Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Tulia huo ni mnyumbulisho tu, isitoshe ni sehemu ya CV ya PMC.upo nje ya mada. si dhan kama mwandish ameomba kujua mafanikio yao
NATO ndio magaidi wa hii dunia.Kinachonishangaza Wagner Group wakienda mahali penye wanajeshi wa NATO, nato wanaanza Kulalamika alafu wanaondoka.
Nato wanawaita Wagner group kwa jina la (mamluki wa Putin) [emoji1787][emoji1787]
Mfano pale Syria, Venezuela, Afrika ya Kati, Burkina Faso, Mali, Mozambique, Na Sasa Congo na Ukraine.
NATO walipanga mpaka mwishoni mwa mwaka huu ulioisha eneo kubwa la Afrika liwe halitawaliki ili waje kwa kisingizio cha kulinda amani kumbe wanachota rasilimali za chini ya ardhi pamoja na viungo vya wanadamu.
Kitovu cha uhalifu kwa Afrika Mashariki kilipangwa kiwe eneo la Mocimboa da Praia nchini Mozambique alafu uhalifu huo ungesambazwa kwa kasi maeneo ya Mtwara kuja hadi Lindi, pwani yote ya Afrika Mashariki huku zana nzito zikishushwa Rwanda kwa kipenzi chao Kagame.
Huko Mali, Afrika ya Kati, na Burkina Faso hawa NATO walikuwa wanamtumia Mfaransa na Uingereza kutumia nguvu kubwa kusambaza makundi ya kigaidi na silaha sema bahati nzuri kuna baadhi ya mapinduzi yakawaleta vijana wanaojua michezo ya NATO ndio maana wakaomba kimyakimya usaidizi kutoka Urusi, Urusi wakapeleka wanajeshi wachache wa Wagner group.
Hata Congo Wagner group wameshaingia ndio maana unaona ufalme wa Magharibi/NATO ukilegalega juu ya yale malengo yao.
Kila wakati wanamuuliza rais wa Congo kuhusu ushirika wake na Wagner group lakini rais wa Congo anakataa.
Nakumbuka mwaka 2020 Uingereza alipanga kupeleka kikosi pale Zambia mpakani na Tanzania akishirikiana na baadhi ya mataifa mengine ya NATO, ila ilipofika muda ambao wanataka kuleta kikosi wakakuta tayari Wagner group wapo kwenye misitu ya Zambia tayari. Na tangu Wagner group wameingia Zambia, ule uhalifu wa kukata watu vichwa kwa makundi kijiji hadi kijiji umeishia. Pia media za magharibi zimebaki kulalamika sehemu zote za dunia tofauti na kipindi cha nyuma walikuwa kazi yao ni kuripoti kuhusu ugaidi na kutabiri kuhusu ugaidi.
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.
Je kauliza Wagner group akina nani!?upo nje ya mada. si dhan kama mwandish ameomba kujua mafanikio yao
Umeongea kishabiki, Msumbiji walikodiwa lkn kila siku walikuwa wakiuawa mpaka wanajeshi wa Rwanda walipoenda.Kinachonishangaza Wagner Group wakienda mahali penye wanajeshi wa NATO, nato wanaanza Kulalamika alafu wanaondoka.
Nato wanawaita Wagner group kwa jina la (mamluki wa Putin) [emoji1787][emoji1787]
Mfano pale Syria, Venezuela, Afrika ya Kati, Burkina Faso, Mali, Mozambique, Na Sasa Congo na Ukraine.
NATO walipanga mpaka mwishoni mwa mwaka huu ulioisha eneo kubwa la Afrika liwe halitawaliki ili waje kwa kisingizio cha kulinda amani kumbe wanachota rasilimali za chini ya ardhi pamoja na viungo vya wanadamu.
Kitovu cha uhalifu kwa Afrika Mashariki kilipangwa kiwe eneo la Mocimboa da Praia nchini Mozambique alafu uhalifu huo ungesambazwa kwa kasi maeneo ya Mtwara kuja hadi Lindi, pwani yote ya Afrika Mashariki huku zana nzito zikishushwa Rwanda kwa kipenzi chao Kagame.
Huko Mali, Afrika ya Kati, na Burkina Faso hawa NATO walikuwa wanamtumia Mfaransa na Uingereza kutumia nguvu kubwa kusambaza makundi ya kigaidi na silaha sema bahati nzuri kuna baadhi ya mapinduzi yakawaleta vijana wanaojua michezo ya NATO ndio maana wakaomba kimyakimya usaidizi kutoka Urusi, Urusi wakapeleka wanajeshi wachache wa Wagner group.
Hata Congo Wagner group wameshaingia ndio maana unaona ufalme wa Magharibi/NATO ukilegalega juu ya yale malengo yao.
Kila wakati wanamuuliza rais wa Congo kuhusu ushirika wake na Wagner group lakini rais wa Congo anakataa.
Nakumbuka mwaka 2020 Uingereza alipanga kupeleka kikosi pale Zambia mpakani na Tanzania akishirikiana na baadhi ya mataifa mengine ya NATO, ila ilipofika muda ambao wanataka kuleta kikosi wakakuta tayari Wagner group wapo kwenye misitu ya Zambia tayari.
Na tangu Wagner group wameingia Zambia, ule uhalifu wa kukata watu vichwa kwa makundi kijiji hadi kijiji umeishia. Pia media za magharibi zimebaki kulalamika sehemu zote za dunia tofauti na kipindi cha nyuma walikuwa kazi yao ni kuripoti kuhusu ugaidi na kutabiri kuhusu ugaidi.
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.
Umeongea kishabiki, Msumbiji walikodiwa lkn kila siku walikuwa wakiuawa mpaka wanajeshi wa Rwanda walipoenda.
Najua pro lgbtq unaumiaupo nje ya mada. si dhan kama mwandish ameomba kujua mafanikio yao
Hapo alipo anavuja kinyesi cha bakhmutNajua pro lgbtq unaumia
Safi akili nene hiiKinachonishangaza Wagner Group wakienda mahali penye wanajeshi wa NATO, nato wanaanza Kulalamika alafu wanaondoka.
Nato wanawaita Wagner group kwa jina la (mamluki wa Putin) 🤣🤣
Mfano pale Syria, Venezuela, Afrika ya Kati, Burkina Faso, Mali, Mozambique, Na Sasa Congo na Ukraine.
NATO walipanga mpaka mwishoni mwa mwaka huu ulioisha eneo kubwa la Afrika liwe halitawaliki ili waje kwa kisingizio cha kulinda amani kumbe wanachota rasilimali za chini ya ardhi pamoja na viungo vya wanadamu.
Kitovu cha uhalifu kwa Afrika Mashariki kilipangwa kiwe eneo la Mocimboa da Praia nchini Mozambique alafu uhalifu huo ungesambazwa kwa kasi maeneo ya Mtwara kuja hadi Lindi, pwani yote ya Afrika Mashariki huku zana nzito zikishushwa Rwanda kwa kipenzi chao Kagame.
Huko Mali, Afrika ya Kati, na Burkina Faso hawa NATO walikuwa wanamtumia Mfaransa na Uingereza kutumia nguvu kubwa kusambaza makundi ya kigaidi na silaha sema bahati nzuri kuna baadhi ya mapinduzi yakawaleta vijana wanaojua michezo ya NATO ndio maana wakaomba kimyakimya usaidizi kutoka Urusi, Urusi wakapeleka wanajeshi wachache wa Wagner group.
Hata Congo Wagner group wameshaingia ndio maana unaona ufalme wa Magharibi/NATO ukilegalega juu ya yale malengo yao.
Kila wakati wanamuuliza rais wa Congo kuhusu ushirika wake na Wagner group lakini rais wa Congo anakataa.
Nakumbuka mwaka 2020 Uingereza alipanga kupeleka kikosi pale Zambia mpakani na Tanzania akishirikiana na baadhi ya mataifa mengine ya NATO, ila ilipofika muda ambao wanataka kuleta kikosi wakakuta tayari Wagner group wapo kwenye misitu ya Zambia tayari.
Na tangu Wagner group wameingia Zambia, ule uhalifu wa kukata watu vichwa kwa makundi kijiji hadi kijiji umeishia. Pia media za magharibi zimebaki kulalamika sehemu zote za dunia tofauti na kipindi cha nyuma walikuwa kazi yao ni kuripoti kuhusu ugaidi na kutabiri kuhusu ugaidi.
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.
Kama habari uliyoileta ni ya kweli basi tuiombee urusi iwe na nguvu zaidi. Maana urusi haina njaa na natural resources Kama hawa natoKinachonishangaza Wagner Group wakienda mahali penye wanajeshi wa NATO, nato wanaanza Kulalamika alafu wanaondoka.
Nato wanawaita Wagner group kwa jina la (mamluki wa Putin) 🤣🤣
Mfano pale Syria, Venezuela, Afrika ya Kati, Burkina Faso, Mali, Mozambique, Na Sasa Congo na Ukraine.
NATO walipanga mpaka mwishoni mwa mwaka huu ulioisha eneo kubwa la Afrika liwe halitawaliki ili waje kwa kisingizio cha kulinda amani kumbe wanachota rasilimali za chini ya ardhi pamoja na viungo vya wanadamu.
Kitovu cha uhalifu kwa Afrika Mashariki kilipangwa kiwe eneo la Mocimboa da Praia nchini Mozambique alafu uhalifu huo ungesambazwa kwa kasi maeneo ya Mtwara kuja hadi Lindi, pwani yote ya Afrika Mashariki huku zana nzito zikishushwa Rwanda kwa kipenzi chao Kagame.
Huko Mali, Afrika ya Kati, na Burkina Faso hawa NATO walikuwa wanamtumia Mfaransa na Uingereza kutumia nguvu kubwa kusambaza makundi ya kigaidi na silaha sema bahati nzuri kuna baadhi ya mapinduzi yakawaleta vijana wanaojua michezo ya NATO ndio maana wakaomba kimyakimya usaidizi kutoka Urusi, Urusi wakapeleka wanajeshi wachache wa Wagner group.
Hata Congo Wagner group wameshaingia ndio maana unaona ufalme wa Magharibi/NATO ukilegalega juu ya yale malengo yao.
Kila wakati wanamuuliza rais wa Congo kuhusu ushirika wake na Wagner group lakini rais wa Congo anakataa.
Nakumbuka mwaka 2020 Uingereza alipanga kupeleka kikosi pale Zambia mpakani na Tanzania akishirikiana na baadhi ya mataifa mengine ya NATO, ila ilipofika muda ambao wanataka kuleta kikosi wakakuta tayari Wagner group wapo kwenye misitu ya Zambia tayari.
Na tangu Wagner group wameingia Zambia, ule uhalifu wa kukata watu vichwa kwa makundi kijiji hadi kijiji umeishia. Pia media za magharibi zimebaki kulalamika sehemu zote za dunia tofauti na kipindi cha nyuma walikuwa kazi yao ni kuripoti kuhusu ugaidi na kutabiri kuhusu ugaidi.
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.
Mnato huyo anaumia ndani kwa ndani. Vumilia tu Bambo, ukweli ndivyo ulivyo. UNACHOMACHOMAUpo nje ya mada. si dhan kama mwandish ameomba kujua mafanikio yao
Vipi libya NATO pia walikimbia baada ya wagner kuingia?Kinachonishangaza Wagner Group wakienda mahali penye wanajeshi wa NATO, nato wanaanza Kulalamika alafu wanaondoka.
Nato wanawaita Wagner group kwa jina la (mamluki wa Putin) 🤣🤣
Mfano pale Syria, Venezuela, Afrika ya Kati, Burkina Faso, Mali, Mozambique, Na Sasa Congo na Ukraine.
NATO walipanga mpaka mwishoni mwa mwaka huu ulioisha eneo kubwa la Afrika liwe halitawaliki ili waje kwa kisingizio cha kulinda amani kumbe wanachota rasilimali za chini ya ardhi pamoja na viungo vya wanadamu.
Kitovu cha uhalifu kwa Afrika Mashariki kilipangwa kiwe eneo la Mocimboa da Praia nchini Mozambique alafu uhalifu huo ungesambazwa kwa kasi maeneo ya Mtwara kuja hadi Lindi, pwani yote ya Afrika Mashariki huku zana nzito zikishushwa Rwanda kwa kipenzi chao Kagame.
Huko Mali, Afrika ya Kati, na Burkina Faso hawa NATO walikuwa wanamtumia Mfaransa na Uingereza kutumia nguvu kubwa kusambaza makundi ya kigaidi na silaha sema bahati nzuri kuna baadhi ya mapinduzi yakawaleta vijana wanaojua michezo ya NATO ndio maana wakaomba kimyakimya usaidizi kutoka Urusi, Urusi wakapeleka wanajeshi wachache wa Wagner group.
Hata Congo Wagner group wameshaingia ndio maana unaona ufalme wa Magharibi/NATO ukilegalega juu ya yale malengo yao.
Kila wakati wanamuuliza rais wa Congo kuhusu ushirika wake na Wagner group lakini rais wa Congo anakataa.
Nakumbuka mwaka 2020 Uingereza alipanga kupeleka kikosi pale Zambia mpakani na Tanzania akishirikiana na baadhi ya mataifa mengine ya NATO, ila ilipofika muda ambao wanataka kuleta kikosi wakakuta tayari Wagner group wapo kwenye misitu ya Zambia tayari.
Na tangu Wagner group wameingia Zambia, ule uhalifu wa kukata watu vichwa kwa makundi kijiji hadi kijiji umeishia. Pia media za magharibi zimebaki kulalamika sehemu zote za dunia tofauti na kipindi cha nyuma walikuwa kazi yao ni kuripoti kuhusu ugaidi na kutabiri kuhusu ugaidi.
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.
Wanajeshi wa Rwanda walienda kupiga picha tu kuficha aibu ya mabeberu ila kiuhalisia ingekuwa sio Wagner wale wanajeshi wa Rwanda walikuwa washirikiane na mabeberu kuendelea kuharibu usalama wa Zambia kama wafanyavyo Congo.Umeongea kishabiki, Msumbiji walikodiwa lkn kila siku walikuwa wakiuawa mpaka wanajeshi wa Rwanda walipoenda.