Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Huyu naye akae kimya wewe ndio msemaji wa serikali 'Guilty consciousness Next.......
 
Mzee unajidhalilisha

Ni bora kukaa kimya
Hata ukimuuliza mtoto wa darasa la kwanza atakuambia muhusika ni nani
kama unawafahamu wausika ni vyema ukawalipoti police make police wanaitaji msaada kutoka kwa watu kama nyinyi.
Kukaa kimya sio suruisho
 
Asilimia 99 waliovamia clouds ndio waliotaka kumuua Lissu.
 
Tuiachie ifanye kazi yake ipi? Maana inakaziii? Watu watoe wanachokijua ili tuufikie ukweli,swala la amani,ulinzi na usalama si la serikali pekee bali ni letu sote.
 
Serikali hiyo hiyo impige risasi halafu ikupe majibu never sahau
 
Zaburi ya 52 mstari 1 Mpaka wa 5
 
Lakini pia serikali ilisema kuwa, 'kwenye hili la madini, ni vita. Yule atakayekwenda tofauti na sisi ni msaliti, adhabu anayostahili inajulikana, askari wanajua'.

Huyu Malecela atuambie maana ya hiyo kauli.
 
W. J. Malecela hajawahi kuwa na Akili tangu Father akiwa PM, usitegemee utakuja ona huyu mtu akiwa na hata chembe ya neno lenye akili nyakati hz!
 
Hiki ndicho kinachoitwa "ABSOLUTE RUBBISH". Hakuna hoja uliyoandika zaidi ya upuuzi sawa na wenzio waliokuja na dhana mbalimbali za kufikirika za ni nini kinaweza kuwa chanzo au ni nani wanaohusika na kusudio/jaribio lililoshindwa la kumu assasinate mh Tundu Lissu.Nadhani ni kwa makusudi umeamua kujipumbaza kwa kutoyataja matukio yaliyojiri katika kipindi cha utawala wa awamu iliyopo madarakani ukiamini kila mtu ana ufinyu wa uelewa au anaishi maisha ya kizandiki na "kujibebisha" kwa walio na nafasi kama ufanyavyo wewe.Kuwa eliminate watu walio na fikra tofauti na zako hakujengi hofu bali hutengeneza chuki katika taifa ambayo siku matokeo yake yatakapo lipuka utawish usingetumia wakati wako vibaya kuandika upuuzi huu kwa kujaribu kuuchallenge uwezo wa kufikiri wa watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bw malecela mh Lisu ana nyadhifa 3 ubunge uwakili na rais wa TLS mwenye hizi nafasi alizonazo ni IPI inafanana MTU kubeba Bunduki SMG akamuue Lisu si Magufuli ila siasa na wanaoitumikia na ndiyo wanaomiliki hizi smg acha watu wajadili ila Tanzania ilipo kwa sasa si pazuri na si kisiwa cha amani tena.
 
nimekusoma mkuu ni kwel kabisa
 
Msaga sumu : njoo kwenye Uzi huu utuelezee studio ya kisasa na mitambo yake
 
Huyu jamaa nilishamdharau toka mda mrefu sana, hanaga akili ata kidogo.
Anamlamba bashite miguu,mwili mkubwa akili ya sisimizi.
Lissu sio level yako, haya nikuulize mbona bashite hajatoa pole kwa lissu kwa mfano??
 
Polisi wamesema wanataka taarifa toka kwa wananchi
 
Serikali kupitia jeshi la polisi imetuomba tuseme tunachokijua, sasa wewe mahaba yako yanafahamika yalipo.

Sie tunaunga dots, wao watachuja humu JF TOFAUTI na huko kwenu humu we dare to talk openly. Nyie mnatukuza fikra za viongozi wenu.

Nyie mnao ugomvi wa wazi na Tundu, jeshi la polisi, Usalama na mkuu. Kama tungekuwa na mamlaka wakuu wa vyombo hivyo wanatakiwa kuwa wa kwanza kuisaidia polisi. TAL alishawaambia na hamkuchukua hatua.

Mwisho, kama ada msituzuie kusemea Nafsi zetu nyie wa sasa hivi mna roho mbaya kwa kauli na matendo yenu na mnaowaiga hizi ndio tabia zao sasa inakuwaje tusiwataje nyie kwanza.

 
Sasa Ndugu Angu Lemutuz Ni Kweli Tusibiri Uchunguzi,ni Uchunguzi Upi Unaosema Ww,huyo Unayomtetea Ndyo Huyo Anayehubiri Chuki Na Utengano,ndyo Huyo Huyo Anayewaona Wapinzani Ni Maadui,tutaamini Vp Km Hajahusika?Kauli Zake Zina Utata Kwa Usalama Wa Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…