Heshima na Hadhi ya wahusika imezingatiwa, labda kama jibu husika halikukupendeza. kitu ambacho kipo nje ya uwezo wangu.Una shida gani na Marehemu asee!Vipi?
Heshima na Hadhi ya wahusika imezingatiwa, labda kama jibu husika halikukupendeza. kitu ambacho kipo nje ya uwezo wangu.Una shida gani na Marehemu asee!Vipi?
Sawa mkuu kuleni nchi ni zamu yenuMsukuma akiona msukuma ana sifa ni rukhsa kumteua. Ukabila sio kumteua mtu wa kabila flani tu. ukabila ni pamoja na kukwepa kumteua mtu anaekidhi vigezo kwa sababu tu ni wa kabila lako
wewe ndiye unaye tazama teuzi za Raisi kwa jicho la ukabila, ukanda na diniRaisi aambiwe ukweli aache kuteua viongozi kwa kuangalia dini na ukabila hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi. Tanzania ni yetu sote siyo mtu mmoja anajiona anaweza kufanya anavyotaka nchi hii inaongozwa kwa kufuata katiba siyo matakwa ya mtu mmoja ambaye ameshalewa madaraka.
hapo atakimbiaNtajie watu wenye nguvu wanne wa nchi hii na sehemu zak
IGP
Mkuu wa majeshi
Mwanasheria Mkuu
Usalama
Jaji mkuu/kaimu jaji
Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Sizonje sio msukuma, ni msubi, moja ya makabila madogo sana kule kanda yetu.... huo usukuma kajipendekeza tu....Nyerere aliwahi sema maraisi ni vyema watoke makabila madogo na siyo haya makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio mkabila kabisa cjui unatoka kulekule wanatunyanyasa sehemu za kazi tangu UhuruMsukuma kuamua kesi dhidi ya wasukuma ni sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere.
Hakujawi kutokea ukabila mzuri hata uupake rangi nzuri kiasi gani. Hata kipindi cha Nyerere kuwa na wanajeshi wengi kutoka Mara haikuwa sawa na haikuwa na maana kuwa watu wa Mara ndio wanafaa zaidi kuwa wanajeshi. Kila mtanzania awe na haki sawa bila upendeleo.Mbona leo hii kuna wanajeshi kibao kutoka kila kona ya nchi na wanafanya vizuri?
Mifano yako mingi uliyotoa haina tija kabisa. Kwa mfano umetolea mfano wa kuendeleza wamakonde na wanariadha kutoka jamii za wafugaji na wawindaji wa milimani eti kisa wengi wao wana historia ya kufanya vizuri kwenye maeneo hayo.
Mifano hii ni old fashioned ,kwa dhama hizi ambazo tunaamini any one can be anything he/she want as long as he/she works on it. Siku hizi kipaji sio kila kitu, watu wanaamini sana katika bidii na kujifunza, mengine yote yatakuja kama maji yanavyotiririka mtoni.
Hiyo mifano yako haifanyi kuwepo kwa ukabila/ukanda mzuri ilimradi kila mtu akipewa fursa akitia bidii anaweza kufanya lolote bila kujali anatokea wapi.
Nenda kajipange na wasukuma wenzio ndio urudi tena.
Wewe uliyekazana kufuatilia asili za watu ndio mbaguziNtajie watu wenye nguvu wanne wa nchi hii na sehemu zak
IGP
Mkuu wa majeshi
Mwanasheria Mkuu
Usalama
Jaji mkuu/kaimu jaji
Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hii Raisi atakuwa Itigi-Singida kufungua mradi wa barabara, akitokea Tabora na Kigoma je hii yote ni kanda ya ziwa?ukweli lazima usemwe wazi kuwa Rais anafanya teuzi kwa kigezo cha ukabila na ukanda!! Miradi mingi ya maendeleo sasa inapamba moto kanda ya ziwa!!!!! ni hatari kwa ustawi wa nchi na amani