Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
Huu utafiti uliufanyia wapi? Watu wanaendelea na maisha yao Magufuli kafa Tanzania haijafaHumu jamii forum hauwezi ukapata watu wa magufuli,ila ukitoka nje wa magufuli ni karibia 80% au na zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu utafiti uliufanyia wapi? Watu wanaendelea na maisha yao Magufuli kafa Tanzania haijafaHumu jamii forum hauwezi ukapata watu wa magufuli,ila ukitoka nje wa magufuli ni karibia 80% au na zaidi.
Hiyo ya mtoa mada itaongozwa na marehemu [emoji23][emoji23]Hiyo nyingine itaongozwa na nani sasa
Wamekuibia nini boss? Kwa hiyo pro-Magufuli mkishajitenga mtaenda kumfufua awe rais wenu au?Umeongea kwa fasihi ya juu kiasi kwamba....
Kwa aina ya members wa sasa humu!
Wachache wanaweza kukuelewa,maana kipaji kikubwa cha watanzania ni pamoja na "Wizi"
Viongozi wanaiba!
Wananchi wanaiba!
Polisi wanaiba!
Walimu wanaiba!
Madaktari wanaiba!
Watumishi wa umma wanaiba.....
Hii nchi ni ya Kila mtanzania huna mamlaka ya kumfukuza yeyote hapa usifkiri wewe ndio mwenye hati miliki ya hii nchi hivi kwamba uamue nani raia na nani umfukuze Kwa sababu ya chuki zakoPeleka upuuzi kwa Wazungu Wenzako huko.
Rudini kwenu. Wivu wa nini?
Your days as Saviours are Over.
Ukalegee
Pamoja na wingi wenu mnashindwa kumfufua mnabaki kulialia tu[emoji44][emoji44] 'nileteeni gwajimaaaaaaaaaaaaaa mzee wa kuwafufuaUmekosea, sisi Pro JPM nje ya JF ni asilimia 99.9. Hapa JF Pro Magufuli ni 0.000000001
Utaeleweka tu. Ndivyo mulivyo.Aise !! you're a garbage period!! nanani yupo tayari kunywa untreated water ??
Ndiyo Nyie Wazungu wa Kujanatural immunity tunayo kwa sasa sio yile ya ma watu walio ishi zamani...ndiyo mana tuna vaa nguwo sio kutembea uchi kama zamani.
Huwezi kunirudisha kwenye mada isoyoeleweka....na Kwa viswali vyako uchwara, Simba wa yuda ndio nini?.Turudi kwenye mada
Nijibu maswali haya:
1. Miradi yote kipindi cha Simba wa yuda nikweri zilikuwa mpesa zandani???
2. Baada ya kuvamia Clouds kwa mitutu ya bunduki kisa Shilawandu; nani alipaswa kufutwa kazi kati ya Bashite au Nape kama kweri jiwe alikuwa mpenda haki??
Kama una jibu weka, zaidi ya hapo Unazusha. Raisi ndiye alikuwapo hapo. Huyo Lissu alisema aliwaona wote waliomtundika....3.Kwanini Jiwe alitaka kumuwua Mh Lissu?
Huna Maswali, Umekuja kutoa povu tu. Huna Hoja4. ........Bado maswali yanakuja
Mtaeleweka tu.Una hasira Sana, inahitaji upate usidizi. Cool down. Mpaka Sasa hivi system ya CCM imefeli, tatizo wananchi tumekubali kugawanywa na kubaki kuishangilia CCM .
Nani huyo, mie? Mimi ndio niliyoanzisha Upuuzi huu?Roho ya utengano haifii kamwe. Mlianza kuwatenga CHADEMA, Leo mnataka kuwatenga wananchi. Tanzania haipo hivyo.
Pro-mtu aliyekufa?Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Humu JF ni moja ya kipimo cha kukubalika au kutokubalika kwa mtu, JF members ni raia kama hao wako wa kufikirika unaotudanganya nao pasina kuambatanisha ushahidi usiotia shaka.Humu jamii forum hauwezi ukapata watu wa magufuli,ila ukitoka nje wa magufuli ni karibia 80% au na zaidi.
Wewe ndio Unayo. kwenye yote hayo umeona mimi ndio ndie nataka 'Kufanya" huo uamuzi.... Chuki zenu mnatuletea sisi, Chuki zenu zitawafikisha pale mtakapoenda... Umesoma Bandiko lakini....Najua mmekaa kwa dezaini ipi sishangai unapotaka kuniwekea maneno Mdomoni. Rudini kwenu hamtaki.Hii nchi ni ya Kila mtanzania huna mamlaka ya kumfukuza yeyote hapa usifkiri wewe ndio mwenye hati miliki ya hii nchi hivi kwamba uamue nani raia na nani umfukuze Kwa sababu ya chuki zako
Sawa tu Ilimradi Wazungu, Waarabu, Wahindi na wengine wote wakiondoka na Kurudi Kwao?
Sikutegemea na wewe utaandika Upuuzi! Siku nyingine Jaribu kuficha ujinga wakoPamoja na wingi wenu mnashindwa kumfufua mnabaki kulialia tu[emoji44][emoji44] 'nileteeni gwajimaaaaaaaaaaaaaa mzee wa kuwafufua
Sijui Kala maharage ya wapi huyuTupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
PumbaWewe ndio Unayo. kwenye yote hayo umeona mimi ndio ndie nataka 'Kufanya" huo uamuzi.... Chuki zenu mnatuletea sisi, Chuki zenu zitawafikisha pale mtakapoenda... Umesoma Bandiko lakini....Najua mmekaa kwa dezaini ipi sishangai unapotaka kuniwekea maneno Mdomoni. Rudini kwenu hamtaki.
Nimesema na Nitasema tena....Narudia kwa kujinukuu halafu uje useme tena fyoko fyoko zako
Vyovyote vile au chchote kile Utachosema hautabasilisha nilichosema na Kuandika.Pumba
Simba wa yuda ni Magufuli aka Jiwe sawa....Utaeleweka tu. Ndivyo mulivyo.
Nini cha ajabu na hiyo "Treated"
Ndiyo Nyie Wazungu wa Kuja
....Haha unarudia Lugha za Ukimbari. Ukizunguka dunia nzima sasa hivi Nyie Wazungu na Uchwara wenu mnafanya nini zaidi ya kutuuigiza....Yaani iwe sifa kumuona Mwanamke wa Kizungu kavaa Vi kamba Kamba sawa Akivaa mwafrika yupo Uchi!
Afrika tulikuwa tuna fanya Chale...you can equate this to Tatooing, mkasema wee wengi wakaacha....Sasa hivi Mizungu michwara ndio kila kukicha ndio hayo...Kwanini....?
Huwezi kunirudisha kwenye mada isoyoeleweka....na Kwa viswali vyako uchwara, Simba wa yuda ndio nini?.
Kwani nawe umeukurupuka kunianzia matusi....You Inbred Twaat
Nenda na wewe Ukazikwe na Malikia Elizabeth.
Baada ya kuvamia Bunge la Marekani nani alitakiwa Kuswekwa Jela? Kwani Trump ni mpenda Haki, Kwani Trump sio Racist Mother bleepr??
Nape ni mhaini au sio?
Mnazusha zusha tu.
Kama una jibu weka, zaidi ya hapo Unazusha. Raisi ndiye alikuwapo hapo. Huyo Lissu alisema aliwaona wote waliomtundika....
Nyie ndiye mliomtundika marisasi kumuaribia Hayati... Haramia dhalimu nyie Wazumgu
Huna Maswali, Umekuja kutoa povu tu. Huna Hoja
Haya rudini kwenye tarakilishi zenu, Ukajipange. Rudi kwenye kitanda ulale na Dada zako.
Na leo usijikojolee ukadai kwa sababu we we ni Miaka ya leo. Shenzy Taipu
Pro Magufuli vs Anti Magufuli ni ideologies, siyo physical mtu/watu.Hiyo nyingine itaongozwa na nani sasa
Jisemee mwenyewe. Hujatumwa.Umekosea, sisi Pro JPM nje ya JF ni asilimia 99.9. Hapa JF Pro Magufuli ni 0.000000001
Hakupandisha madaraja na mishahara ya watumishi wa ummaUsiwe mtu wa kizamani. Wakati akiwa hai, wengi hawakujua umuhimu wake. Alipokufa na Samia kutawala, watu ndipo wamejua umuhimu wake.