Wee wacha ilojambo chafu ulilo posti kwanza tunakujua wewe na Huyo bashite wenu ndio munatumika kuua watu kuwakatakata ukisaidia serikali kutuuatusio na hatia muuaji mkubwa sana wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee wacha ilojambo chafu ulilo posti kwanza tunakujua wewe na Huyo bashite wenu ndio munatumika kuua watu kuwakatakata ukisaidia serikali kutuuatusio na hatia muuaji mkubwa sana wewe.
Huruma ya Muuaji Bashiiiity@coy... Ni huruma ya mamba kwa swala.. Ni huruma ya ibilisi kwa Wana wa Mungu..Mratibu mauaji then mnakuja na hojaufilisi..angalao mkae kimua.hakuna atakayewauliza.. Ila mawazo yako ya huruma ni sawa na shetani kumshauri Mungu aridhie uovu..Naam,kutokana na hali ilivyo kwa sasa Tundu Lissu ahakikishe kuwa yeye na familia yake ndio waratibu suala la dereva na usalama wake.
Asimuamini mtu yeyote nje ya familia yake kwa sasa. Ajifunze kwa ZZK jinsi ya kuishi katika kipindi cha mpito huku akitathimini mustakabali wake kisiasa.
Ukweli ni kwamba katika Chadema kwa sasa kuna Chadema walio Chadema na kuna Chadema wasio Chadema. Tundu Lissu ni Chadema aliye Chadema ila viongozi wengi ni Chadema wasio Chadema.
Acha akutukane kwani wewe unathamani yeyote? Kumbe Lissu pamoja na kuwa naye hapo mjengoni bado unaonyesha umeumia sana tukio lile kutochukua maisha yake!hoja za matusi?
Watu kama wewe huwa napata amani sana napo ona pist zenu na huwa najiuliza kumbe watu walio na mawazo mazuri mpo,asante kakahabari wanajamiiforum binafsi yangu nasikitishwa sana na tukio lililotokea yan jaribio la kumuua mbunge tundu lissu bali nasikitishwa zaidi na baadhi ya watu ambao nawaita wap*mbavu ambao wameanza kunyoshea watu vidole.Ni mapema sana kumnyoshea mtu kidole maana kwa position ya lissu ana maadui wengi sana
Tukianza position yake ya uwanasheria lissu ana maadui weng kutokana na kesi anazosimamia.Pia lissu ana maisha nje ya siasa na sheria inawezekana ana watu wamezulumia fedha au wana ugomvi wowte.Pia kwa kiasi kikubwa me mawazo na akili yangu nahisi ni majizi,mafisadi na wauza ngada ndo wamehusika ili kuharibu image ya serikali na kupoteza ajenda kuu ya kitaifa ya ufisadi kwenye madini.
Hivyo nina imani kubwa na serikali yangu na jeshi la polisi kwa ujumla hivyo naomba watanzania tushirikiane na polisi kutoa taarifa kama unamjua aliyehusika na si kuropoka mtandaoni
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki JPM
Mungu mponye haraka lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha you are indeed a cheap wasted sperm. I gues your father would prefer a dog from you.- Sasa baba yako alifanya sperms zake vizuri kuzaa litoto linalotumia majina ya bandia kutukana wanaume lisilowajua JF, hahahaha nimekuuliza swali mbona unatoka mapovu ninasema hivi mbona hujawaombea waliomuua Chacha Wangwe? au kuna kitu unakijua unakwepa?
le Mutuz
Hawa wajing.a hawajielewi na vichwa vimejaa funza za uharibifu na hakuna mwenye nafuu kuanzia sizonje wao kichwa kinapataoto sana kama kawehu flani.... Kila kitu kiko wazi na jamii duniani wanajua.. Wanakuja na swaga za kipunguani..na kitaahira kujustfy unajisi wao.. Kwa ninj umtendee unyama hui binadamu asiye na hatia kwa kukukosoa?? .. N ajili kabilanlao linaonesha wamenobea katika kuua ili wapate madaraka.. Matukio mengi sana yametokea kwao kuuawa kwa viongozi kuanzia wenyeviti wa vijiji.. Madiwani..wanasiasa.. Na kama mnakumbuka vizuri mtaunganisha dots.. Kingine albino wameteswa sana kwa kuuawa na kukatwa viganja na hawahawa.. Ifike mahali tupige kampeni kuwaamsha Watananzia wajihadhari.. Sasa mziki unapigwa na wa.ji.nga 2 na walio wema wanakaa kimya.. Amkeni jaman..Mtaendelea kuweweseka sana mission failed,
Adam anayemuendesha Tundu Lisu siyo dreva ni kijana wake, ndugu yake na amemlea yeye.
Kama ulidhani Lisu ana akili ndogo kama funza wa Lumumba pole.
Ni kwa nini Polisi waliamuru gari zote zitolewe tinted? Walikuwa wanataka wamuone vizuri nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe ni kinara wa umalayaNaam,kutokana na hali ilivyo kwa sasa Tundu Lissu ahakikishe kuwa yeye na familia yake ndio waratibu suala la dereva na usalama wake.
Asimuamini mtu yeyote nje ya familia yake kwa sasa. Ajifunze kwa ZZK jinsi ya kuishi katika kipindi cha mpito huku akitathimini mustakabali wake kisiasa.
Ukweli ni kwamba katika Chadema kwa sasa kuna Chadema walio Chadema na kuna Chadema wasio Chadema. Tundu Lissu ni Chadema aliye Chadema ila viongozi wengi ni Chadema wasio Chadema.
Kwa hiyo unamshauri akubali Dereva na Ulinzi kutoka CCM??Naam,kutokana na hali ilivyo kwa sasa Tundu Lissu ahakikishe kuwa yeye na familia yake ndio waratibu suala la dereva na usalama wake.
Asimuamini mtu yeyote nje ya familia yake kwa sasa. Ajifunze kwa ZZK jinsi ya kuishi katika kipindi cha mpito huku akitathimini mustakabali wake kisiasa.
Ukweli ni kwamba katika Chadema kwa sasa kuna Chadema walio Chadema na kuna Chadema wasio Chadema. Tundu Lissu ni Chadema aliye Chadema ila viongozi wengi ni Chadema wasio Chadema.
- Wananchi tunamuunga mkono Rais Magufuli au una tatizo?
le Mutuz
Huyu ni wakike na ni mbunge wa viti maalum ccmNenda ushauriane na mkeo vizuri, mmojawenu akawe mlinzi wake