Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Kaka ktk vijana mlibaki ccm wenye akili we ni mmojsla wapo, licha sometimes upo kipropaganda lkn sometimes unaongea facts.
Nakuombea siku moja ushike wizara kama katibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure! You played it well. She is here with me and I didn't know she is such a booty shaker. And you are indeed good at it. Thanks and bye. I hope we are good.

Leave me in my bubbles and have good day.

Spalgis epius
Sucez ma bite...!!!ptuuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji41]
 
Sucez ma bite...!!!ptuuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji41]
Do me a favour, I can't simply cum because you keep nagging me, she is giving me a blow job. I didn't know she is good at blowing trees too.

Enough. Don't waste your time to a cheap sperm. Go back to the pussy

Spalgis epius
 
Anyway limutuzo huku sio sehemu yako....haya ya watu wazima. Nenda huko kachambane na Mange na aina hio
 
Mna haraka gani mbona CCM mna wasiwasi hivyo subirini, mliyetaka kumuua amesema atakuja kumwaga kila kitu hadharani yeye siyo Mroma.

"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"
Kijana laiti ungejua wahenga walimaanisha nini waliposema "Kikulacho....... "
Alikuwa target yenu pia? Kama mlimlenga na mkamkosa basi hayo ndio tunasema kuwa ni makusudi ya Mungu kumlinda ili aje auseme ukweli.
Mlikosa shabaha!
Kikulacho?
 
Ahsante "le Mutuz" kwa yote uliyo yasema, ila nashukuru umekuwa mkweli kuyasema.
Yote uliyo yasema wananchi tunajuliza ni hatuwa gani ilifanyika kufanya haki kwa waliotendwa na na serikali husika?
Mimi naona umedhihirisha malalmiko yetu kwamba hili tatizo la watu wasiyo julikana serikali inalishugulikia vipi?
Si serikali zilizopita na siserkali ya sasa. Hakuna taarifa hao watu wanafanywaje.
Mimi nilitarajia utwambie kuwa Nape alikuwa alishambuliwa na na alie mshambulia ni huyu. Au aliliye mteka mwangosi ni huyu.
Kwa mfano aliye husiko kumuuwa Hayati Sokoine alikamatwa, akadhitakiwa, hao wengine vipi????
Watu wakisema mnasema uchochezi hamtaki tuwalilie ndugu zetu kwa huo unyama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema usikike kwa kuwa maisha ni fedha na unacho kutafuta ni fedha wanao toa fedha wame kusikia wata kufikia utapata fedha. Ukweli ndio huu huwezi kufanya unafiki na adui ya baba yako. Umesomeka tuta kutana mwaka 20100 wakati furaha yako ime kuwa kolio na fahari yako imekuwa chukizo mbele ya wenye haki. Kenge siku zote hawezi kuwa mamba labda avae joho la mamba.

Mungu unaye muabudu na tumbo unalo litumikia haviwezi kamwe kuhalalisha uovu wako kwa mungu tumuaminiye.
 
Duuh mwaka 20100? Kweli safari ya matumaini si lelemama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Utakuwa upo ktk kihoro fulani hivi?Ninachokuhurumia ni kwamba hujijui kuwa umefika hapo kwa vile sio competent. Ungeacha jidanganya ungeweza acha kujiweka ktk mazingira usiyoweza. Mngekuwa hamjalaaniwa msinge forge matokeo ili mkapigane na tyson /au mayweather. Ndio mnachofanya ccm.

CCM ,SERIKALI YAKE NA VYOMBO VYAKE WAMEKIRI HADHARANI KUWA NI WATU WASIOFAHAMIKA. Sasa majibu yepu kuliko hayo?Sasa wanataka Dereva wa Lissu Baadae Lissu. Sasa si bora muwaache watoe majibu wao ili yawe na usahihi kuliko nyie msioelewa? Nadhani nimekusaidia kujifunza kazi ya kuongea issue km huwezi usifanye,kuwa mkweli kwa maboss wak😵therwise mnaharibu sana. Watz enzi hizi za whatsapp, mengi wanaona na kuyazungusha haraka sana hata wajinga nao wanaamka akili mapema.
 
Mie napingana kabisa na mawazo ya wengi kuituhumu govt kuwa imetaka kumuua Lissu.

Kwanza tujiulize, according to the news
1)aliemuua mchungaji mtikila ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muuaji?)
2)aliemuua chacha wangwe ni nani?
(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muuaji?)
3)aliemtia sumu mwakyembe mpaka akawa anatoa unga ni nani? (kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
4)aliemtia sumu zitto kabwe kule bagamoyo mpaka kukimbizwa nje ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
5)aliemuua Ditopile kwa sumu utumbo ukaoza ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muuaji?)
6)alietaka kumuua swahiba wa zitto kwa kukata kamba za lift ikaporomoka toka juu mpaka chini na kumvunja miguu ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
7)Dr slaa akiwa bungen akisumbuana na govt, aliemtishia kumuua na kumuwekea baadhi ya vifaa room kwake ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
8)Kaboor akiwa CDM kigoma, aliemtishia kumuua ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)

Sasa kwann Lissu tu ndo tuseme govt? Yeah i knw tutasema its bcoz amekuwa akikwaruzana na serikali ndo maana tunahisi imefanya hvyo

Sasa kama hoja ni kukwaruzana,

1)chacha wangwe alikwaruzana na mbowe, je mbowe alimuua?
2)mtikila alikwaruzana na eddo, je edo alimuua?
3)kaboor alikwaruzana na mbowe, je mbowe alimtishia?
4)dr slaa alikwaruzana na govt pamoja na cdm, the cdm walimtishia?
5)zitto alikwaruzana na cdm kwa kuvujisha siri za chama, je cdm walimtia sumu?
6)mwakyembe alikwaruzana na eddo richmond, je alitaka kumuua?

Why lissu kukwaruzana na govt ndo tuseme govt imefanya tukio?

Tujiulize, ni jasusi gani wa govt anaeenda kuua mtu kama lissu halaf anapiga risasi 25+ randomly? Lakn pia tujiulize ni govt gan stupid kiasi cha kufanya assasination kwa mtu ambae whole world macho yako kwake, coz at that point whole evidence zitapoint kwako tu.
Assasin wakiamua kuua mtu wa status ya Lissu they always make it look like an accident sio uchafuzi wa risasi 25+. Wanaweza kugongana na roli(accident), waweza vuta hewa sumu ukafa baada ya week ukiwa ofcn kwako(accident),waweza chomwa cyanide or sarin ukafa after 3 days(accident),gari ina AC unaweza tiwa sumu ukaivuta kupitia AC ukafa next week(accident) etc

Tazama mauaji ya viongoz wengi, either ni accident or kapigwa risasi moja tu. Thats called proffessional assasinations sio huu upupu wa 25+ bullets. If they wanted him dead wangekuwa washafanya long time ago. Wamemkamata sometyms usiku,nyumbani kwake,barabarani,central,bungeni,ofcn kwake, inamaana walishindwa kote huku? SIO KWELI

Mie naamin kuna watu tu wamekodiwa wamefanya tukio kwa kujua lawama zitaenda kwa serikali na sasahv kila mmoja anasema serikali and thats exactly what they wanted.

(Nawaza tu) What if katishia kugombea uenyekiti CDM mwenyekiti kaamua kutumia fursa?

Naendelea kuwaza (what if) acacia wameona hali tete btn them and govt wakaona watumie fursa ili kucreate chaos kwa govt ili ipoteze focus hasa ktk sakata hz nyeti?

What if......(ongezea na zako)

At this point binadamu are capable of anything hasa wale tusiowadhania

Tuipe muda serikali safi ya wanyonge ichunguze na tuiunge mkono. Mungu atasaidia Lissu atapona na siri zote zitaju
likana one day..Ameen
 
Back
Top Bottom