Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Kweli mkuu lazima kuna laana fulani hivi. Hasa hiyo ya kujifanya matawi ya juu kisha kuacha mama anaishi kama Chokoraa hadi kujifia katika huzuni kubwa lazima laana isikuache.
Hivi ni kweli yule mama alikuwa amezaa na mzee Chigwemisye? Mbona mzee alimtosa namna ile? Au baada ya kuona kazaa toto punguani nini, maana katika watoto wa yule mzee wanaofahamika bogus ni huyu.
 
Kwahiyo akubali toka CCM sio?
 
Mi nahisi tupate independent inquiry committee kama CIA ili utata wote uishe
 
W. J. Malecela , we mzee nimekudharau sana ulipoanza kuleta mambo ya babaake yule dada kule insta badala ya kutetea hoja zako. Mtu wa kwanza ambaye ametoka kwenye mstari na kuanza kujadli vitu without facts ni wewe mzee. Acha mizuka jadili vitu polepole
 

Kama kutokubaliana na mtu kuingia katika chama kunasababisha uadui wa kuuna kwa Risasi basi wengi hawapo salama.
 
Watanzania wameshagundua kwamba dereva wa lori a.k.a Sizonje au Dikteta Uchwara anatumia mbinu za toka Rwanda ili kuwaangamiza wapinzani wake hasa wakosoaji kama alivyo Tundu Lissu. Itafikia wakati tutamburuza kule the Hague.
 
Vijana wa lumumba mnafadhaisha sana tangu lini mkawa washauri wa kumshauri Lisu nyinyi si ndio mlikuwa mnamuita msaliti sio mzalendo wakati akiwaambia ukweli
 
Bwana Adam dreva wa Lissu hakupata hata mchubuko hahaaaaaa akili za kuambiwa changanya na zako
Wewe ccm wakutumwa tumia akili dereva was never the "TARGET" zimpate viipi sasa walitumwa kupiga target " president lissu" wakapiga 32 zikampata tano mkitumwa waulizeni target alikua nani?
 
Mnahangaika sana.

Kaniki haiwezi kuoshwa ikawa nyeupe kamwe. Imeshachafuka imechafuka. Mtatunga kila aina ya theory kujaribu kuvika nguo hii scenario ila nguo hazikai! Zinashuka tu
 
w.j malechela@...acha kupapalika kaka..we learn from past events matukio haya toka yameanza kutokea gvt haijafanikiwa kuwapata wahalifu..braza kanyoshewa mguu wa kuku mchana kweupe lakin ajabu hajulikan....relax braza tumshukuru Mungu Tundu lisu mzima na aendelee kumpa nguvu aweze pona haraka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…