Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Kweli kabisa. Kuna mmoja bila hata aibu kaweka video YouTube. Ukimsikiliza kwa makini unatambua kuwa haelewi akiongeacho and wala he ain't hearing what he says...then after unakuta utitiri wa comments na replay which are all matokeo ya kujazana chuki. Watanzania wenzangu, kilicho mpata Mh. Lisu ni cha kulaaniwa kwa kila namna iwezekanavyo. Ila, connecting this shooting to anyone whether in power or an ordinary citizens sio fair kabisa. Think a little, what if Mh. Lisu aka tell the tale which is quite different to kinachotajwa na baadhi ya wenzetu?

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
another rubbish from CHAMWINO /CHIMWAGA....jinga tu kama yule mbunge flan wa ccm aliyejidai eti kumjibu Lisu kuhusu bombardier
 
Vijana waLumumba ni wasengeRema mno. Mkishatoka kukalia madude mnakuja kutoa uharo tu. Hayo ndio maelekezo ya Leo?
 
Unamaanisha hao unaozungumzie wampige lissu leo ,kwann wasimpige kipindi kile cha uchaguzi,?
Swali dogo tu classmate wangu hivi kwann kipindi cha Jk aliyekuwa anasakwa sana Dk slaa,? Halafu kuwa na subira vyombo vya ulinzi na usalama vinapofanya kazi au huviamini ? Kwamaana leo umeamua kushinda kwenye keyboard?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kwa nini wafuasi wa BASHITE Mnahangaika hivyo?......Toeni jibu; Bashite alienda kufanya nini dodoma siku ya tukio?.....Acheni kuhangaika
 
Mi nahisi tupate independent inquiry committee kama CIA ili utata wote uishe
Haijulikani nani anahusika..ila kuna watu wanatetea mpaka inatia shaka..bora kukaa kimya kusubiri upelelezi kuliko kutetea na kuleta mashaka zaidi..
 
Anayewatuma kuandika upuuzi mwambieni amekwama!
 
Wala usipate tabu huyo jamaa ni classmate wangu namfahamu vizuri darasani alikuwa poyoyo tu, nashangaa siku hiz amekuwa msemaji wa chsma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol kwan kelele za chura znamnyima tembo kunywa maji??? Trump anapigiwa kelele za kila aina mbna anapiga kaz vzur tu?? Inakuaje cc uku tunapenda sana kudeal na maneno kuliko matendo?? Km serikal inafanya the so called kazi yake ifanye.. mnataka tunyamaza muipitishe kmya kmya km kawaida??

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Mmemtoa kafara na imeduma. Kila siku mnaanzisha senema mpya. Anayetangangaza kuwania nafasi kuu au kuingilia hizo nafasi mbili za Uenyekiti na Urais hayuko salama na watu wasiojulikana
 
Na kwa jinsi serikali hii inavyopenda kiki isingewezekana kutekeleza Hilo tukio ili wakose kiki wanajua wanachofanya so adui wa lissu ni ndugu zake kutoka kwenye mfumo wake ambao yeye ni mtetezi na mpigaji kelele huku ajui kuwa anawafungia watu ridhiki.

Njoo unipige nipo home saiv.
 
Umesahau pia kupima mkojo ni mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…