Nakubaliana wewe kwa %98 kwa sisi watu wa chini tunajuaje awo walioteuliwa kama wana sifa? Kumbuka ni haki kwa kila mtu kutoa maoni maoni yake. Tundu Lisu kasema uteuzi ni wakikabila, alie teua alitakiwa afafanue izo sifa unazozisema, sio kumkamata. Siasa ya vyama vingi ni kuvumilia maneno na kujibu kwa ufafanuzi. Kwangu Mimi ata kama Serikali nzima ikwa kabila moja na wanasifa za kulipeleka taifa letu mbele na kutoa uduma bila ya ubaguzi ni sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukimya wa Maaskofu ni kwa sababu Magufuli ni !wanaparokia mwenzetu, hii nchi imejaa wanafki.BASHITE anafumbiwa macho kwa vile MSUKUMA, hili ni jambo la hatari sana. Rais namwamini sana ila katika hili hapana.
Paschal nimsukuma kama jpmIvi nawe Pasco ni kabila gani vile?
unataka kusema makonda ana sifa na uwezo kukuzidi wewe?Raisi hateui viongozi kwa kuangalia dini au kabila. raisi anateua viongozi kwa kuzingatia sifa na uwezo wa kazi
Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya!.
Sisi wanamitandao ya kijamii lazima tufanye a responsible social networking ikiwemo kulisaidia taifa lisiangamizwe na sentiments zozote za ubaguzi au kibaguzi ziwe ni za Ukanda, Ukabila au Udini.
Kwanza tukubaliane sote in principle kuwa siasa zozote za Ukanda, Ukabila na Udini ni tatizo na ni detrimental, ni ugonjwa mbaya Kabisa kwa taifa letu and infact ni sumu!, a very poisonous Vernon!.
Watu wanaizungumza sasa kwa vile imezungumzwa na Lissu, lakini tukubali tukatae, ukanda upo, ukabila upo na udini upo na ni tatizo.
Hatua ya kwanza ya kuondokana na ubaguzi huu, kwanza ni by acceptance kwa kulikubali tatizo na kuwa ni kweli lipo na sio by denial, kama siku zote tunavyofanya. Dawa ya tatizo ni kulikabili kwa kulichimba kiini chake hadi kwenye mizizi kisha kuling'oa.
Mimi naomba kukiri wazi kabisa kuwa ni miongoni mwa wana jf ambao tulibaini tangu siku nyingi kuwa taifa letu linanyemelewa na sumu za siasa za ukanda, udini na ukabila na nilisema wazi hapa.
Mwezi August Mwaka 2014, nilipotajiwa kwa mara ya kwanza, jina la mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015, kuna kitu kama nilikisikia na nikakisema hapa
Hivyo ni kweli kabisa kuna udini mzuri na udini mbaya, kuna ukanda mzuri na ukanda mbaya na pia kuna ukabila mzuri na ukabila mbaya, lets make good use ya ukanda mzuri, ukabila mzuri na udini mzuri kwa maendeleo ya taifa letu.
Mfano, kabila la Wamakonde ndio mabingwa wa kuchonga vinyago, wachongaji mabingwa kabisa ni Wamakonde walioko Tanzania, Wakenya, Waganda, Rwanda na Burudi, wanakuja kununua vinyago Tanzania na kuvi export, hivyo kama tunataka kumiliki soko la vinyago, tuwaendeleze Wamakonde, na sio kabila jingine lolote!.
Miaka ya 70s Tanzania ilisifika sana kwa kutoa wakimbiaji bora, wakimbiaji wazuri ni watu wa makabila ya wafugaji na wawindani wa milimani, hivyo kina Filbert Bayi, Suleiman Nyambui, Gidamish Shahanga, Juma Ikangaa, Zebedayo Bayo, Zakaria Barie, John Steven Akwaari, Restituta Joseph, Simon Naali etc, wote hawa ni watu wa kabila moja au jamii za wafugaji wa milimani, hivyo Tanzania tukitaka kujenga timu imara ya riadha, timu ya ushindi, lazima tuwaendeleze watu wa kabila hilo au jamii hizo.
Wakati wa Nyerere, watu wa makabila fulani walifanya vizuri kwenye maeneo fulani kuliko makabila mengine, mfano Jeshini na polisi ni watu wa Musoma/Mara.
Ukabila Mzuri Katika Uteuzi.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kabisa nchini Tanzania, ndilo kabila lenye watu wengi zaidi, hivyo automatically, tukifuata principals of proportionality, Wasukuma ni lazima wawe wengi kila mahali, hii ni halali yao na sio upendeleo!.
Ukitokea wewe ni mteuzi, ukaletewa majina matatu wote wenye sifa sawa na mmoja wao ni Msukuma, jee utaogopa kumteua huyo Msukuma kwa sababu ya kuchelea utaonekana ni mkabila?, zikitokea nafasi, halafu kati ya walioomba wote, wenye sifa zaidi ni Wasukuma, then let it be, hata Wasukuma wakijazana sana, as long as ndio wenye sifa, then huu ni ukabila mzuri, hivyo natoa wito kwa JPM, endelea kuteua Wasukuma, wajaze kila mahali as long as ni watu wenye sifa na ni wachapa kazi, then wewe teua tuu, wanaosema waache waseme, watasema mchana msiku watalala.
Ukabila Mbaya Katika Uteuzi.
Ikitokea kuna nafasi za uteuzi, then ukaamua kwa makusudi kutafuta mtu wa kabila lako, ambaye hana sifa, lakini kwa vile ni kabila lako, unampa
Inaendelea....
kwa nini asimuone hivyo huku ushauri alioutoa haujazingatia hadi leo imepelekea kujadili hoja hiiZama hizi wewe bado unamuona Nyerere ni Alfa and omega?
Amka hii nchi yetu sote.
Tupe uthibitisho mubashara Otherwise mnaendelea kutetea usukuma tu hapa. Yuko sheakh mmoja alikuja na data za wasomi wa kiislamu zaidi ya 600 ambao serikali ya magufuli imewamarginilized,je mliifanyia kazi orodha ile?Raisi hateui viongozi kwa kuangalia dini au kabila. raisi anateua viongozi kwa kuzingatia sifa na uwezo wa kazi
unapozungumzia nchi maana yake ni hao watu,nashangaa wengine wanaleta habari za mawaziri utadhani mawaziri wana say yyoteNtajie watu wenye nguvu wanne wa nchi hii na sehemu zak
IGP
Mkuu wa majeshi
Mwanasheria Mkuu
Usalama
Jaji mkuu/kaimu jaji
Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa!! Na kinyume chake ni kwamba kama basi mmeshindwa kabisa kumtoa Raisi kwenye kundi la wachache, ili kubalance power of representation ukizingatia mamlaka makubwa ya Rais aliyo nayo kama wa kwetu, ni vema viongozi wengine asilimia kubwa zaidi ikatoka kwingine si kwenye kabila la Rais tena. Kumbuka kuna madhara ya kuwa na Rais aliyezungukwa na kabila lake. Haya maneno ya kutaka kumuongezea muda mkulu yakizidi kupamba moto yatazimwaje kama serikali yote asilimia kubwa ni watu wa kabila la Rais? Paskali bado sikuungi mkono.dawa ya ukabila nyerere alikuwa amisha ipata na solution yake alisema si vyema mtu kutoka kabila kubwa apewe urais.Kuhusu insu ya wakurya jeshini kutokana na mazingira ya kipindi kile ambacho technolojia ilikuwa chini Wakurya ndio kabla pekee Tanzania ambao ni wajasiri hilo lipo wazi hawakupelekwa sababu ya ukanda.
kama nyerere angekuwa hivyo basi Mkoa wa mara ndio ungekuwa mkoa wenye maendeleo katika mikoa yote.
hapana wameanza awamu ya Mkapa na kikweteSwali Wasukuma wameanza kuwa wengi na kabila kubwa kwenye awamu hii ya Magufuli?
Shida nin kuwa kwa mfumo wa katiba yetu ambao unampa rais mamalaka makubwa ktk teuzi mkisha kosea kwa rais madhara yake ndio haya,hatat hivyo hii ilitokana na CCM Kuwa na hofu ya kutopata dola ndio maana walimchagua jamaa ili wapate kura nyingi za ukanda huoSafi kabisa!! Na kinyume chake ni kwamba kama basi mmeshindwa kabisa kumtoa Raisi kwenye kundi la wachache, ili kubalance power of representation ukizingatia mamlaka makubwa ya Rais aliyo nayo kama wa kwetu, ni vema viongozi wengine asilimia kubwa zaidi ikatoka kwingine si kwenye kabila la Rais tena. Kumbuka kuna madhara ya kuwa na Rais aliyezungukwa na kabila lake. Haya maneno ya kutaka kumuongezea muda mkulu yakizidi kupamba moto yatazimwaje kama serikali yote asilimia kubwa ni watu wa kabila la Rais? Paskali bado sikuungi mkono.
Marginalization ya kiongozi ipo katika dola zote. Kumuacha kiongozi madarakani kisa utaonekana una udini au ukabila au ubaguzi flani ni udhaifu mkubwa kabisa. tena huu udhaifu ndio hulitumbukiza taifa katika ubaguzi uliopindukia.Tupe uthibitisho mubashara Otherwise mnaendelea kutetea usukuma tu hapa. Yuko sheakh mmoja alikuja na data za wasomi wa kiislamu zaidi ya 600 ambao serikali ya magufuli imewamarginilized,je mliifanyia kazi orodha ile?
Sent using Jamii Forums mobile app
hili sio swali, maana mimi hata hunijuiunataka kusema makonda ana sifa na uwezo kukuzidi wewe?