Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Halijaanza juu acha upuuzi,tunakaa huko mitaani sisi kama watanzania na tunaonana mitaani nani yuko hivi na nani yuko vile wa kabila gani..We unataka kuleta mboyoyo tu hapa
Mboyoyo kamwambie mke wa baba yako...
 
NINGEKUWA NA NGUVU KUBWA NINGEFUTILIA MBALI KABILA ZOTE..

ALAFU NINGETUNGA SHERIA KINGUVU
YA "MARUFUKU WATU KUTAMBUANA KIKABILA HATA KUONGEA KIKABILA"
LUGHA NI MOJA TU KISWAHILI

###TYP

OVA
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Wapiga kura wapo zaidi ya millioni 30!nyie wasukuma mpo wangapi mpaka mtishe?hata mkikusanyika Mwanza,Tabora,Simiyu,Katavi,geita,shinyanga,hakuna kitu maana hata hiyo mikoa mipya,ukiongeza wa Chato,ilimegwa kutoka Mwanza na shinyanga,haimaniishi ndio wingi wa watu,TZ ina mikoa 26!sasa nyie watu wa mikoa 4!mnamtisha nani?nakumbuka Bongo sio USA,anaweza akatawala ambaye system/deep state imemtaka,sio sanduku la kura.
 
Sijajua ni wasukuma wepi unaozungumzia mfano huku NTUZU, watu Wana hasira na ccm sijawahi ona, watu watu waliporwa ngombe all the way from Bariadi DC, Itilima, Kisesa, meatu etc, ukienda huko mwanza, geita watu walifilisiwa na kuuawa mchana kweupee ukitaka kujua waulize wavuvi.

Kwanza usishushe heshima ya wasukuma kwamba wao ni ccm yaweza kuwa wewe ni mnufaika wa utawala wa magusuli lakini walio wengi wameumia, pamoja na hayo wasukuma wapo wengi Sana ambao ni wapinzani tena wanajielewa vizuri tu wanafanyiwa kila figisu waisifie ccm lakini walisha goma.
 
Hili tatizo lilianza kwa viongozi huko juu . kupandikiza chuki za ukanda...sasa tatizo limeanza kuonekana kwenye jamii ndio maana ume observe ukaleta hii mada. Kwa watalaam wa maswala ya sayansi ya jamii wanaita tragedy of the commons.

Na pia kuna sense inaniambia wewe utakuwa mtu wa kanda ya ziwa kwa hiyo hii mada umeleta technically kwa maslahi yako fulani fulani hivi. Na unavyosema kwamba sijui kanda ya ziwa ni kura ya turufu..una uhakika gani hiyo kanda yote ni CCM?
Jamii gani unayoongelea? Au jamii ya jamii forums? Mbona huku mtaani mijini na vijijini hakuna ukabila wala ukanda watu napiga kazi kama kawaida. Ndiyo maana hii mitandao inaweza kukufanya na wewe ukavimba bichwa kwa maambo ya kijinga kabisa. Kuna members humu wana ID zaidi ya kumi kwa lengo la kussuport mambo yanayoyaona wao ni mazuri ili tu ionekane kwamba hilo jambo wengi wanaliunga mkono. After all JF ina members 5000 approximately na kati ya hao members wengine hawana mlengo wowote.

Sijui hiyo sample size ya utafiti wako huo umeitoa wapi?

THINK TWICE & BIG
 
Hii nchi in watu zaidi ya milioni 55..hakuna kabila moja linaloweza kuweka raisi....
 
Wasukuma wanao uwezo wa kuamua nani awe Rais wa nchi hii na si vinginevyo.Hii sumu ya ukabila naomba ipenye hadi vijijini kila mtu awe anapigia kura mtu wa kabila lake na nadhani ndio utakuwa mwisho wa upumbavu huu. Natamani sana tuwe kama Kenya, huko hakuna sera, sera yako kipindi cha uchaguzi ni kabila lako full stop,hakuna cha elimu bure,ajira wala nini sera ni kabila lako tu. Huu ujinga ndio unaoamsha watu na siku moja asilaumiwe mtu
Kwani population yavTanzania ipoje! Wasukuma ni % ngapi!?? Yani nyie mmezaana kama panya aisee mmeishi kufuga fisi ,kuuza zeruzeru,kufuga chatu ,kuharibu mazingira ovyo sana nyiee endeleeeni kuvyatuana mtakuja kujila wenyewe kwa wenyewe
 
Hii nchi in watu zaidi ya milioni 55..hakuna kabila moja linaloweza kuweka raisi....
Nimeshangaa mtu mmoja anasema kabila lake liko kwenye oparesheni fyatua watoto kukuuza kabila lao na sasa wanatapaa nchi nzima kwaajili hiyo
 
Kura za kanda ya ziwa ndio zinaamua mshindi na siku mangosha wakiingia kwenye ushindani wa kimadaraka moja kwa moja itakuwa hatari sana sema uzuri Tanzania tunampigia mtu kura kwa chama si kabila
Wanadanganyana tuu huko kwenye vilabu vya komoni, kama kweli wana kura za turufu nini hasa kiliwazuia kuongoza nchi huko nyuma? Mwendazake aliingia madarakani by coincidence tuu baada ya kambi kuu za Membe na Mamvi kutibuana.... Tumieni huo ukubwa wa kabila lenu kuleta na kuharakisha maendeleo huko kwenu, acheni kuzurura na mamifugo miaka nenda miaka rudi, tumieni uwingi wa mifugo yenu mjiendeleze kiuchumi na kijamii. Kumbukeni maendeleo ya mtu huletwa na mtu mwenyewe, serikali kazi yake ni kuwaletea huduma kama barabara, umeme, simu/mitandao nk..
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Mleta mada una akili ya kuku..!! Kabla hata msiba haujaisha ushaanza kutangaza ukabila. Kuwa nyie ndo mna kura ya turufu? Pumbavu na kura yako.
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Ni wengi lakini hawazidi 25% ya waTanzania wote.

Huu ujinga ulikuwepo Kenya eti wakikuyu ni wengi ili ushinde lazima upate kura za Mount Kenya.

Odinga mwaka 2007 akasema makabila yapo 42.... So tukiweza kupata kura za makabila 40 hayo mawili (Wameru-Gikuyu) hayapunguzi chochote.

Na kweli odinga alishinda kwa overwhelming majority ndani ya bunge na kura za Urais.... Of course aliporwa lakini alidhihirisha kwamba kabila moja haliwezi amua Rais.

Haya zimbabwe hyo hoja ilikuwepo lakini Tsvangirai ali defy mwaka 2008!!

Kabila kubwa kuliko yote lakini tuna makabila mengi 120 yenye watu 75% ya nchi nzima. Hayo yataamua Rais
 
Ukanda ni sumu kubwa sana iliyoingizwa nchini na CHADEMA. Nyerere alijitahidi kujenga nchi kama kitu kimoja, lakini hii issue ya Ukanda ililetwa na CHADEMA. Mleta mada yuko sahihi: ukisema wasukuma unajikuta umechanganya siyo wasukuma tu, bali hata washashi, wanyantuzu, wanyamwezi, wakonongo na wasumbwa! Hiyo ni block kubwa sana ya kura. Katika mgawanyo sawa wa madaraka, siyo jambo la ajabu kukuta watu hao ni wengi kwenye madaraka.
Member mkongwe na msomi lakini siku hizi idea zako ni controversial sana.

CHADEMA imeletaje ukanda? Kisa sera ya devolution? Ina maana hata Mahakama kuu kujigawa kwa kanda nayo ni ukabila na ukanda?

Sera ya CHADEMA ni kuipa nguvu tu TAMISEMI... Yaani decentralization ya mamlaka kutoka serikali kuu na sio kwamba inakuja suala jipya la kuzigawa kanda ili kuwepo ukabila.

Msomi kma ww kuendekeza mawazo ya kikabila na propaganda za kisiasa inashangaza kwa kweli.
 
Tatizo lako unapenda kusikia unalotaka !!
 
Wanadanganyana tuu huko kwenye vilabu vya komoni, kama kweli wana kura za turufu nini hasa kiliwazuia kuongoza nchi huko nyuma? Mwendazake aliingia madarakani by coincidence tuu baada ya kambi kuu za Membe na Mamvi kutibuana.... Tumieni huo ukubwa wa kabila lenu kuleta na kuharakisha maendeleo huko kwenu, acheni kuzurura na mamifugo miaka nenda miaka rudi, tumieni uwingi wa mifugo yenu mjiendeleze kiuchumi na kijamii. Kumbukeni maendeleo ya mtu huletwa na mtu mwenyewe, serikali kazi yake ni kuwaletea huduma kama barabara, umeme, simu/mitandao nk..
Umesahau kuandika hawa ni wafuga chatu na fisi wazoefu
 
Mbona gafla mnapoteza ile imani ya kutembea kifua mberee, na kugeuka wanyonge kama yatima,jipeni moyo maisha hayanabudi kusonga mbele,ila muwewasikivu na wapenda haki.popote mtakubalika.
walizoea kubebwa, kila kitu kanda ya ziwa, kila kitu kizuri chatu, sasa ni zamu yao kulia
 
Member mkongwe na msomi lakini siku hizi idea zako ni controversial sana.

CHADEMA imeletaje ukanda? Kisa sera ya devolution? Ina maana hata Mahakama kuu kujigawa kwa kanda nayo ni ukabila na ukanda?

Sera ya CHADEMA ni kuipa nguvu tu TAMISEMI... Yaani decentralization ya mamlaka kutoka serikali kuu na sio kwamba inakuja suala jipya la kuzigawa kanda ili kuwepo ukabila.

Msomi kma ww kuendekeza mawazo ya kikabila na propaganda za kisiasa inashangaza kwa kweli.
Hala utakuta ana shahada tatu za chuo kikuuu hahahaaaaahaaaa poor contribution
 
Wasukuma wakikutana watatu tu hata kama ni mjini wanatwanga kisukuma sema tunawachukulia poa tu awa jamaa wanayo empire.
 
Back
Top Bottom