Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Hahahaha you are indeed a cheap wasted sperm. I gues your father would prefer a dog from you.

Laana ya mama yako aliyetumika kwa baba yako akatelekezwa kisha na ww ukamtelekeza na kumkana kutokana na umaskini wake, ndicho kinachokutesa ww.

yaani ulivo punguan unaona raha kujibizana na watu humu, tena you think uko sahihi kwa hicho unachoita eti facts.

this is my advise to you, dunia inazunguka mkuu..matendo yako ndio yatakayo kukuhukumu. Dhambi ya unafiki na uzandiki ni kubwa sana. Imekunyima heshima kwny jamii yaani ww you are good as dead.

nani atalia au kuhuzunika kwamba nimepoteza rafiki/jembe??? Matelefoni au bashite?? You are a fool
Kweli mkuu lazima kuna laana fulani hivi. Hasa hiyo ya kujifanya matawi ya juu kisha kuacha mama anaishi kama Chokoraa hadi kujifia katika huzuni kubwa lazima laana isikuache.
Hivi ni kweli yule mama alikuwa amezaa na mzee Chigwemisye? Mbona mzee alimtosa namna ile? Au baada ya kuona kazaa toto punguani nini, maana katika watoto wa yule mzee wanaofahamika bogus ni huyu.
 
Naam,kutokana na hali ilivyo kwa sasa Tundu Lissu ahakikishe kuwa yeye na familia yake ndio waratibu suala la dereva na usalama wake.

Asimuamini mtu yeyote nje ya familia yake kwa sasa. Ajifunze kwa ZZK jinsi ya kuishi katika kipindi cha mpito huku akitathimini mustakabali wake kisiasa.

Ukweli ni kwamba katika Chadema kwa sasa kuna Chadema walio Chadema na kuna Chadema wasio Chadema. Tundu Lissu ni Chadema aliye Chadema ila viongozi wengi ni Chadema wasio Chadema.
Kwahiyo akubali toka CCM sio?
 
Mi nahisi tupate independent inquiry committee kama CIA ili utata wote uishe
 
W. J. Malecela , we mzee nimekudharau sana ulipoanza kuleta mambo ya babaake yule dada kule insta badala ya kutetea hoja zako. Mtu wa kwanza ambaye ametoka kwenye mstari na kuanza kujadli vitu without facts ni wewe mzee. Acha mizuka jadili vitu polepole
 
Tusio juwa yaliomo ndani kwa kupigwa risasi Lisu tunahaha kwenye majukwa na kusema Lisu kapigwa risasi a serikali system ila hakuna mtu kawahi kujiuliza aduwi wa kwanza walisu ni nani na hili linafanya Lisu kuonekana kapigwa risasi na maafisa usalama wa serikali jambo ambalo sio kweli..

Nasema sio kweli maana tangu mwanzo Lisu hakukubaliana na kuingia Lowasa chadema na hili sio siri yapo maneno aliyasema kwenye vikao ambayo kiuhalisia yanawanyima usingizi watawala wa chadema

Pili Lisu ni mwanasheria ana mahusiano na watu mm na wewe hatuyajuwi na ktk hayo mausiano yanazuwa hali ya hatari kwa usalama wke

Kama kutokubaliana na mtu kuingia katika chama kunasababisha uadui wa kuuna kwa Risasi basi wengi hawapo salama.
 
Watanzania wameshagundua kwamba dereva wa lori a.k.a Sizonje au Dikteta Uchwara anatumia mbinu za toka Rwanda ili kuwaangamiza wapinzani wake hasa wakosoaji kama alivyo Tundu Lissu. Itafikia wakati tutamburuza kule the Hague.
 
Vijana wa lumumba mnafadhaisha sana tangu lini mkawa washauri wa kumshauri Lisu nyinyi si ndio mlikuwa mnamuita msaliti sio mzalendo wakati akiwaambia ukweli
 
Bwana Adam dreva wa Lissu hakupata hata mchubuko hahaaaaaa akili za kuambiwa changanya na zako
Wewe ccm wakutumwa tumia akili dereva was never the "TARGET" zimpate viipi sasa walitumwa kupiga target " president lissu" wakapiga 32 zikampata tano mkitumwa waulizeni target alikua nani?
 
Mnahangaika sana.

Kaniki haiwezi kuoshwa ikawa nyeupe kamwe. Imeshachafuka imechafuka. Mtatunga kila aina ya theory kujaribu kuvika nguo hii scenario ila nguo hazikai! Zinashuka tu
 
w.j malechela@...acha kupapalika kaka..we learn from past events matukio haya toka yameanza kutokea gvt haijafanikiwa kuwapata wahalifu..braza kanyoshewa mguu wa kuku mchana kweupe lakin ajabu hajulikan....relax braza tumshukuru Mungu Tundu lisu mzima na aendelee kumpa nguvu aweze pona haraka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom