SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Neanderthral nao.Kweli kabisa huko itakuwa kama Japan au China tunakoomba mikopo hawavumilii kima na ndio nchi tunayoitaka
Hiyo Lugha yako ya Kimbari ni Udhalimu.
Umefilisika kimawazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neanderthral nao.Kweli kabisa huko itakuwa kama Japan au China tunakoomba mikopo hawavumilii kima na ndio nchi tunayoitaka
Kuna wazazi wanazaa watoto na kuna wazazi wanazaa watu kama weweTupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Basi mfufueni Magufuli then amteuwe Bashite awe makamu wa Rais mkamtoe na Sabaya gelezani awe wazri mkuu wenu...ili muwe na serikali yenu yakutekana. Mmchukue na spika wenu Ndugai na wabunge wenu kina Halima na kina babu talePeleka upuuzi kwa Wazungu Wenzako huko.
Rudini kwenu. Wivu wa nini?
Your days as Saviours are Over.
Ukalegee
Kwa hiyo viongozi wa pro Magufuli ndiyo watakuwa kina Mnyeti, Makonda, Chalamila na Kangi?Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Wazungu niwezi. Evil spiritedUmeongea kwa fasihi ya juu kiasi kwamba....
Kwa aina ya members wa sasa humu!
Wachache wanaweza kukuelewa,maana kipaji kikubwa cha watanzania ni pamoja na "Wizi"
Viongozi wanaiba!
Wananchi wanaiba!
Polisi wanaiba!
Walimu wanaiba!
Madaktari wanaiba!
Watumishi wa umma wanaiba.....
Hata kale kabibi kenu Uingereza Queen Elizabeth hakifufuki kuja kuokoa Ufalme Dhalimu duniani.Basi mfufueni Magufuli then amteuwe Bashite awe makamu wa Rais mkamtoe na Sabaya gelezani awe wazri mkuu wenu...ili muwe na serikali yenu yakutekana. Mmchukue na spika wenu Ndugai na wabunge wenu kina Halima na kina babu tale
Hamia Burundi!Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Huko Karibu. Warudi kwao huko....iwe Ulaya Uarabuni UhindiniHamia Burundi!
Sukuma gang mna shida sana. Si muende mkahiji pale kaburini Chato?Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Hivi takwimu zipi zinaonesha kipindi cha Magufuli maishi ya watu wavijijini yalikuwa nafuu?? Kwetu kapwili Jk wakati anaondoka maji yakunywa yalikuwa yanachotwa kwenye kisima ...akaja na afa bado nikwenye kisima.....yani kamfano kamoja tuu ila tupo twingi.............sasa nyiee wajane wapumbavu wa CCM acheni kujichanganya..... ......... Rubbish!!!!!Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Brother acha ndoto za alinacha. Magufuli is just mere history, usipoteze muda wako na marehemu. Haikusaidii lolote zaidi ya kukuotesha ndoto mbaya.Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Mbona mnaomba misaada yaoNeanderthral nao.
Hiyo Lugha yako ya Kimbari ni Udhalimu.
Umefilisika kimawazo.
Sasa hapo mwisho umechanganya vimaneno vya kipumbavu eti "Au nasema uongo ndugu zangu" Wakati lijitu lilikuwa lishwetani na likatili bhana....................Mama SSH aachwe aikalabati nchi ....Atake asitake mi tano tena!!Sukuma gang mna shida sana. Si muende mkahiji pale kaburini Chato?
Kubalini tu mungu wenu kashaondoka na maisha lazima yasonge mbele
Mungu aliye mkuu kashaamua, Kubalini matokeo na uamuzi wake....
Au nasema uongo ndugu zangu?
Basi hili nalo mkalitazame
Kwa Taarifa yako bora unywee maji ya Kisima.Hivi takwimu zipi zinaonesha kipindi cha Magufuli maishi ya watu wavijijini yalikuwa nafuu?? Kwetu kapwili Jk wakati anaondoka maji yakunywa yalikuwa yanachotwa kwenye kisima ...akaja na afa bado nikwenye kisima.....yani kamfano kamoja tuu ili tupo twingi.............sasa nyiee wajane wapumbavu wa CCM acheni kujichanganya..... ......... Rubbish!!!!!
Hiyo ndilo Azimio la Buckhingam pamoja na wadhalimu wote waliotokea Afrika.Brother acha ndoto za alainacha. Magufuli is just mere history, usiooteze muda wako na marehemu. Hakisaidii lolote zaidi ya kukuotesha ndoto mbaya.
Najuwa wajinga Tanzania ni wengi na ndiyo wapiga kura. Kweli wajinga wengi wanaweza kumchagua Magufuli hata akiwa marehemu. Lakini siku zote wajinga hiongozwa na werevu.
Tanzania ya kuja kuwa na mtu wa aina ya Magufuli ya kuuana, kutekana na ubaguzi wa kiitikadi na kikanda haitakuja tokea tena hata miaka 500 ijayo.
Amka toka kwenye ndoto nenda ukafanye kazi, acha ujinga
Umekosea, sisi Pro JPM nje ya JF ni asilimia 99.9. Hapa JF Pro Magufuli ni 0.000000001Humu jamii forum hauwezi ukapata watu wa magufuli,ila ukitoka nje wa magufuli ni karibia 80% au na zaidi.