Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Udini hata Mkwere Aliufanya Sana

Hivyo Kausha2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya kazi na wasukuma sehemu nyingi. Sijawahi kuona watu wenye ukabila kama wasukuma, wana upendeleo wa waziwazi na hawana hata aibu. Kuna idara moja naifahamu walijazana wenyewe, hata vikao wakawa wanaongoza kwa lugha ya kisukuma. Nakiri kuwa wapo wasukuma baadhi ambao ni smart kichwani, lakini majority ya hawa wanaopendelewa ni makinikia tu! Hadi mtu unajiuliza huyu kafikaje hapa?

Kwahiyo Pascal Mayalla hoja yako ya kutetea wasukuma wenzio haina mashiko, ninyi ni makaburu tu! Huwezi kuniambia katika nchi yenye watu karibu milioni 50 eti ni wasukuma tu ndio wanaoonekana, eti majority, kwa sensa ipi?

Na ni lini utaratibu ulibadilika ukawa ni kugawa kazi kwa 'proportionality'? Kwamba kazi watu hawapati kwa sifa tena, bali ni proportionality inayotokana na wingi wa watu kwenye makabila yao? Uongo kabisa huu! Acha ubaguzi!
 

Nimekuelewa shemeji,kwenye paragraph niliyoihighlight ndipo palipo na the whole agenda.Anyway hope mwakani nitakusikia na wewe ni Waziri wa Michezo.......................
 
Kairuki si ni wa Kagera huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mupe mupe! Eti kwanini wasukuma wasiendelezwe kwenye lugobogobo na chagulaga?
Na mmakonde akitaka kujifunza riadha akataliwe kwa kuwa ni kazi ya wairaqw?
Hata mzaramo akitaka kuwa polisi asiruhusiwe kwa kuwa hii ni kazi ya wakurya?
This is very low Pascal Mayalla! Ni fikra duni kuliko hata zile za enzi za ujima!
 
Ukiona mtu anateuateua sana watu kutoka kanda yake,kabila lake,dini yake,dhehebu lake nk hiyo ni dalili ya kutojiamini na ni njia pia ya kuficha maovu yake ili yasijulikane. Pia ni ili baadaye akiachia madaraka hayo aweze kuendelea kufaidi kupitia aliowaweka. Ni dhambi mbaya sana.

Naipenda JF
 
Ntajie watu wenye nguvu wanne wa nchi hii na sehemu zak
IGP
Mkuu wa majeshi
Mwanasheria Mkuu
Usalama
Jaji mkuu/kaimu jaji
Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kikwetu kwanza Mayalla ni Njaa.

Unasema tukifuata proportionality, je kwenye hilo Kabila tuna wasomi ifikie kwamba kila chance lazima mmoja awemo?, kama wasomi ni wachache uwingi wa idadi si hoja
 
Hakuna watu nimeona wanawivu kama wasukuma an kama huwajui na hujakaa nao utawatetea mm npo shinyanga hapa kuanzia tra na ngazi zngine mpaka maafisa watendaji wote wanaukabila balaa yaaani ni WANAUKABILA NJOO UONE KAMA UNABISHA

KWELI WANAUKABILA NA HAWAPENDI MGENI AENDELEE
 

Nakubaliana wewe kwa %98 kwa sisi watu wa chini tunajuaje awo walioteuliwa kama wana sifa? Kumbuka ni haki kwa kila mtu kutoa maoni maoni yake. Tundu Lisu kasema uteuzi ni wakikabila, alie teua alitakiwa afafanue izo sifa unazozisema, sio kumkamata.

Siasa ya vyama vingi ni kuvumilia maneno na kujibu kwa ufafanuzi. Kwangu Mimi ata kama Serikali nzima ikwa kabila moja na wanasifa za kulipeleka taifa letu mbele na kutoa uduma bila ya ubaguzi ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mnakiita Chadema ni chama cha kaskazini na CUF ni chama cha waislamu hivi mlikuwa mnadhani mnapanda mbegu gani? Mbona hatukuona hata mtu mmoja akikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huu?

Tulieni dawa iingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…