Utahangaika ndugu yangu watu hawa hua wanatamani kitu ambacho kitakuja siku moja hapa nchini,sasa hivi hata uwaambie nini hawataelewa...ila ukanda na ukabila umeanzishwa na wakaskazini kupitia chama chao cha siasaWanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Ukishasema hivyo ndo ukabila unapoanzia,punguza upumbavu na uamini kwamba Nyerere alikua binadamu,tunamkubali na kumuenzi kwa sababu ya kazi yake kama mtu wa awali kabisa ktk taifa letu tukipata uhuru,isipokua alikua ni binadamu na si MUNGU mpaka uamini kila neno lakeNyerere aliwahi sema maraisi ni vyema watoke makabila madogo na siyo haya makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kiranga , despite each and everything, he deserves respect. Hata tulimtukama akiwa hai, sasa tusimtukane tena!. Ndio Uafrika, ndio Utanzania, ongea mazuri kumhusu marehemu.
P
Wasukuma as a community ni loving, acceptable, accommodating na lovable.Sasa kama ni kuwaponza ndio ameshawaponza maana jamii imeshawachukulia wasukuma kuwa ndivyo mlivyo kupitia identity yake!
Kama alifanya vyema au ukorofi atakuwa amewatambulisha ninyi mlivyo ! [emoji38][emoji38]
Kazi mnayo @ Ngosha!
Acha kuniingiza kwenye ujinga.Mkuu Kiranga , despite each and everything, he deserves respect. Hata tulimtukama akiwa hai, sasa tusimtukane tena!. Ndio Uafrika, ndio Utanzania, ongea mazuri kumhusu marehemu.
P
Mayala naomba ujibu hili swali:
Unaona ni sawa Magufuli kujenga uwanja wa ndege wa kiwango kile Chato?
Kama si sawa niambie kwanini.
Kama ni sawa ,,,hulazimiki kueleza ni kwanini.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama aina ya wasomi wenyewe ndio kama wewe ni kheri Mzungu arudi kuchukua koloni lake tu...Mkuu Kiranga , despite each and everything, he deserves respect. Hata tulimtukama akiwa hai, sasa tusimtukane tena!. Ndio Uafrika, ndio Utanzania, ongea mazuri kumhusu marehemu.
P
Chato wanaishi wananchi gani?Mayala naomba ujibu hili swali:
Unaona ni sawa Magufuli kujenga uwanja wa ndege wa kiwango kile Chato?
Kama si sawa niambie kwanini.
Kama ni sawa ,,,hulazimiki kueleza ni kwanini.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wasukuma as a community ni loving, acceptable, accommodating na lovable.
Wasukuma original
Bomani.....
Makani...
Na wengine wengi.
Cheki tabia zao!
Yule si msukuma!Jidu hata mwezi bado mnamkana ndugu yenu? [emoji14][emoji14][emoji14]
Hata sisi tulizani ni hivyo kuwa wasukuma ni lovable, acceptable and accommodating lakini kumbe huo haukuwa uhalisia [emoji108][emoji108]
Kupitia jamaa yenu tumeweza kuwafahamu vizuri jinsi mlivyo kuwa ni watu wa namna gani nyie wasukuma !
Kwa kweli tunamshukuru Mungu kwa kila jambo na tumeona mengi na kuwafahamu jinsi mlivyo kiuhalisia.
Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu!
Shujaa wa Afrika kakuacha solemba....jisogeze kwa mama sasa.Sii kweli, ingekuwa ni hivyo, then serikali nzima wangejaa wao!. Maadam kabila la mtu, sio miongoni mwa sifa za uongozi, na ikitokea wenye sifa wote ni watu wa kabila moja, then let it be!. Huwezi kushindwa kuteua wenye sifa eti kwa sababu ni watu wa kabila lako!. JPM, endelea kututeulia viongozi wachapa kazi, bila kutazama makabila yao, na hata ikitokea wote wakawa ni kutoka kabila moja, let it be, maana ndio wachapa kazi, na uteuzi wao, umezingatia sifa, vigezo na uchapa kazi wao!.
Na kwenye issue ya uchapa kazi, Watanzania lazima tujifunze kuukubali ukweli, kuna makabila ya wachapakazi za mitulinga ambayo watu wake ni wagumu na wenye nguvu na uwezo, na kuna makabila ya watu laini laini, wavivu na sio wachapa kazi.
PKiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Wanabodi, Naangalia huu mkutano wa Rais Magufuli na wafanyabiashara, kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa rais Magufuli. Namtafakari jinsi huyu jamaa anavyochapa kazi hadi sijui analala saa ngapi maana aliwahi kusema ana mafaili hadi room. Angalizo: Kama wewe ni mmoja wa wale wenye allegy...www.jamiiforums.com
Jidu hata mwezi bado mnamkana ndugu yenu? [emoji14][emoji14][emoji14]
Hata sisi tulizani ni hivyo kuwa wasukuma ni lovable, acceptable and accommodating lakini kumbe huo haukuwa uhalisia [emoji108][emoji108]
Kupitia jamaa yenu tumeweza kuwafahamu vizuri jinsi mlivyo kuwa ni watu wa namna gani nyie wasukuma !
Kwa kweli tunamshukuru Mungu kwa kila jambo na tumeona mengi na kuwafahamu jinsi mlivyo kiuhalisia.
Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu!
Wasukuma wana- accomodate wengine. Hata kama baba amekuja kutoka nchi nyingine ukazaliwa pale ukaoa msukuma. Unazungumza kisukuma. Wenyewe wanakuona ni msukuma.Yule si msukuma!
Wasukuma hawako vile.