Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Serikali hii hii inayodaiwa majibu kuhusu Ulimboka, Kibanda, zile maiti kwenye vifurushi bila kusahau Ben Saanane?

Tanzania sio ya kikundi kidogo cha watu wachache. Tanzania ni ya kila Mtanzania, na kila Mtanzania ana haki ya kuongea. Hata kama mpo karibu na watawala haimaanishi mna mamlaka ya kuwapangia watu cha kusema/kuandika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
One word: PATHETIC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FACT;
TUNDU LISSU alikwisha waambia Sirro na yule wa TISS tena hadharani kuwa kuna "vijamaa" vyao vinamfuatilia kila mahali Kwa gari alilowapa namba zake
Je walichukua hatua gani?
 
Le Mutuz kaongea point sana, ila kama watu wanalazimisha kufikiri ya kwao basi waendelee, tuna "Freedom of Speech" ambayo wengi tunaidhihaki, ila kweli tuiachie dola iwatafute watuhumiwa, otherwise mnajenga chuki tu kati ya mashabiki wa vyama..
Katika issue kama hizi, serikali imeshawahi kumkamata nani na kumwajibisha nani? Nipe mfano mmoja tu.
 

Nikuulize swali, maraisi wanabadilika ila kuna watu fulani wao wapo tu na ndio wanajiona wenye nchi ,hao ndio na ndio ndio wao, walio wao wamefanya wao.
 
Watu Wasiojulikana wanatakiwa watafutwe kwelikweli maana matukio yote haya walihusishwa;

1. Prof.Juan Mwaikusa

2. Dr.Ulimboka

3. Absolum Kibanda

4. Dr. S. Mvungi.

5. Alphonce Mawazo,

6. Ben Saanane,

7. Nnape Nauye

8. Roma Mkatoliki na wenzake

9. Ofisi ya IMMA Advocates na,

10. Tundu Lissu.
 
Umeandika matukio mengi .....Rais hakuwa magufuli ila ni fact kuwa Ben saanane kapotezwa na tiss rais akiwa magufuli, alphonce mawazo kauwawa na ccm rais akiwa magufuli, nape katolewa bastola na watu wa ikulu rais akiwa magufuli, makonda alitumwa na magufuli kuvamia clouds, magufuli alimwagiza spika ndugai awashuglikie wapinzan bungeni, na yeye magufuli atawashuglikia nje ya bunge kwa sasa naishia hapa nitaendelea........
 
AAHAHA JAMAA UMENICHEKESHA KWELI.

YANI UNAITETEA SERIKALI HALAFU UMELETA MTIRIRIKO WA MAUAJI YALIYOFANYWA NA VYOMBO VYA DOLA, SASA SIJUI UMEMAANISHA NIN? KWAN KUNA ALYESEMA MAGUFULI NDYE ALYERUSHA RISAS JANA? MBNA UNAMCHAFUA RAIS SASA
 
Wewe Malechela ni mpuuzi tu. Kwanza tuambie alikokuwa rafiki yako wakati Bosi wake akipokea Ripoti ya Makinikia.
 
Am tired with this [HASHTAG]#shit[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…