Tuigawanye Tanzania Pro Magufuli na Anti Magufuli, tuwe na nchi mbili tofauti!

Sawa tu Ilimradi Wazungu, Waarabu, Wahindi na wengine wote wakiondoka na Kurudi Kwao?

Kwani sisi Watanzania(Waafrika) wenyewe kwa wenyewe tunawezana? La hasha twaweza

Inaeleweka Anti Magufuli ni hao Tajwa juu.

Watakaobaki tutawezana.

Narudia, siasa zenu za Chuki, na Uhasama hazitawafikisha popote. na Mara nyingi mkishindwa mnataka kutugawanya. Stop your seccesionist Ideas. Pelekeni Kwenu Ulaya.

Roho ya utengano haifii kamwe. Mlianza kuwatenga CHADEMA, Leo mnataka kuwatenga wananchi. Tanzania haipo hivyo.
 
Kwa Taarifa yako bora unywee maji ya Kisima.

Matajiri karibu wote wanakunywa maji ya Kisima. Ni akili na Fikra potofu kufikiri maji ya bombani ndio maendeleo. Ni biashara tu(monopoly)

Wacha mizengwe..... na huyu nae...

Hiyo ndilo Azimio la Buckhingam pamoja na wadhalimu wote waliotokea Afrika.

Kwa hayo yenye Nyekundu.... Ni doto zako na wengine ambao kila kukicha mnaeneza uwongo. Tanzania na Wananchi wake hawakuwahi kutumia Lugha hiyo unayotumia katika siasa zake, lugha hiyo haijawahi kutumiwa, hakuna cha itikadi wala ya kikanda....hiyo ni lugha ngeni kwenye Siasa za Tanzania vilevile ni lugha inayotumika kwa Wazungu, ni za Ukimbari Hususani Ulaya na Marekani, na ni ushahidi tosha kuona kuwa mnatulaghai, mnadanganya kwa kuwa tu MNAOGOPA utajiri wenu wa Mali utashuka, Utajiri wenu dhalimu utaangamia.

Msitugawanye, msituletee maadili yenu Dhalimu.

Magufulification Happened, Magufulianism will Go on. Msitutishe.

Na Uhakika 1000% hizi propaganda ni za Kuwatishia Vijana wetu Afrika. Ni na Uhakika kuwa hayo mekundu ndio hatma Yenu. Mengine yote ni kuleta hisia kali. Mliwajaribu wengine mkaayooshwa, mkaleta kampeni zenu mi propaganda yenu mwishowe yaliyowatokea na yanayoendelea(Backfired)

Egypt, Tunisia= January 6th. endeleeni.

Yote ni kumuogopesha yeyote alieyekuwa na Fikra za kuzuia wizi wa Rasilimali zetu mta muandama, yoyote atakayepiga vita rushwa mtamuandama.

Kitaeleweka tu.
Wananchi msiwaogope hawa Madudu....Fumua tu.

Una hasira Sana, inahitaji upate usidizi. Cool down. Mpaka Sasa hivi system ya CCM imefeli, tatizo wananchi tumekubali kugawanywa na kubaki kuishangilia CCM .
 
Umekosea, sisi Pro JPM nje ya JF ni asilimia 99.9. Hapa JF Pro Magufuli ni 0.000000001

Magufuli angekuwa na watu wote hao, asingeiba uchaguzi wa 2020. Kumbuka alilamba asilimia 58 uchaguzi wa 2015 Tena za wizi. Rais wa 99 angeonekana sio wa kuhangaika kuzuia Lissu asifanye kampeni na kuzima mtandao wa internet kwa wiki mbili wakati kupiga kura.
 
Kwa Taarifa yako bora unywee maji ya Kisima.

Matajiri karibu wote wanakunywa maji ya Kisima. Ni akili na Fikra potofu kufikiri maji ya bombani ndio maendeleo. Ni biashara tu(monopoly)

Wacha mizengwe..... na huyu nae...

Hiyo ndilo Azimio la Buckhingam pamoja na wadhalimu wote waliotokea Afrika.

Kwa hayo yenye Nyekundu.... Ni doto zako na wengine ambao kila kukicha mnaeneza uwongo. Tanzania na Wananchi wake hawakuwahi kutumia Lugha hiyo unayotumia katika siasa zake, lugha hiyo haijawahi kutumiwa, hakuna cha itikadi wala ya kikanda....hiyo ni lugha ngeni kwenye Siasa za Tanzania vilevile ni lugha inayotumika kwa Wazungu, ni za Ukimbari Hususani Ulaya na Marekani, na ni ushahidi tosha kuona kuwa mnatulaghai, mnadanganya kwa kuwa tu MNAOGOPA utajiri wenu wa Mali utashuka, Utajiri wenu dhalimu utaangamia.

Msitugawanye, msituletee maadili yenu Dhalimu.

Magufulification Happened, Magufulianism will Go on. Msitutishe.

Na Uhakika 1000% hizi propaganda ni za Kuwatishia Vijana wetu Afrika. Ni na Uhakika kuwa hayo mekundu ndio hatma Yenu. Mengine yote ni kuleta hisia kali. Mliwajaribu wengine mkaayooshwa, mkaleta kampeni zenu mi propaganda yenu mwishowe yaliyowatokea na yanayoendelea(Backfired)

Egypt, Tunisia= January 6th. endeleeni.

Yote ni kumuogopesha yeyote alieyekuwa na Fikra za kuzuia wizi wa Rasilimali zetu mta muandama, yoyote atakayepiga vita rushwa mtamuandama.

Kitaeleweka tu.
Wananchi msiwaogope hawa Madudu....Fumua tu.
Aise !! you're a garbage period!! nanani yupo tayari kunywa untreated water ?? natural immunity tunayo kwa sasa sio yile ya ma watu walio ishi zamani...ndiyo mana tuna vaa nguwo sio kutembea uchi kama zamani.

Turudi kwenye mada
Nijibu maswali haya:

1. Miradi yote kipindi cha Simba wa yuda nikweri zilikuwa mpesa zandani???
2. Baada ya kuvamia Clouds kwa mitutu ya bunduki kisa Shilawandu; nani alipaswa kufutwa kazi kati ya Bashite au Nape kama kweri jiwe alikuwa mpenda haki??
3.Kwanini Jiwe alitaka kumuwua Mh Lissu?
4. ........Bado maswali yanakuja
 
Watajitokeza tu muda ukifika kama wazo likikubaliwa!

Mlianza kuwatenga CHADEMA, Leo mnataka mjitenge muwe na nchi yenu, huko nako hamtakaa muelewane roho ya kutengana itawamaliza.
 
Magufuli angekuwa na watu wote hao, asingeiba uchaguzi wa 2020. Kumbuka alilamba asilimia 58 uchaguzi wa 2015 Tena za wizi. Rais wa 99 angeonekana sio wa kuhangaika kuzuia Lissu asifanye kampeni na kuzima mtandao wa internet kwa wiki mbili wakati kupiga kura.
Usiwe mtu wa kizamani. Wakati akiwa hai, wengi hawakujua umuhimu wake. Alipokufa na Samia kutawala, watu ndipo wamejua umuhimu wake.
 
Wengi gani hawakujua umuhimu wake? Msitumie udhaifu wa utawala wa Rais Samiah kwa kumpromote Magufuli maana naye alikuwa na madahifu makubwa tu.
 
Pole sana, ukweli ndivyo hivyo. Najua unaumia
 
Humu jamii forum hauwezi ukapata watu wa magufuli,ila ukitoka nje wa magufuli ni karibia 80% au na zaidi.
Mkuu humu watu wana-id ishirin ishirini ndio maana Heche juzi analalamika hawana wafuasi on the ground
 
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.

Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Lifufueni li kipara lenu liuaji
 
Katoe hao funza kichwani mwako kwanza halafu urudi kuja kusoma ulichoandika. Nilitamani kujua umri wako maana siyo kwa uvundo huu. Hata mamako na babako wangejua aliyeandika haya ni mtoto wao wa kuzaa wangejuta kufanya mapenzi yaliyosababisha mimba yako kutungwa na kulaani siku hiyo. Kwa ujumla umekuja duniani kwa bahati mbaya huna faida. Halafu huoni hata aibu kupost huu utumbo wa nguruwe
 
Twaweza walishafanya utafiti wakapata matokeo, kwamba wanaoshabikia/kuunga mkono ccm ni watu wajinga,masikini wakutupwa, wasio na elimu, wanawake, wazee etc. Wengine wanaounga mkono ccm ni wale wanafiki (Hawa kula yao ni kupitia ccm).

wakati huo inaaminika waajiriwa wa ccm ni mafisadi.

ambia twaweza waache upumbavu.
 
Umeongea kwa fasihi ya juu kiasi kwamba....

Kwa aina ya members wa sasa humu!

Wachache wanaweza kukuelewa,maana kipaji kikubwa cha watanzania ni pamoja na "Wizi"

Viongozi wanaiba!
Wananchi wanaiba!
Polisi wanaiba!
Walimu wanaiba!
Madaktari wanaiba!
Watumishi wa umma wanaiba..
Ni kama kuna kaukweli hiv.
 
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.

Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no umeme, high costs of living, ufisadi, kuna mstari katikati binafsi sioni mbele yenye neema, kama kuna kitu Magufuli amefanikiwa kuwaonyesha Watanzania kwa muda mfupi alioongoza ni kwamba inawezekana kuendelea na kuwa na maendeleo kama wengine wa Dunia ya kwanza, hapo hakuna kitu anti Magufuli wanawezafanya, its already written in stone na Tanzania ya Magufuli haiwezi kufutika, ni swala la muda tu, tupige kura na matokeo yagawanye nchi kila upande uwe na nchi yake, …
Usipendelee kuvuta bangi kabla hujala ukashiba vizuri
 
Back
Top Bottom