Nijuavyo kila kabila lina sifa yake ama mbaya au nzuri masikioni kwa watu, lakini ukweli unabakia kuwa ni sifa ya kabila husika hasa huko tulipotokea!
Kwa mfano, kuna kabila (silitaji) ambalo inafahamika tangu zamani kuwa wanawake wake huwa wamespecilise kwenye biashara ya kuuza papuchi! Naambiwa kuwa miaka ya nyuma sana, walikuwa na vibanda pia na eneo maalumu kwa ajili ya kuwasaidia watu hii huduma kwa FEDHA.....sasa ilikuwaje wakaja DAR, naambiwa wakitokea mkoa wao wa kanda ya ziwa, walifika MKOA fulani kabla ya DODOMA kwa ajili kuuza hiyo biashara, lakini walipofika wakakuta WANAWAKE wa huko wanatoa papuchi bure kabisaaa...kumbe basi wakaona hakuna biashara mkoa huo ndio maana wakaja DAR!
Pia, tulikuwa tunasimuliwa kuwa, wachawi wanatoka sumbawanga...na hata ukisikia mtu fulani ametokea sumbawanga unamwogopa parefu sana! Hata sasa mtaani utaona mabango mengi ya waganga wa kienyeji....wenye kuleta mvuto na kuongeza maumbile nk nk.....mganga anajitanabaisha kuwa yeye ametokea sumbawanga ili apate wateja!
Kuna kabila lina sifa ya kukaa barabarani na kuomba, tena familia nzima...huna haja ya kulitaja....linajulikana wazi! Kwahiyo mimi, kwa mtazamo wangu karibu kila kabila lina sifa yake halisi ijapo kwa sasa mambo mengi yameanza kubadilika na hayana tena sifa ya ukabila kwa ujumla wake zaidi ya tabia ya mtu binafsi kama mwenyewe!