Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Na Serikali imefanya kazi yake kweli, hiyo haina ubishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais hakuwa Magufuli = ilikuwa CCMEXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
hili jamaa halina memory kabisa. vitendo vyote vya kigaidi hufanywa na CCM,EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Hivi vijana wa siku hizi mnatumia kiungo gani cha mwili kufikiria? Unadhani umetoa hoja ya kuinusuru serikali? Tuliyemkabidhi usalama wetu na mali zetu ni serikali na wala siyo vyama vya siasa wala kikundi chochote cha jamii. Kwamba mtu kapata madhara na serikali haijatoa majibu yanayoridhisha ni udhaifu wa serikali. Kumbuka hakuna serikali ya mtu faridi, serikali ni ya chama kilichotuaminisha kwamba huyu anafaa. Mifano yote uliyoitoa au vile unavyodai ni facts ni udhihirisho wa udhaifu wa uongozi wa chama kilichopo madarakani. Ebu chutama. Unamwaibisha mzee. 9EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Na hata Mwakyembe kupewa sumu na kunyonyoka nywele na kukaribia kufa, Rais hakuwa Magufuli. Rais Magufuli ni mtakatifu unapomlinganisha na watangulizi wake. Amewabana mno matajiri wezi ndio maana wanatafutia pa kutokea. Bahati mbaya sisi wengine mamburura tunapelekwa pelekwa tu hatujui tushike wapi hata kama tu naona Magufuli anafanya ambayo wengine hasa huyo aliyempisha hawa kuwa na uwezo achilia mbali maono ya maendeleo kama jamii nzima.EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
![]()
Kwa wanaojua magari, huku mjini magari haya yanaonekana zaidi na akina nani, nani wanatumia zaidi magari haya.
kifo ni kifo tuUnafananisha vipi mauaji ya Dr. Sonkondo na tukio la Lissu. Senkondo ingawaje alikuwa ni kiongozi wa upinzani lakini siasa zake wala hazikuwa za kuiudhi serikaali. In short, siasa zake zilikuwa sawa na wanasiasa wenzake wa NCCR kama akina MBatia. Hadi Dr. Senkondo anapigwa risasi hakuwa na sintofahamu yoyote na serikali ya kuhisi kwamba labda serikaali waliamua kumpoteza. What about Tundu Lissu?!
Usitafute sifa kwa kitu kilichowazi au lbd yatosha kuitwa mpumbavu kweni mashambulio hayo yote aliyesabanisha ni nani?kama c serikali hii au inajifanya kipusa usiye ona mbali mbona mnakuwa kama majinga nyani nyie?hata kwenye swala hili unataka kupindisha kweli?EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....