Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Unajua kampeni yenu haitafanikiwa. Nimeiona:-
1. Mtaka kuleta ukabila. Udini , Ukanda.Haitafanikiwa muulize mtu yoyote wasukuma wameoa makabila, dini, kanda nyingine zaidi kuliko yote. Kwa hiyo influence yao ni kubwa sana Tanzania kwa sababu makabila mengine mengi ni sehemu ya familia zao.
2. Sera ni matusi kejeli, kebehi, uongo, kupinga kila kitu alichokifanya kumpaka matope. Haiwezi kusaidia kushinda uchaguzi wowote. Vijiweni utashangiliwa.
JF ni kijiwe sasa hivi. Hata baba zenu, mama, ndugu zenu wanaojiheshimu hamtapata kura zao.
Yaani ilibidi mpange strategies jinsi ya kuwafikia Watanzania wengi. Watu 500 mnatumia hizi mbinu kupongezana. Ni kama preacher, preaching to the Choir. Instead of going out and find new members.
Mnataka Democracy hamuwezi kuvumilia maoni tofauti hapa JF, mkipewa Rungu (dola) itakuwaje?
Nenda Youtube, Insta, Facebook, utaona ukweli. 90% wanajua kazi yake.
Wenye macho wameona, wenye masikio walisikia!
Hainahaja ya kutaka kulaumu mkwezi wakati nazi imeliwa na mwezi!