Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Le Mutuz kaongea point sana, ila kama watu wanalazimisha kufikiri ya kwao basi waendelee, tuna "Freedom of Speech" ambayo wengi tunaidhihaki, ila kweli tuiachie dola iwatafute watuhumiwa, otherwise mnajenga chuki tu kati ya mashabiki wa vyama..
 
Hata kama unamahaba na mtu fulani ni vizuri ubakiwe na akili za kwako ambazo zitakusaidia kupambanua mambo.

Unapoleta orodha ndefu ya watu waliotekwa na wengine wameuawa huku ukijua kuwa wakati matukio yote yanatendeka serekali iliyokuwepo madarakani ni serekali ya CCM.

Unatoafundisho gani kuhusu serekali ya CCM,unaka watu waelewe kuwa serekali ya CCM inaongozwa na watu wauaji na watekaji wanaoua kwa kupokezana kijiti cha utekaji na mauaji?.
 
Natamani kukutafuna,watu tunauguliwa wewe unaleta upuuzi hapa
 
We kweli ni mwananchi au kibaraka wa watawala?.....

Unawezaje zuia swala la ukeketaji wakati wewe ndiye ngariba na diwani kwenye kijiji ...?

Nosense...
 
@W.J. Malecela,

..mnaoamini serikali mnaweza kusubiri majibu toka huko.

..wanaoamini vyombo, au taasisi nyingine, nao watapata/wameshapata majibu toka kwa wanaowaamini.


cc Nyani Ngabu
 

Naona Pwagu na pwaguzi mmekutana. Waliompiga risasi Lissu wako wazi. Na hao mnaosema wafuatilie wanajua mchezo wote. Waaminini nyie hakuna anayewakataza.
 
Wote uliowataja baada ya serikali kuachiwa kazi ya kuwasaka walipatikana wahalifu? Hukumu zao mahakamani zimewahi kutolewa tuweke records zetu sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwa wanaojua magari, huku mjini magari haya yanaonekana zaidi na akina nani, nani wanatumia zaidi magari haya.
Tumia akili.inamaana tukio lilikuwa linarekodiwa?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Katika mazingira ambayo kwa Asilimia 99 serikaliiii? ndio inahisiwa kuhusika na tukio hilo moja kwa moja, unategemea serikali inaweza kuchunguza nini?
 
- Nimesema hivi Mwangosi aliuawa nikiwa nimerudi Bongo, na haikuwa MWaka 2002 so relax tafuta hoja ya msingi na infact Rais hakuwa Magufuli

le Mutuz

Kwa taarifa yako bora hata hao walikuwa wanaweza kujenga hoja kuliko yeye.
 
So raisi alikua mbowe kipindi hayo yote yanataokea? Na je walishawai polisi walitoa A to Z ya hayo yote
 
Tokea mwaka 1998 hakuwa rais huyo Maguful Ila serikali ni ya Ccm mpk Leo Akili tu yakuvukia barabara inatambua . Wananchi Hatuna imani na serikali siyo ya Maguful hata Hizo zilizopita. Usituondoe Kwenye mstari bora uendelee kupiga picha na totoz, siasa achana nazo.
 
Mkuu Hivi uchunguzi wa yule alomtolea bastola Nape umefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes kuihusisha serikali bila evidence ni tatizo ila Lazima tutoe facts zetu pia kutokana na mlolongo wa mambo mengi ya ajabuajabu dhidi ya raia kwenye uongozi huu. Mfano tutashindwaje kuunganisha hili la murder attempt jana na uvamiz wa clouds, IMMA ADVOCATES, Roma mkatolic, Ben saa8, mbunge Nape ,hapo ndipo vidole vinaielekea serikali maana ndio inayotakiwa kutulinda lakini haichukulii hatua ya kukamata na kuwafikisha kwa pilato wahalifu kwa sababu wazijuazo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…