Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Hili tatizo lilianza kwa viongozi huko juu . kupandikiza chuki za ukanda...sasa tatizo limeanza kuonekana kwenye jamii ndio maana ume observe ukaleta hii mada. Kwa watalaam wa maswala ya sayansi ya jamii wanaita tragedy of the commons.
Na pia kuna sense inaniambia wewe utakuwa mtu wa kanda ya ziwa kwa hiyo hii mada umeleta technically kwa maslahi yako fulani fulani hivi. Na unavyosema kwamba sijui kanda ya ziwa ni kura ya turufu..una uhakika gani hiyo kanda yote ni ccm?
Halijaanza juu acha upuuzi,tunakaa huko mitaani sisi kama watanzania na tunaonana mitaani nani yuko hivi na nani yuko vile wa kabila gani..We unataka kuleta mboyoyo tu hapa
 
Dhana ya hovyo kabisa. Ebu tuletee daftari la wapiga kura hapa tuone. Bila shaka Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi kuliko pengine popote. Hata hivyo kuleta hoja ya namna hii hasa wakati huu ambao tumeondokea na raisi msukuma ni dhahiri kwamba kuna watu wengi walikuwa kwenye mgongo wake kwa sababu ya usukuma. Huu ndio ukabila wenyewe. Magufuli hili ni jambo moja baya sana aliloliacha na ni bahati mbaya kwamba itachukua muda mrefu kutibiwa.
Huna akili timamu na haujui waTanzania wamefikia wapi hapa nchini hasa wa kanda ya Arusha na Kilimajaro

Huku Mwanza kamuulize Wenje kilicho mpata baada ya chama cha CHADEMA kujionyesha kua ni cha kikanda,alipogombea na Mabula ambaye ni Msukuma binafsi nilipita ktk vituo vya kura na ukitazama majina,kila Msukuma alienda kupiga kura kwa Mabula

Wasukuma hata siku moja hawanaga kumbagua mtu isipokua ukanda na ukabila umesababishwa na CHADEMA hii ya wapiga kelele wafia dili.

Ukitamka vyama vingine vyote vya siasa hasa CCM unaiona nchi nzima,ukitamka CHADEMA unaiona kaskazini,ukitamka CUF unaiona Zanzibar.

Hii haihitaji degree kuelewa.
 
Uzuri hizi ndoto zako haziwezi kua kweli maana rais wa nchi hii hapatikani kwa njia ya sanduku la kura.

Pole sana.
 
Kama kuna mtu bado anawaza ukabila kikabila ukanda kikanda bado tuna safari ndefu sana , what on earth doses kabila do for Developmnet , science, economy etc, shame
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Mimi ni msukuma lakini huu uzi wako ni 🚮🚮🚮
 
Ndugu yangu, nini kifanyike?

Doing nothing is not an option.

Likemewe na watu wawekwe liable ikionekana wanafanya vitu kwa upendeleo wa sehemu zilipotoka

fikiria kwa sasa watu wataanza na teuzi, ikitoka hapo, makabila yenye wingi na nguvu yatataka kuwa na watu wengi serikalini ili wapate favour zaidi ikiwemo kuchukua kiti cha urais.

hivyo, kiini ni favourtism na hiki ndicho cha kudeal nacho
 
Kura za kanda ya ziwa ndio zinaamua mshindi na siku mangosha wakiingia kwenye ushindani wa kimadaraka moja kwa moja itakuwa hatari sana sema uzuri Tanzania tunampigia mtu kura kwa chama si kabila
Kwamba eti kura zao zinaweza kuamua mshindi,hiyo ni dhana potofu, unaeongea hivyo huna takwimu iliyokamilika kua wasukuma ni asilimia ngapi ya population yote ya Tanzania.
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi ukio
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
ukiona mtu anaringia uwingi wa watu kwamba ndio wanaoamua kura, ujue akili yake ni kama ya ng'ombe. huna akili kabisa. hatutaki ukabila, na cha muhimu sio uwingi wenu, ni akili kichwani. wewe sasa ndio unaounga mkono wanao instigate ukabila nchini, na kwa taarifa yako, hauna akili.
 
Sasa mnavyoshinda mnawatukana humu mnadhani wanafurahia?
Hawa mnatukana kesho mtakuja kuwaomba kura hivi mnafikiri wao ni mafala sana au?

Kenya ndio trend,mtu wenu ndio unampa kura,sasa nyie kaeni hapo.

Madharau ndogo ndogo za kuita watu sukuma gang mtaacha.
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Ni jambo lisilopingika wasukuma ni wengi kanda ya ziwa na ndio kabila lenye watu wengi. Uchaguzi 2015 kanda ya ziwa ilikuwa timu Lowasa hadi dakika za majeruhi uliingizwa ukabila sijawahi kuona unaingiza mmasai ikulu ili hali mnajua ndio wezi wa mifugo yetu mnafikili akipita hali itakuaje sumu hyo ilisambazwa kwa kuzingatia wingi wa wasukuma lowasa alitandikiwa kanga chini Mwanza Mara na baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa, lakini ndio sehemu alianguka sana kwenye uchaguzi
All in all ukabila tusiundeleze maana hawa watu hawana nguvu ya ushawishi ila wananguvu ya wingi ni vile asilimia kubwa ya wasukuma ni watu wa kutokujali na hawana chuki ni baadhi ya watu wachache ndio wanatumia usukuma vibaya
Maana kwa wingi wa kabila la wasukuma ingekuwa ni watu wenye chuki na kuhitaji nyazifa za juu wangezipata maana kwa wingi wao lazima wawe na wasomi wengi, jeshini wapo wengi ni interest yao
Na ukisema wasukuma huwezi kuacha makabila mengine ya kanda ya ziwa maana wote wana tabia moja kuanzia Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyaga , Tabora.

Ukabila tuupige marufuku haufai
 
Halafu lingine la kulifahamu ni kwamba wapiga kura wa nchi wengi wao sio wale wanaojua what actually meant by "political power". Wanapiga tu kura kwa ajili ya huyo kiongozi aliyeletwa na sisiem na kupigiwa kampeni baaaaassiiii.
uko sahihi nahisi kuna mbinu ya kijasusi inapandwa tokea nje hasa baadhi ya nchi jirani ubaya wetu tunadhani mtu akiandika kiswahili akajiita Mchaga na anatukana Wasukuma ni Mchaga kweli, nadhani walifanya homework wakaona candidate wa hilo ni hayo makabila mawili ,lakini historia inaonyesha kuwa makabila hayo yalikuwa na ushirikiano tangu enzi za Sukumaland Federation kwa nini iwe sasa na hata tukisema tutawale kwa ukabila japo kwa mwaka mmoja kwa kabila ina maana kuwa itachukua miaka120 kwa mzunguko mmoja hiyo ina maanisha kuna wengi watakufa bila kuona kabila lao linatawala kifupi ukabila leo ni upuuzi ambao wafrika umekuwa kikwazo kikubwa leo sudani mamia wameuana kwa ukabila huku wageni wakibeba rasilimali
 
Sisi Wasukuma Wanyamwezi/Wanyanyembe Nyantuzu Zinza nk.ni asilimia 50% ya Raia wa Jamhuri hii tukufu ila Ukabila kwetu ni Mwiko
 
Back
Top Bottom