Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

na Mungu naye alivyoona hivyo kawanyima elimu, sasa wamebaki kutumikishwa tu na vikabila vidogo. elimu kitu kikubwa sana, kakabila kama wachaga au wahaya, ni wachache lakini ndio wamejaa maofisini, wewe fanya sarakasi zako zote za ukabila kujitutumua ati msukuma, ukifika ofisini utapiga goti tu na lazima ubanwe mbupu.
 
1. Je wasukuma ni wengi kuliko watanzania wa makabila mengine kwa ujumla?
2. Sisi tulio kwenye ground tunaona picha ingine, but it is very scary.
Mkuu kamili ,
  1. Kwanza numbers don't lie. Katika mikoa yote Tanzania nzima hakuna mkoa wowote ambao ni mkoa mzima una kabila moja isipokuwa mikoa ya Shinyanga na Simiyu. mikoa mingine yoyote kuna makabila zaidi ya moja. Wanawake wa Kisukuma wana very high fetility kuzaa watoto 8 ni kawaida na kuna wengine wamezaa hadi watoto 15, na nyumba nyingi za Wasukuma mke sio mmoja, japo kisasa wa kanisani ni mmoja. Ukiondoa mikoa hiyo miwili, ya Shinyanga na Simiyu ambayo ni 100% Sukuma, kuna Mwanza 90% ni Sukuma, kuna 10% ya Wakerewe wa visiwa vya Ukerewe na Wakara wa visiwa vya Ukara. Geita 95% ni Sukuma, Katavi 70%. Tabora 60%. Hayo ni maeneo ya natural habitat yao, tukihesabu na kule walikohamia wafugaji wa Kisukuma, you will be surprised.
  2. Don't be scared na wingi wa Wasukuma, they are harmless and are not too ambitious kama makabila mengine. They are humble and down to earth
  3. P
 
na Mungu naye alivyoona hivyo kawanyima elimu, sasa wamebaki kutumikishwa tu na vikabila vidogo. elimu kitu kikubwa sana, kakabila kama wachaga au wahaya, ni wachache lakini ndio wamejaa maofisini, wewe fanya sarakasi zako zote za ukabila kujitutumua ati msukuma, ukifika ofisini utapiga goti tu na lazima ubanwe mbupu.
Wewe hata hujielewi kwa utafiti gani? Unatuletea story za miaka ya 90?
 
Wa


Waislam ni 60% ,mko tayari kila teuzi 10 , 6 wawe waislam. ???

Mkitoka kwenye ukabila mtakwenda kwenye udini ili tu chama kishike hatamu kwa katiba inayotoa mianya ya upendeleo.

Imesemwa Kwa Udini na Ukabila ni utambulisho Tu.

Ifuate zaidi
 

Attachments

Wasukuma wa vijijini ni watu wazuri sana ila wasukuma wasomi wanaiga tabia ya kujiweka katika vikundi vya kikabila kama wachagga. Wachagga wamangi pia wazuri sana. Shida ni wachagga wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa. They are too ambitious. Wanyakyusa na Wahaya hawana shida hata kwa sababu hawajipendi kupita kiasi.
 
aliyekwambia wapo 60% amekudanganya sana. ukiondoa zanzibar, wao ni 45 au 40, therest ni wapagani wa kisukuma na wagalatia.


Sio kweli .
Wagalatia wanaonekana ni wengi kwa sababa wamesoma hivyo ukipita kwenye maofisi yote utawaona na kwenye position mbalimbali utakutana nao lakini kiukweli Waislam ndio wengi kwa idadi. Hata takwimu za miaka ya sabini kurudi nyuma ilikua inaweka idadi wazi.
Ndio maana zikaanza kufichwa ili kuondoa mitafaruku ya kudai tauzi za uwiano wa kidini mana wasomi wengi ni wagalatia na wangedai kuwa wana sifa.

Kumbuka Ukristo umeingai Tanganyika na Zanzibar karne ya 19 . Wakati Uslamu upo Tanganyika na Zanzibaa Karne nyingi. Dola la Kiislam la Kilwa lilikuwepo zaidi ya miaka mianne iliyopita. Hata kwenye miji maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu ni yale wanayoishi waislam.
Hata wakati wa Uhuru Waislam walikua hadi na vyama vyao vya kisiasa ambapo baadae waliungana na Mwalimu na kumkaribisha mkoa wa waislam wakati huo, yaani Dsm.
Hata akina mama shupavu wa kisiasa wakati wa kupigania uhuru wengi walikua ni Waislam. Baada ya uhuru wazalendo feki na wasomi wa kike na wa kiume wakajitokeza kwa wingi kusaka maslahi.
 
Mkuu kamili ,
  1. Kwanza numbers don't lie. Katika mikoa yote Tanzania nzima hakuna mkoa wowote ambao ni mkoa mzima una kabila moja isipokuwa mikoa ya Shinyanga na Simiyu. mikoa mingine yoyote kuna makabila zaidi ya moja. Wanawake wa Kisukuma wana very high fetility kuzaa watoto 8 ni kawaida na kuna wengine wamezaa hadi watoto 15, na nyumba nyingi za Wasukuma mke sio mmoja, japo kisasa wa kanisani ni mmoja. Ukiondoa mikoa hiyo miwili, ya Shinyanga na Simiyu ambayo ni 100% Sukuma, kuna Mwanza 90% ni Sukuma, kuna 10% ya Wakerewe wa visiwa vya Ukerewe na Wakara wa visiwa vya Ukara. Geita 95% ni Sukuma, Katavi 70%. Tabora 60%. Hayo ni maeneo ya natural habitat yao, tukihesabu na kule walikohamia wafugaji wa Kisukuma, you will be surprised.
  2. Don't be scared na wingi wa Wasukuma, they are harmless and are not too ambitious kama makabila mengine. They are humble and down to earth
  3. P
Mungu naye alijua sana, aliwapa uwingi akawanyima akili.
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Sukumagang ni ITIKADI iliyoasisiwa na JPM kwa manufaa ya wasukuma ukiwemo wewe Paskali Njalah Mayala, na kwa faida yako Sukumagang

Wasukuma kama hilo ni tatizo fanyeni kazi ya kulifuta maana hata wewe hujawahi kulishutumu huko nyuma!
Mkuu MTK , angalia tuu tarehe ya bandiko ujue watu huu udini, ukanda na ukabila, watu tumeanza kuukemea lini.
P
 
Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.

MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?

KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.

KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
Mkuu CARDLESS , kuna Wasukuma na 'Wasukuma'!, sio kila anayeongea Kisukuma ni Msukuma wengine ni 'Wasukuma', pia sio kila anayejiita Msukuma ni Msukuma kweli, wengine ni 'Wasukuma'!.

Mimi ni Msukuma kweli na kwenye uzi huu nimewaeleza Wasukuma kweli sio wakabila ila 'Wasukuma', hao ndio wakabila!.

Hata Blaza wangu yule niliwahi kumuulizia humu Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

Na niliposikia tuhuma za ukabila, nikalishauri Bunge letu Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

Hivyo Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila mbaya!.

P
 
Wanabodi,

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali[/SIZE]
Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!

Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.

Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
Usiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
P
 
Siku mlogwe mumpe mchaga nchi Kwa sababu CCM hamchelewi kuchemka Ndio mtajua Tanzania kuna ukabila ni vile Tu hauruhisiwi kuongelewa majukwaani. Hakuna mtu Mkabila na mbinafsi wa wazi wazi kama Mchaga Tanzania
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Waskuma mnachuki na wachaga sana mmeirithi Kwa mwendazake kwendeni huko pendeni ng'ombe washamba nyie
Laiti ingefanywa sensa ya wanaume wa kabila gani wanaongoza kwa kuoa wanawake Wachagga, ungeshangaa!. Tuwachukie Wachagga for what?. Kati ya makabila 120 ya Tanzania, ni kweli kuna makabila yana chuki na makabila mengine hivyo wana ukabila m-baya, but very fortunately Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Japo Usukumani sio miongoni mwa mikoa ya pembezoni, wahamiaji haramu wanaojipenyeza mikoa ya pembezoni, na kujifanya ni Watanzania, kule wanabaguliwa na wenyeji, ila Usukumani ndio the only safe heaven, mtu wa kabila lolote anajifanya Msukuma, sisi Wasukuma og tunamjua fulani sio Msukuma, ila bado tunamkubali na tunamuacha kugombea nafasi yoyote, udiwani, ubunge, hadi... , nenda Uchagani ukagombee chochote kama wewe sio Mchagga uone kitakachotokea
P
 
Back
Top Bottom