Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

who told you that?? watu kama nyie mpo brainwashed sana, ukanda sio ishu focus na kazi upatee riziki yako sio ajabu huyo msukuma wenu na wenzako wasukuma walio vitengo hawajawahi kukusaidia hata kula yako lakini unawapigia makofi, DAMN SHIT! What a shame on you poor man.[emoji22][emoji22][emoji6][emoji6]
We ni farasi kweli kweli
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Wasukuma wengi ni watu wenye roho njema, wakarimu, hucheka muda wote, hawana hila.

Sasa nauliza, Magufuli alikuwa Msukuma?
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Mtoa mada wewe ni msukuma na unaleta usukuma wako hapa huo ukabila ni hatari imagine kila kabila lijikweze tutafika? Mbna sisi wangoni ni kabila kubwa kusini mwa afrika alafu hatujikwez?
 
Acha kukwepesha maneno watu hao wenye chuki ni wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro na baadhi wa arusha..
Kuna uwezekano kabila hilo lina laana...

Nasikitika Sana na tabia hizi Za ukanda, na ukabila zilizomea Kwa kasi ya kutisha. Natoka KLM lakini sifurahii hata kidogo kushambulia mtu Kwa kabila lake, Kwa nini tusishambuliane Kwa UTANZANIA wetu? Aibu ni Vijana waliosoma shule nzuri Ndio wanahubiri ukabila wakati hawajui hata kisukuma au Kimakonde
 
Mkuu mnataka kumkana ndugu yenu?

Mbona itakuwa mapema muno?
OIP.jpeg-3.jpg

Tafuta usukuma hapo.
 
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.

Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.

Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Sawa ila rais msuluma tena big no
 
Hakuna watu nimeona wanawivu kama wasukuma an kama huwajui na hujakaa nao utawatetea mm npo shinyanga hapa kuanzia tra na ngazi zngine mpaka maafisa watendaji wote wanaukabila balaa yaaani ni WANAUKABILA NJOO UONE KAMA UNABISHA

KWELI WANAUKABILA NA HAWAPENDI MGENI AENDELEE
Hicho ni kweli kabisa hata huku Mwanza
 
Paskali, hayupo mtu mmoja aliesema Suala la Ukabila ila wenzio au wasukuma wenzio waliopewa nafasi wameumiza watu sana sana...Na wote wakisema wako au walikua karibu na Hayati Magufuli...Haikujalisha Wana umri gani mm nakupa Mfano nenda ofisi ya Makamu wa Rais waulize watumishi pale namna walivyoteswa na KM ambae alikua akisema Hayati kasomea au kakaa kwao..imagine watu wameteswa sana na watu waliokua na Vinasaba au basi tu mahusiano na Hayati...

kuna Kipindi Gwajii aliitwa polisi kisa audio za ukabila..Ilikua ni jambo la wazi na hovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom