Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Wapiga kura wapo zaidi ya millioni 30!nyie wasukuma mpo wangapi mpaka mtishe?hata mkikusanyika Mwanza,Tabora,Simiyu,Katavi,geita,shinyanga,hakuna kitu maana hata hiyo mikoa mipya,ukiongeza wa Chato,ilimegwa kutoka Mwanza na shinyanga,haimaniishi ndio wingi wa watu,TZ ina mikoa 26!sasa nyie watu wa mikoa 4!mnamtisha nani?nakumbuka Bongo sio USA,anaweza akatawala ambaye system/deep state imemtaka,sio sanduku la kura.
Wewe ni kiazi kweli kweli,tena kilichooza usiyejua chochote hapa nchini
 
Sijajua ni wasukuma wepi unaozungumzia mfano huku NTUZU, watu Wana hasira na ccm sijawahi ona, watu watu waliporwa ngombe all the way from Bariadi DC, Itilima, Kisesa, meatu etc, ukienda huko mwanza, geita watu walifilisiwa na kuuawa mchana kweupee ukitaka kujua waulize wavuvi.

Kwanza usishushe heshima ya wasukuma kwamba wao ni ccm yaweza kuwa wewe ni mnufaika wa utawala wa magusuli lakini walio wengi wameumia, pamoja na hayo wasukuma wapo wengi Sana ambao ni wapinzani tena wanajielewa vizuri tu wanafanyiwa kila figisu waisifie ccm lakini walisha goma.
Watu wanazungumzia ukabila na ukanda,unapoingia watu hua wamoja maana wakkpigwa kutoka kanda nyingine,utakubali kuona nduguyo akipigwa na kunyanyaswa?au unaongea tu kufurahisha genge
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Hivi ni wizi wa kura au wingi wa wasukuma ndio kunampa mtu urais?
 
Haya ni maajabu! Mnakimbia kivuli chenu wenyewe?
Ghafla mmekuwa underdogs kwenye ramani mliyoichora?
 
Maswala ya Kanda ya Kaskazini Vs Kanda ya Ziwa limetokea CHADEMA ndipo likaenea. Hata sera yao ya majimbo ni kutokana na hilo la ukanda! Hilo halihitaji proof ya aina yoyote: not by induction nor by contradiction nor by construction nor by contraposition nor by anything else! It is obvious.
Wewe ni Mzee na Mkongwe Humu.. ila kwa Hoja zako hizi Unazeeka Kipumbavu.
 
Wewe ni Mzee na Mkongwe Humu.. ila kwa Hoja zako hizi Unazeeka Kipumbavu.
Kutoa matusi hakufanyi hoja zako ziwe kweli! Watu wapumbavu kama wewe huwa ni wepesei sana kudhani wengine wote wasiokubaliana nao ndio wapumbavu. Jimbo ni kanda; sera za majimbo ndiyo siasa za ukanda zenyewe, na ndiyo chanzo cha kuelekea siasa za ukabila. Elewa hilo.

Mwaka 1971 wakati Nyerere anaweka jiwe la msingi shule ya sekondari Tarime, raia walisema walikuwa hawana shule ya sekondari, kwa hiyo walikuwa wanataka kujenga ya kwao wilayani mwao iwapo serikali haitawajengea. Nyerere akasema kuwa shule yoyote iliyoko ndani ya mipaka ya Tanzania, ni ya Tanzania nzima. Shule itakayojengwa Tarime ni ya Tanzania nzima itapokea watoto kutoka sehemu zote za nchi. Raia walitaka kuleta uwilaya yeye akawafundisha utanzania. Leo chadema wanataka kuturdisha huko.
 
Hakuna mtu nde.zi kama wewe!!!

Wasukuma wanataka wapendwe na wewe ili iweje sasa!!!

Kama umeona mapungufu kwa mtu mwambie yeye kama yeye, Mambo ya kubeba kabila zima huo ndio Ushamba Kwahiyo wewe ndio mshamba kuliko hao unaowasema!!!

Nywanoko bhe!!!
Masukuma majinga sana sasa mbona unamtukana mwenzio kisukuma.
 
Wasukuma wanao uwezo wa kuamua nani awe Rais wa nchi hii na si vinginevyo.Hii sumu ya ukabila naomba ipenye hadi vijijini kila mtu awe anapigia kura mtu wa kabila lake na nadhani ndio utakuwa mwisho wa upumbavu huu. Natamani sana tuwe kama Kenya, huko hakuna sera, sera yako kipindi cha uchaguzi ni kabila lako full stop,hakuna cha elimu bure,ajira wala nini sera ni kabila lako tu. Huu ujinga ndio unaoamsha watu na siku moja asilaumiwe mtu
Mawazo mgando
 
..mwaka 1995 / 2000 chama cha udp, kilichoanzishwa na john cheyo, kilikuwa kinapigwa vita na ccm kuwa ni chama cha kikabila cha wasukuma.

..kipindi hicho pia " kanda pendwa " ilikuwa ni mikoa ya kusini.

..Kabla ccm hawajamtangaza ben mkapa kuwa mgombea wao, wamachinga walikuwa wakimuunga mkono augustino mrema.

..Baada ya ben mkapa kupitishwa na ccm, ikapigwa kampeni ya ukabila, na wamachinga wakamtupa mrema na kumuunga mkono mkapa na ccm.

.." mahaba " kati ya ccm na wasukuma yameanza baada ya magufuli kuwa mgombea kwa ticket ya ccm. Kabla ya hapo watawala wa ccm hawakuwajali wasukuma, bali walikuwa busy kuchota dhahabu kimabavu toka maeneo mbalimbali ya usukumani.

..ccm inapokuwa ktk " mahaba " na kabila fulani, lazima watengeneze kabila " adui, " na katika awamu ya 5 maadui ni ndugu zetu wa...
 
Kabisa
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.

..ccm inakwenda kuunda kabila lingine pendwa ktk awamu ya sita.

..sasa inabidi wasukumu mjipange kama mtakwenda na upinzani, au muendelee na ccm ambako hamtakuwa wapendwa kama wakati wa Magu.

..pia mjiandae kwa mashambulizi toka kwa wana-ccm wenzenu wanaopendwa na utawala mpya. mabaya yote ya utawala wa awamu ya tano lawama zake zitaelekezwa kwa wasukuma.

..wanaofuatilia HISTORIA ya mabadiliko ya utawala / uongozi hapa Tanzania watanielewa.
 
Kutoa matusi hakufanyi hoja zako ziwe kweli! Watu wapumbavu kama wewe huwa ni wepesei sana kudhani wengine wote wasiokubaliana nao ndio wapumbavu. Jimbo ni kanda; sera za majimbo ndiyo siasa za ukanda zenyewe, na ndiyo chanzo cha kuelekea siasa za ukabila. Elewa hilo.

Mwaka 1971 wakati Nyerere anaweka jiwe la msingi shule ya sekondari Tarime, raia walisema walikuwa hawana shule ya sekondari, kwa hiyo walikuwa wanataka kujenga ya kwao wilayani mwao iwapo serikali haitawajengea. Nyerere akasema kuwa shule yoyote iliyoko ndani ya mipaka ya Tanzania, ni ya Tanzania nzima. Shule itakayojengwa Tarime ni ya Tanzania nzima itapokea watoto kutoka sehemu zote za nchi. Raia walitaka kuleta uwilaya yeye akawafundisha utanzania. Leo chadema wanataka kuturdisha huko.
Sawa wachaga ni wasisi wa ukabila, Jiwe badala kuwadhibu, nae akaendeleza ukabila na ukanda
 
Na ni wachaga ndio wanaoletaga hii mijadala.
who told you that?? watu kama nyie mpo brainwashed sana, ukanda sio ishu focus na kazi upatee riziki yako sio ajabu huyo msukuma wenu na wenzako wasukuma walio vitengo hawajawahi kukusaidia hata kula yako lakini unawapigia makofi, DAMN SHIT! What a shame on you poor man.😢😢😉😉
 
Back
Top Bottom