Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …