba ni kura ya turufu wote ni wa mrengo wa left wings (ccm)... Kitu ambacho yeye binafsi hana uhakika nacho by any means.Mtoa post umeandka UTOPOLO wa kiwango cha SGR
usisahau ni katika term hii ambapo watu wakiona mtu mwenye asili ya kwao kapata uteuzi, wanaona ni neema imewashukia
pathetic, sijui tumefikaje huku
Apo kweli amechemka mkuu[emoji23][emoji23]Na ukimsoma mleta mada between the lines utagundua anajifariji fulani hivi... Na pia anataka kutuaminisha hiyo kanda aliyoitaja kwamba ni kura ya turufu wote ni wa mrengo wa left wings (ccm)... Kitu ambacho yeye binafsi hana uhakika nacho by any means.
Mwendazake kapambana sana kilimanjaro mwishowe kaiacha na roho yake mbaya... aliyepewa kapewaAcha kukwepesha maneno watu hao wenye chuki ni wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro na baadhi wa arusha..
Kuna uwezekano kabila hilo lina laana...
Kaiacha na nini? Udongo mwekundu ndio mnajivunia?Mwendazake kapambana sana kilimanjaro mwishowe kaiacha na roho yake mbaya... aliyepewa kapewa
Na ni wachaga ndio wanaoletaga hii mijadala.Nasikitika sana kuona mijadala ya siasa za kikabila.