Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Sijui kama itakuja itokee mwenzenu apendekezwe kwenye u supreme leader na kupitishwa!

Mmeshastukiwa! [emoji4][emoji4]

Ujinga wakati wa kwenda [emoji108] kurudi werevu! [emoji108]
 
Mikoa wanatoishi wasukuma wengi Mwanza, Simjui, Shinyanga, Geita , Tabora mikoa hii mtano ni kabila moja , ukiacha wasukuma wa morogoro ifakara huko, katavi huko, mbeya chunya ni ukweli kura hasa ushindi ya urais huamuliwa kanda ya ziwa hilo halipingiki lakini haina maana tuunge mkono ukabila hapana hapana
Wanaojitambua ni wangapi?
 
Seriously!! Hili taifa halijaendelea kwa sabb halijagawanyika...

Now our nation key success factor, ni kupromote mgawanyiko...

My fellow Tanzanians lets not fall to this damn dirty trap...

We are already falling ndugu yangu

Nyerere hakuwa mjinga kuiacha Butiama vile
Binafsi sijaona mabadiliko makubwa sana katika distribution ya madaraka. Ni kwa vile watu tulianza kuhoji makabila ya watu jambo ambalo zamani tulikuwa hatufanyi.
hata roma haikujengwa kwa Siku moja brother. Kila tabia hujengwa na kukua taratibu hadi kuwa kitu hatari. Tuombe Mungu tusifike huko mkuu
 
Wasukuma wanao uwezo wa kuamua nani awe Rais wa nchi hii na si vinginevyo.Hii sumu ya ukabila naomba ipenye hadi vijijini kila mtu awe anapigia kura mtu wa kabila lake na nadhani ndio utakuwa mwisho wa upumbavu huu. Natamani sana tuwe kama Kenya, huko hakuna sera, sera yako kipindi cha uchaguzi ni kabila lako full stop,hakuna cha elimu bure,ajira wala nini sera ni kabila lako tu. Huu ujinga ndio unaoamsha watu na siku moja asilaumiwe mtu
 
Twende tu kwenye ukabila tufute na haya mavyama, chama cha mtu iwe kabila lako, kama wewe ni msukuma unayegombea urais upigiwe kura na wasukuma wenzako na kama wewe ni mchaga wachaga wenzako wakupugie kura, hiyo trend ndio inayokuja kutokea.Tutaona nani ata take advantage.Kenya inaongozwa na Wakikuyu na itazidi kuongozwa na hao watu kwa sababu tu ya hizi elements za ukabila, ninachokiona ndicho kitakachotokea Tanzania kwa sababu ya huu ufala,hii tabia na iendelee hasara itakuwa kwa makabila madogo
 
Nisaidie kumpa pole,mana anaonekana kaandika kama hajaenda shule kabisa. Kwanini asingefanya utafiti kwanza?
Wasukuma wanakadiriwa kuwa zaidi ya 6ml lakini walioenda shule hata 10% hawafiki.

Kanda ya ziwa wahaya ni wachache kuliko nyie lakini wengi wameenda shule.
Akili zenu sijui hua mnaacha wapi.
Unazani wasukuma hawajasoma shule?.
Wasukuma ni wengi na wasomi pia wengi.
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Hakuna kabila lenye uwezo wa kusimama lenyewe bila kutafuta influence ya kabila jingine. Wasukuma ni zaidi ya makabila yote mengine yote yakiungana ?

Wasukuma ni watu wema, wakarimu na wachapakazi lakini Magu amewatumia kupanda mbegu mbaya sana.
 
Wasukuma ni wengi mno ukiacha mikoa ya Mwanza,Simiyu,Shinyanga,Geita na Tabora.Wapo wengi mno Mara, Katavi,Rukwa,Morogoro na Zanzibar.Uwingi wao wakiutumia kwa hii kiki ya ukabila mmmmh itakuwa majanga aisee
 
Twendeni kwenye ukabila tu tuachane na haya mavyama
 
Acha kukwepesha maneno watu hao wenye chuki ni wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro na baadhi wa arusha..
Kuna uwezekano kabila hilo lina laana...
ACHENI UKABILA SISI SOTE NI NDUGU WATOTO WA BABA MMOJA ALIYE JUU SANA MUNGU
 
Unadhani watu wana shida na wasukuma? Wana wana shida na madaraka na ulaji. Unakuta anayechukia wasukuma mtandaoni au kwenye siasa, ana marafiki kibao wa kisukuma.
Socual cohesion ya nchi hii ni imara sana.
Na intermarriage imeenea sana. Mimi nawapa jirani zangu wa Kili changamoto lkn ukweli ni kwamba hakuna kabila nina marafiki wengi na wa ukweli kama wachagga. Halafu wameoa ndugu zangu(Wairaq na Wameru) na ndugu zangu wamewaoa wachagga. Kwa hiyo chuki za kikabila nchi hii haziwezekani tena.
 
Halafu lingine la kulifahamu ni kwamba wapiga kura wa nchi wengi wao sio wale wanaojua what actually meant by "political power". Wanapiga tu kura kwa ajili ya huyo kiongozi aliyeletwa na sisiem na kupigiwa kampeni baaaaassiiii.
 
Atleast Mama Samia anajua kubalance hata teuzi anachukua bara anachukua visiwani, majina ya waislamu yanaonekana kwenye teuzi na majina ya wakristo yapo vile vile hatutaki mambo ya majina ya kanda moja ndio yanatokea kila teuzi hapana hata mkiwa wengi lazima kasungura kagawiwe kalivo kwa watu wote kila mmoja apate
Wewe unachanganya mambo sasa,wenzio wapo kwenye mada ya ukabila wewe ushachepuka kwenda kwenye dini.
 
We are already falling ndugu yangu

Nyerere hakuwa mjinga kuiacha Butiama vile
hata roma haikujengwa kwa Siku moja brother. Kila tabia hujengwa na kukua taratibu hadi kuwa kitu hatari. Tuombe Mungu tusifike huko mkuu
Ndugu yangu, nini kifanyike?

Doing nothing is not an option.
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Kabisa,waache watakuja tutawakomesha na vyama vya kikabila

Hawajui kwa nini kule South Africa ni kabila la Zulu pekee ndo lina nguvu,ni kwa sababu ni wengi na wana mfalme wao anaye tambulika kiserikaki,ukienda kuwaambia chochote hata cha serikali kama ni jambo linalo husisha jamii yao kubwa ni mpaka chief wao aseme ndiyo watatii

Katika msiba wa mzee nimeona ukanda wa wazi wazi kutoka kwa wakaskazini maana mimi ninafanya kazi huku,watu wakitukana marehemu na kumfedhehesha kisha kutukana kabila lote la Sukuma

Kuna nyakati iwapo kitu hiki hakitatoweka watu mtakuja kuingia Sukuma land kwa passport
 
Back
Top Bottom