Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Dunia Mapito. Wanasema wahenga uwe mwema Kwa Watu unapopanda Ngazi kuelekea juu. Waweza kutana nao unaposhuka Chini na wao Wakipanda. Yaani mpaka Yesu arudi haitatokea tena nafasi hiyo huko.
 
Sensa iliyopita ilionesha wasukuma ni wengi kuliko makabila yote kwa idadi, wakifuatiwa na Waha ambao nao pia walikua wengi kwawidadi
Sensa gani hiyo ilikuwa inauliza watu makabila yao?
 
Dhana ya hovyo kabisa. Ebu tuletee daftari la wapiga kura hapa tuone. Bila shaka Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi kuliko pengine popote. Hata hivyo kuleta hoja ya namna hii hasa wakati huu ambao tumeondokea na raisi msukuma ni dhahiri kwamba kuna watu wengi walikuwa kwenye mgongo wake kwa sababu ya usukuma. Huu ndio ukabila wenyewe. Magufuli hili ni jambo moja baya sana aliloliacha na ni bahati mbaya kwamba itachukua muda mrefu kutibiwa.
Kwa nini wanaocomplain sana ni wachaga tu? Mbona wanyakyusa kabila kubwa ila wamechill tu...
Wachaga wana uspesho gani?
 
Kawadanganye Wasukuma siasa za Afrika hamna mpiga kura anayeamua fulani awe Rais.wapiga kura wote wanaidhinisha tu aliyechaguliwa na MTU au kundi LA watu.
 
Nyerere alitaka Mkapa awe Rais, na ikawa hivyo.

Mkapa alijua fika atakaye mrithi ni Kikwete,na ikawa hivyo.

Kikwete alikuwa na Jina la Magufuli mfukoni,na ikawa hivyo.

Labda uniambie Nyerere,Mkapa na Kikwete ni wasukuma-sababu waliamua nani awe Rais wa Tanzania.
 
Ubaguzi wa kikabila haufai na kiongozi yeyote anayeanzisha ubaguzi hata kwenye teuzi anaondoka kabla ya muda, Watanzania tuangaliane kwa utanzania na sio ukabila
 
Nyerere alitaka Mkapa awe Rais, na ikawa hivyo.

Mkapa alijua fika atakaye mrithi ni Kikwete,na ikawa hivyo.

Kikwete alikuwa na Jina la Magufuli mfukoni,na ikawa hivyo.

Labda uniambie Nyerere,Mkapa na Kikwete ni wasukuma-sababu waliamua nani awe Rais wa Tanzania.
Hayo makabila yenyewe wamefanya DNA tests kujua baba zao halisi?
 
Ondoa upuuzi wako. Hakuna swali la kabila wala dini kwenye sensa ya 2012.
Sensa iliyopita ilionesha wasukuma ni wengi kuliko makabila yote kwa idadi, wakifuatiwa na Waha ambao nao pia walikua wengi kwawidadi
 
Ngosha mwenzangu Tanzania ni yetu sote si ya wasukuma kwa kua tuko wengi ....Hata watani zangu Wandengeleko wako wachache ni ni watanzania hebu omba wafute huu uzi usilete ukabila.Harafu mbona sisi wasukuma hatuna shida na mtu wingi wetu sisi tunautumia kufanya kazi sio kutishia wengine.Futaga ngosha [emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma niliwaona wa maana sana but kwa sasa hata hawanishawishi kuwapenda. Washamba sana
Hakuna mtu nde.zi kama wewe!!!


Wasukuma wanataka wapendwe na wewe ili iweje sasa!!!

Kama umeona mapungufu kwa mtu mwambie yeye kama yeye, Mambo ya kubeba kabila zima huo ndio Ushamba Kwahiyo wewe ndio mshamba kuliko hao unaowasema!!!


Nywanoko bhe!!!
 
Wasukuma waashie kuwa subordinates kwenye top leader aise hapana. Ni wakabila mno sema kama hauo makini huwezi ligundua hilo the same nyakyusa ana chagga .
 
Back
Top Bottom