Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!


....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Kweli kabisa. Kuna mmoja bila hata aibu kaweka video YouTube. Ukimsikiliza kwa makini unatambua kuwa haelewi akiongeacho and wala he ain't hearing what he says...then after unakuta utitiri wa comments na replay which are all matokeo ya kujazana chuki. Watanzania wenzangu, kilicho mpata Mh. Lisu ni cha kulaaniwa kwa kila namna iwezekanavyo. Ila, connecting this shooting to anyone whether in power or an ordinary citizens sio fair kabisa. Think a little, what if Mh. Lisu aka tell the tale which is quite different to kinachotajwa na baadhi ya wenzetu?

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
another rubbish from CHAMWINO /CHIMWAGA....jinga tu kama yule mbunge flan wa ccm aliyejidai eti kumjibu Lisu kuhusu bombardier
 
Vijana waLumumba ni wasengeRema mno. Mkishatoka kukalia madude mnakuja kutoa uharo tu. Hayo ndio maelekezo ya Leo?
 
Unamaanisha hao unaozungumzie wampige lissu leo ,kwann wasimpige kipindi kile cha uchaguzi,?
Swali dogo tu classmate wangu hivi kwann kipindi cha Jk aliyekuwa anasakwa sana Dk slaa,? Halafu kuwa na subira vyombo vya ulinzi na usalama vinapofanya kazi au huviamini ? Kwamaana leo umeamua kushinda kwenye keyboard?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusio juwa yaliomo ndani kwa kupigwa risasi Lisu tunahaha kwenye majukwa na kusema Lisu kapigwa risasi a serikali system ila hakuna mtu kawahi kujiuliza aduwi wa kwanza walisu ni nani na hili linafanya Lisu kuonekana kapigwa risasi na maafisa usalama wa serikali jambo ambalo sio kweli..

Nasema sio kweli maana tangu mwanzo Lisu hakukubaliana na kuingia Lowasa chadema na hili sio siri yapo maneno aliyasema kwenye vikao ambayo kiuhalisia yanawanyima usingizi watawala wa chadema

Pili Lisu ni mwanasheria ana mahusiano na watu mm na wewe hatuyajuwi na ktk hayo mausiano yanazuwa hali ya hatari kwa usalama wke

Tatu nilazima tukumbuke ndani ya chadema hakupo shwari kuna msuguano ambao kwa wale wengi wanajuwa ulianza siku chadema walimkubal lowassa sio siri Lisu na team ya watu wengine hawakuwa rahisi kukubali ila mwisho all we know and what is going on God know

Nne watu walio tengeneza hili tukio walikuwa very calculated walitengeneza mazingira yakumfanya Lisu awe front kupingana na serikali ili wakitekeleza mission yao serikali yetu ichafuliwe why waichafuwe nitaelezea next story...

Tano mahusiano kati ya mafisadi papa na kudukuliwa kwa nyeti za serikali na kuhisiwa lisu ni agent wa serikali ni siri imejificha yani walio fanya tukio walikuwa na nia yakummaliza kwakuwa jamaa walihisi anapeleka nyeti za chama kwa agent x as ye know chadema pia wana.. Wao.

Kikosi cha usalama cha chadema pia kinahusika why hiki kikosi kina sifa nzito ktk kutekeleza usalama wa mchama wao in short lisu hawamuamini na inaonekana ni tishio kwa chama na uwenda kelele anazifanya anataka ajekuwa mgombea wa chama badala ya ....... Hilo likawatia mashaka na kusema dawa ni kummaliza japo wakashindwa...

Zipo tetesi uwenda lisu ana maaduwi wengi kuliko huyu tunamuwaza yani serikali kinadharia lisu sio tishio ktk utawala wa Magu ila kama tutafunuliwa siri zingine Lisu ana maadui kuzidi serikali ni akina nani kwanini....

Lipo jambo lakutisha sana na hili nilazima sote tujuwe lisu anasilaha na kama sijakosea dereva anayo matundu ya risasi tunayaona yana pande mbili na uwenda hata silaha zimetumika zika tofauti bad thing chadema ktk tetesi zipo wanatabia yakutumia dereva kufanikisha kazi zao na hili niushaid wakutosha kwenye kifo cha chacha wangwe hatuitaji kusema sana ila nahapa kunaitaji uwazi matobo yarisasi zinazobtokea ndani yalikuwa ya silaha ipi na kwa nini nani alirusha risasi tokea ndani na kwanini..

Serikali kiukweli kwa asilimia mia ukiwa na akili naunajuwa kufuwatilia maswala ya kiuchunguzi mchawi wa chadema ni chadema wenyewe why uliza viongoz wajuu mimi sijuwi...

Serikali iweke wazi yote na mwisho chadema wajuwe serikali hii sio yakupambana na wanasiasa uchwara inapiga kazi nabhaitishiwi nyau na uvumi kama huu.
Hivi ni kwa nini wafuasi wa BASHITE Mnahangaika hivyo?......Toeni jibu; Bashite alienda kufanya nini dodoma siku ya tukio?.....Acheni kuhangaika
 
Mi nahisi tupate independent inquiry committee kama CIA ili utata wote uishe
Haijulikani nani anahusika..ila kuna watu wanatetea mpaka inatia shaka..bora kukaa kimya kusubiri upelelezi kuliko kutetea na kuleta mashaka zaidi..
 
Wala usipate tabu huyo jamaa ni classmate wangu namfahamu vizuri darasani alikuwa poyoyo tu, nashangaa siku hiz amekuwa msemaji wa chsma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol kwan kelele za chura znamnyima tembo kunywa maji??? Trump anapigiwa kelele za kila aina mbna anapiga kaz vzur tu?? Inakuaje cc uku tunapenda sana kudeal na maneno kuliko matendo?? Km serikal inafanya the so called kazi yake ifanye.. mnataka tunyamaza muipitishe kmya kmya km kawaida??

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Mmemtoa kafara na imeduma. Kila siku mnaanzisha senema mpya. Anayetangangaza kuwania nafasi kuu au kuingilia hizo nafasi mbili za Uenyekiti na Urais hayuko salama na watu wasiojulikana
 
Na kwa jinsi serikali hii inavyopenda kiki isingewezekana kutekeleza Hilo tukio ili wakose kiki wanajua wanachofanya so adui wa lissu ni ndugu zake kutoka kwenye mfumo wake ambao yeye ni mtetezi na mpigaji kelele huku ajui kuwa anawafungia watu ridhiki.

Njoo unipige nipo home saiv.
 
Kuna vitu vinatia shaka sana kwa tukio la Lissu na siku zote upelelezi lazima uanzie kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo
Ndugu hata waje nani mbinu na taratibu za investigation zinafanana kuanzia

1 DNA
2 CCTV cameras
3 Finger print
4Ushahidi wa Mazingira
5Ushahidi wa mawasilino

Huku njia za kiuchunguzi ni 6 zilezile si kwamba CIA wakija watakuja na njia zaidi ya hizi
1 immediate action
2 Plan investigation
3 Data collection
4 Data analysis
5 Corrective actions
6 Reporting

Ukiangalia njia karibu zote tayari jeshi la Police linazifanyia kazi toka siku ya kwanza kingne ambacho ujui huko huko kwenye NSA,CIA,FBI yani US ndio nchi ya kwanza kuongoza kwa mauaji ndani ya US na Marekani hakuna kesi zinazochukua muda mrefu kuwa solved kama kesi za mauaji kuanzia mauaji ya Mitaani au homicide rate ya mauaji kwa mwaka ni 16.3% ya vifo vyote vinavyotokea US ni vya mauaji hasa ya silaha za moto yani bunduki pamoja na kuwa na Technologia kubwa vyombo vya Ulinzi na usalama zaidi ya 17 lakini ndio nchi yenye rate kubwa ya mauaji ya kutumia silaha na kesi zake zinachukua muda mrefu sana
Kuanzia mwaka 1968-2011 kumefanyika mauaji zaidi ya 1.4 milion kesi ambazo zimekuwa solved yani wauaji kupatikana na hukumu kutolewa ni chini ya kesi 1.2 milion so bado kesi zaid ya laki mbili bado si solved hiyo ni mwaka 1968-2011 kumbuka ktk nchi zenye vurugu na mauaji ya silaha SA na USA zinaongoza

Mwaka 2010 68% of all homicides in the US were committed by firearms
Lakini kesi nyingi za mauaji zinategemea sana laboratory kusolve kuanzia DNA mpaka Finger print ambapo FBI wana
system ya Combined DNA Index System ( CODIS ) ambayo raia wote wa US DNA zao zinakuwapo so wanakuwa wanafanya matching na DNA ya kwenye Crime scene pia bado aitoshi kumfungulia mtu kesi kwani mtu anaweza kuua na kupadikiza DNA ya mtu mwingine kwenye Crime scene je DNA za raia wote wa Tanganyika zipo kwenye data base?? na katika uchunguzi watu wa kwanza kuchunguzwa juu ya swala hili ni Chadema wenyewe kwani kanuni ya uchunguzi inaanzia kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo je chadema wako tayari kuchunguzwa wao kwanza? pili wako tayari kupokea majibu ya uchunguzi utakapokamilika je ikitokea Chadema kuna mtu amehusika je wapo tayari kukubali je wanachama wa chadema wapo tayri pia kukubali matokeo ya uchunguzi huo??
Umesahau pia kupima mkojo ni mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom