Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Kwani DAR hakuna wasukuma ?
Dhana ya hovyo kabisa. Ebu tuletee daftari la wapiga kura hapa tuone. Bila shaka Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi kuliko pengine popote. Hata hivyo kuleta hoja ya namna hii hasa wakati huu ambao tumeondokea na raisi msukuma ni dhahiri kwamba kuna watu wengi walikuwa kwenye mgongo wake kwa sababu ya usukuma. Huu ndio ukabila wenyewe. Magufuli hili ni jambo moja baya sana aliloliacha na ni bahati mbaya kwamba itachukua muda mrefu kutibiwa.
 
Mkioa mitatu ? Mwanza, Geita, Simiyi, Shinyanga, Tabora, Katavi na Wilaya ya Bunda karibu yote. Wewe unasema mikoa mitatu ?
Tatizo hata history hamfatilii..wasukuma wako mikoa 3...nieleze kuna kabila gan limetawanyika mikoa mi3? Ofcourse idadi kubwa iko huko..ila kjsema majority ni ccm sidhani
 
Potelea mbali wasukuma wameingia Ikulu kwa hiyo miaka mitano. Je, wachagga, wahaya na wanyakyusa wataigusa Ikulu ?
Sijui kama itakuja itokee mwenzenu apendekezwe kwenye u supreme leader na kupitishwa!

Mmeshastukiwa! [emoji4][emoji4]

Ujinga wakati wa kwenda [emoji108] kurudi werevu! [emoji108]
 
Mkioa mitatu ? Mwanza, Geita, Simiyi, Shinyanga, Tabora, Katavi na Wilaya ya Bunda karibu yote. Wewe unasema mikoa mitatu ?
Katavi sio asili yetu huko tumelowea tu..bas kama ni hivyo weka na Ifakara..maana had mjini unaongeleshwa kisukuma
 
Ni wengi lakini hawazidi 25% ya waTanzania wote.

Huu ujinga ulikuwepo Kenya eti wakikuyu ni wengi ili ushinde lazima upate kura za Mount Kenya.

Odinga mwaka 2007 akasema makabila yapo 42.... So tukiweza kupata kura za makabila 40 hayo mawili (Wameru-Gikuyu) hayapunguzi chochote.

Na kweli odinga alishinda kwa overwhelming majority ndani ya bunge na kura za Urais.... Of course aliporwa lakini alidhihirisha kwamba kabila moja haliwezi amua Rais.

Haya zimbabwe hyo hoja ilikuwepo lakini Tsvangirai ali defy mwaka 2008!!

Kabila kubwa kuliko yote lakini tuna makabila mengi 120 yenye watu 75% ya nchi nzima. Hayo yataamua Rais
wasukuma siyo zaidi ya milioni 3, wtanzania kwa ujumla wetu ni zaidi ya milioni 60
 
Ndo maana huwezi elewa kuna mikoa mingapi wasukuma wamezaliwa huko...basi nikusaidie tu kiufupi..
Kuna Mwanza,Shinyanga,tabora!yaan hiyo ni general..huwez fananisha waluguru wa mkoa wa Moro na wasukuma...mbingu naardhi..sisi tunajua kuzaliana balaa
aliyependa sana ukabila yupo wapi? endeleeni kusubiria mkoa wa chatu
 
Katavi ndugu yangu toka ukoloni ilikuwa mkoa wa Tabora ni hapo tu ilipelekwa Rukwa mwaka 1974 kuanzisha mkoa mpya wa Rukwa. Ukifika Katavi hutaamini wasukuma ni wengi mno kuliko mikoa mingine waliyohamia. Katavi kwa sasa ni Sukumaland.
Katavi sio asili yetu huko tumelowea tu..bas kama ni hivyo weka na Ifakara..maana had mjini unaongeleshwa kisukuma
 
Katavi ndugu yangu toka ukoloni ilikuwa mkoa wa Tabora ni hapo tu ilipelekwa Rukwa mwaka 1974 kuanzisha mkoa mpya wa Rukwa. Ukifika Katavi hutaamini wasukuma ni wengi mno kuliko mikoa mingine waliyohamia. Katavi kwa sasa ni Sukumaland.
Ohh asante kunielewesha
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Wakiongelea ukabila,jibu ni rahis...say no to it!
Hamna mtu bora zaidi ya mwingine!
 
Likemewe na watu wawekwe liable ikionekana wanafanya vitu kwa upendeleo wa sehemu zilipotoka

fikiria kwa sasa watu wataanza na teuzi, ikitoka hapo, makabila yenye wingi na nguvu yatataka kuwa na watu wengi serikalini ili wapate favour zaidi ikiwemo kuchukua kiti cha urais.

hivyo, kiini ni favourtism na hiki ndicho cha kudeal nacho

Pamoja ndg yangu, lets hope for the best.
 
Jamii gani unayoongelea? Au jamii ya jamii forums? Mbona huku mtaani mijini na vijijini hakuna ukabila wala ukanda watu napiga kazi kama kawaida. Ndiyo maana hii mitandao inaweza kukufanya na wewe ukavimba bichwa kwa maambo ya kijinga kabisa. Kuna members humu wana ID zaidi ya kumi kwa lengo la kussuport mambo yanayoyaona wao ni mazuri ili tu ionekane kwamba hilo jambo wengi wanaliunga mkono. After all JF ina members 5000 approximately na kati ya hao members wengine hawana mlengo wowote.

Sijui hiyo sample size ya utafiti wako huo umeitoa wapi?

THINK TWICE & BIG
Kubishana na humanoid specie kama wewe inahitaji nguvu ya ziada ... Anywa ni ta think twice nawe u think triple
 
Kubishana na humanoid specie kama wewe inahitaji nguvu ya ziada ... Anywa ni ta think twice nawe u think triple
Accepting the truth is a remedy to your health but denying it can damage your health particularly mental health.
 
Nyie makabila 118 mliobaki ndo Mana roho mbaya mlianza na wachaga sasaa wasukuma
 
Back
Top Bottom