Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Huu ndio ukweli na asiyetaka kuukubali basi ahame nchi...
Watu humu wanaituhumu na kuichkia serikali kwa mambo yao binafsi na sio kwa faida ya Taifa....msitake kufanya nchi hii kua ninyi ndio mnaiskilizia uchungu..wengine maisha yao hayahusiani na siasa dawa zikose waisha zoea wanatumia za kienyeji sasa hawa wahanga wa ajira ndio mnasumbua Taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama serikali imehusika je, itasema kweli?

Halafu huyu mtu anajigamba eti amekaa mamtoni miaka thelathini anakuja na hoja mfu kama hii sasa umejifunza nini huko kuvaa kaptula tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais hakuwa Magufuli = ilikuwa CCM
 
"TUVIACHIE VYOMBO VYA USALAMA! OOH SORRY, VYOMBO VYA DOLA"
-------------------------------------------------------------
Hii sio kauli mpya. Na kwa kumbukumbu zangu sikumbuki ni lini vyombo vinavyoitwa vya usalama vilitoa majibu panapotokea matukio ya uhalifu dhidi ya watu wanaokosoa serikali au wanaharakati wengine.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kutekwa, kuteswa na kutupwa porini ili afe, Dr. Steven Ulimboka.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la mauaji ya Dr. Senghondo Mvungi.
Tumeviachia vyombo vya usalama kutekwa na kuteswa kwa Absalom Kibanda.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la mauaji ya Prof. Mwakyusa
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kumwagiwa tindikali Mh. Saed Kubenea
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kupotea Ben Saanane
Tumeviachia vyombo dola miili ya watu saba iliyokuwa kwenye mifuko, iliyotupwa mto Ruvu.
Tumeviachia vyombo vya usalama kumwagiwa tindikali wazungu kule Zanzibar
Tumeviachia vyombo vya usalama mauaji kwa kuchinjwa, Alphonse Mawazo
Tumeviachia vyombo vya usalama kulipuliwa mikutano ya Chadema kwa mabomu ya Arusha.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kulipuliwa kwa mabomu ofisi za IMMMA

Leo Lissu anapigwa risasi nyingi kwa lengo la kuuawa, kauli ni ileile! Tuviachie vyombo vya usalama.
Nikumbusheni ni matukio mangapi kati ya hayo hapo juu yaliyotolewa majibu na hivyo vinavyoitwa vyombo vya usalama!

Sijawahi kuona kitu kinachoitwa chombo cha usalama katika nchi yangu. Kuna vyombo vya dola! Kwa hiyo kauli rasmi iwe "TUVIACHIE VYOMBO VYA DOLA".
Maana yake ni kwamba tusitegemee kuwe na majibu yoyote ya kuridhisha kama dola ndio linahusika na matukio ya uhalifu. Chombo cha dola hakiwezi kukamata dola!
Kuna nchi zina vyombo vya usalama. Kwa mfano CIA ya Marekani. Ndio maana CIA wanaweza kumchunguza Rais wa nchi yao ya Marekani. Kwa sababu ni chombo cha usalama kwa ajili ya wamarekani. Hata pale CIA wanapotuhumiwa kufanya uhalifu, mara nyingi huwa kwa nguvu zingine, sio Marekani.
Sisi huku tunafanya vyombo vya dola kwa ajili ya kulinda dola, sio vyombo vya usalama kwa ajili ya usalama wa taifa lote/raia wote. Tuna vyombo vya dola kwa ajili ya dola na watu wanaopenda na dola, na wanoonekanekana kushabikia dola.
TUVIACHIE VYOMBO VYA DOLA kama tulivyoacha huko nyuma, na bahati nzuri watanzania ni watu wa kuacha.
Lakini ole wetu, wanyonge watakapochoka na kuamua kurudisha ngumi! OLE WETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile shangingi lililowafuata kina lisu wakati wanaingia nyumban linaloonekana kwenye picha ni la usalama wa taifa. Willy kuna dunia yako na makada wenzio endeleeni kuamini sisi tunamjua aliyefanya
 
hili jamaa halina memory kabisa. vitendo vyote vya kigaidi hufanywa na CCM,

Haya we kiazi tuambie nani alimteka, mama yetu,akampora fedha na kum........... pale Moro.
 
Hi
Hivi vijana wa siku hizi mnatumia kiungo gani cha mwili kufikiria? Unadhani umetoa hoja ya kuinusuru serikali? Tuliyemkabidhi usalama wetu na mali zetu ni serikali na wala siyo vyama vya siasa wala kikundi chochote cha jamii. Kwamba mtu kapata madhara na serikali haijatoa majibu yanayoridhisha ni udhaifu wa serikali. Kumbuka hakuna serikali ya mtu faridi, serikali ni ya chama kilichotuaminisha kwamba huyu anafaa. Mifano yote uliyoitoa au vile unavyodai ni facts ni udhihirisho wa udhaifu wa uongozi wa chama kilichopo madarakani. Ebu chutama. Unamwaibisha mzee. 9
 
Na hata Mwakyembe kupewa sumu na kunyonyoka nywele na kukaribia kufa, Rais hakuwa Magufuli. Rais Magufuli ni mtakatifu unapomlinganisha na watangulizi wake. Amewabana mno matajiri wezi ndio maana wanatafutia pa kutokea. Bahati mbaya sisi wengine mamburura tunapelekwa pelekwa tu hatujui tushike wapi hata kama tu naona Magufuli anafanya ambayo wengine hasa huyo aliyempisha hawa kuwa na uwezo achilia mbali maono ya maendeleo kama jamii nzima.
 


Kwa wanaojua magari, huku mjini magari haya yanaonekana zaidi na akina nani, nani wanatumia zaidi magari haya.


Swali lako ni zito sana mkuu,,,,,Its a milion dollar question
 
kifo ni kifo tu
 
Usitafute sifa kwa kitu kilichowazi au lbd yatosha kuitwa mpumbavu kweni mashambulio hayo yote aliyesabanisha ni nani?kama c serikali hii au inajifanya kipusa usiye ona mbali mbona mnakuwa kama majinga nyani nyie?hata kwenye swala hili unataka kupindisha kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…