Gamba la Nyoka
Platinum Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
kama mtu ana watoto 10 na wote wamesoma vizuri na wana uwezo wa kuongoza, je mtu huyu akiwa mtawala kuna ubaya wowote watoto hawa kuwapa ubunge na kuwateua wote kuwa mawaziri?. Ukijibu hili basi utajua kuwa uongozi si uwezo pekee, uongozi ni pamoja na diversity , yaani timu yako ifanane na unaowaongoza kwa kuzingatia diversity yao!