Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Wakati mnakiita Chadema ni chama cha kaskazini na CUF ni chama cha waislamu hivi mlikuwa mnadhani mnapanda mbegu gani? Mbona hatukuona hata mtu mmoja akikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huu?

Tulieni dawa iingie.

Umewauliza swali zuri sana hawa misukule ya LUMUMBA,,,, wao waliisakama CUF miaka ile kuwa chama cha udini, ,na Chadema cha ukabila, , na hamna aliekamatwa kuwa anachafua amani
 
nadhani kuendeleza topiki kama hizi ni kuzidi kutugawa tu, Tundu Lissu apuuzwe
 
K
Katibu Mkuu wizara ya Fedha na naibu wake
ok nashukuru kwa hizo taarifa, kwani huyo naibu niliona mahali jina kama Dorothy (Dotto) Mwanyika naye wa huko huko? au ana undugu? maana wakati mwingine ukweli uchanganywa na uongo hivyo inakuwa vigumu kujua kipi cha kweli na kipi cha uongo.
 
Nakujibu kwa machache tu. UKWELI NI KWAMBA wasomi wengi wa Tanzania ni wahaya na wachagga so kuna sio ubaguzi kwa nini aende kuchukua usukumani tu wakati kuna makabila yamesoma kuliko hao WASUKUMA?
 
Wewe uliwahi kunukuliwa ukisema yakuwa ni mmoja ya wanahabari nguli wa kujitegemea na pia ni member wa Jf ila mbona huzingatii alama za uandishi mana unaweka (,) koma sehemu isiyostahili, unafunga semi hivyohivyo what's up bro @pascalmayalla
 
Wahaya, wachaga, wanyakyusa ni wabaguzi sana. Tena huwaona watu wa makabila mengine siyo binaadamu. Mfano wachaga ukiwa si wa kabila lao na ukiishi kwao wanakuita "Nyasaka", na wanakuona ni nusu mtu. Nachukia sana tabia zao. Na wao wanajijua vizuri kabisa.
 
I

Ilikuwa zamani kamanda wangu,kwa sasa wamesoma vizuri tu na wanaendelea kusoma sana tu baada ya kugundua ufugaji sio dili,wape miaka mingine 10 ukizidisha na wingi wao utaniambia.
hapo umesema kweli , wewe ni kweli.
 
Magufuli hana ukabila, angekuwa mkabila kama wachaga ama wahaya achilia mbali wanyakyusa. Yaani wasukuma wote waliosoma wangekuwa na vyeo.
 
Kama CCM inavyowabagua wapinzani! Kama "Mungu" anavyowabagua wapinzani" Kumbe ubaguzi ni mbaya!
 
Tunaishi na Wasukuma sio wakabila kabisa.

Ukitaka ukabila nenda Kasikazini, Mungu anajua jamaa ni wakabila kupita maelezo.
 
It make me feel happy when I see imperative analysis like this. Pascal, I always read your threads critically, you are real great thinker, keep it up my friend, let them say whatever ways, and I'm appealing to JPM to again keep it up. Nevertheless, hakuna raisi anayekubalika 100% duniani, and I think JPM knows about this, kama hajui, let him knows.

Finally, the problem with other side of a coin, hawajui kujipanga, and they luck long term strategies (I doubt if they have strategic plan wanyao isimamia) and leadership skills kuandaa viongonzi kusecure dola. I do not see the roles of Prof. Baregu kama mzee katika kundaa vijana hawa. What I guess, it may be that money talks ndani ya chama na si busara na hekima. Hulka ya mwanadamu huwa hakubali kuwa kakosea, ila huwa ana defensive mechanism kutetea maamuzi yake, ila mlikosea sana 2015, ikawatoa sana kwenye mstali. Ushauli wangu kwa upinzani, specifically Chadema, ili kuindoa CCM madarakani, unatakiwa umakini wa hali ya juu sana, hasa katika kuandaa viongozi wenu. When I forecust 2020 election, with the speed how Ngosha is runing, I'm confidently speaking, mgombea ambaye ataweza kuleta atleast upinzani atakuwa tena Mzee Lowasa, hawa wengine bado sana, nkiwapima katika mizani yangu hawajai kabisa, watu waliojaa: 1) matusi katika kuwasilisha hoja zao; 2) mihemuko; 3) dharau; 4) maadili nk. Wake up prof. Baregu et al; kundaa vijana wako, otherwise sioni contribution zanu. People do think kila mahali utaaply profesionalism, kuna mahali hekima na busara lazima zitumike sana of which

It make me feel happy when I see this kind of thread. Pascal, I always read your posts critically, and I truly say, you are among of the critical thinkers in Jf, whom you real deserve my credits, if you don't mind, kindly accept them, and keep it up my friend, accept some critics in a positive ways, as they will keep you sharpened. Nevertheless, if you are able to recognize that your thoughts are significantly different from narrow-minded thinking, and you see things in different angles, and project them for miles of years head, I believe, one day, they will call you a humanity-based prophase. They will start saying to each other, this is what Pascal said before, and it is now happening.

Finally, I do strongly encourage our president JPM by saying that there is no president in this world who is 100% accepted by all people, and non who is 100% perfect, just keep it up no matter what kind of discouragements you are facing, and those you will encounter in a long run, provided that your priorities are for the national interests. Jesus Himself was rejected by His people (Jewish ) sembuse wewe mwanadamu?. Sometime, politicians whom they are now cheering for sentiments-oriented speeches do change, today they speak this way, and tomorrow that way (Chadema decision et al, 2015), JPM, with the assistance from The God Almighty, I have a trust in you, and you will make it because you are not a politician like them, instead you are the man actions.

With thanks,
That guy.
 
Halafu wasukuma hawanjaanza leo kushika nafasi nyeti, tokea enzi za Nyerere ,Mwinyi, Mkapa na JK walikuwepo kina Francis Nyalali, Paul Bomani, Marc Bomani, Bob Makani, Komanya, Chief Masanja, Pius Ng"wandu,Andrew Chenge, Ernest Nyanda, Shija, Paul Rupia, Manumba,Feleshi ,Luhigo boss wa mamlaka ya bandari enzi ya Mkapa, just to mention few.
 
Kama mnatuhumu kuwa ni mkabila hebu tuwekeeni mifano au ushahidi wa kuthibitisha ukabila wake! Vinginevyo ni umbea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…