Tuijadili katuni hii ya Kipanya

Tuijadili katuni hii ya Kipanya

Joined
Nov 23, 2018
Posts
94
Reaction score
202
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.

Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.

Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.

Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.

Karibuni

FB_IMG_1727243319355.jpg
 
"SeREkali ya SAMAKI".

HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Muliro mwende mkahakikishe kwamba serekali ninayoiongoza haigeuzwi kuwa SEREKALI YA SAMAKI.

intelijensia yetu ni kali, kila uovu unaopangwa mimi mama yenu nauona kwa macho yangu haya ya kurembua.

Mwende mkanipiganie.
 
Blue is chadema.
Big fish Mbowe
Kaishiwa mbaya, kakonda kisiasaa hana afya
Ndio anawaoongoza wenzie.

NB
Kipofu hawez ongoza kipofu kipofu, wote watatumbukia shimoni
 
Mbowe kaachwa peke yake na Wafuasi wachaaaache. Viongozi wote wakubwa hawapo wanaonekana Vidagaa tu kumzunguka.
Bahari ni Blue rangi ya Chama.
Kaki/Majivu ni rangi ya Gwanda lake.
 
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.

Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.

Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.

Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.

Karibuni

View attachment 3106045
Hiyo ni Sirikali ya Samaki, alisikika Dalali fulani akisema,
Naona safari za Ulaya anazitamani alivyo Vasco Dama, lakini anaishi kwenda kufungua maghala ya nafaka, ndiyo hivyo kayakoronga...
Na wazungu wameanza kum beep kidogo kidogo
 
Mbowe kavuliwa nguo hadi ngozi na wafuasi wa chama kabaki mifupa
 
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.

Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.

Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.

Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.

Karibuni

View attachment 3106045
Umeeleza kinagaubaga kwa ufasaha sana maalim 👊👊
 
Hatimaye samaki wadogo wamemla samaki mkubwa.
 
"SeREkali ya SAMAKI".

HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Muliro mwende mkahakikishe kwamba serekali ninayoiongoza haigeuzwi kuwa SEREKALI YA SAMAKI.

intelijensia yetu ni kali, kila uovu unaopangwa mimi mama yenu nauona kwa macho yangu haya ya kurembua.

Mwende mkanipiganie.
"...serikali ninayoiongoza haiwezi kugeuzwa kuwa "serkali ya samaki"

Samaki kwa asili huishi katika mito, mabwawa, maziwa, na pia katika bahari. Sura za maumbile ya maji katika ramani dunia huonyeshwa kwa rangi ya bluu.

Kwa hiyo basi sura ya maji ya bluu katika kibonzo hicho huashiria serikali ya chama tawala. Samaki kiongozi na mwenye bawa la mkia na kichwa vilivyokuwa hai ni mkuu wa taasisi nyeti ya urais. umbile mfu lenye miiba, ni udhaifu uliokithiri wa uongozi wake na vyombo vya dola vilivyo chini ya utawala wake.

Samaki vipofu wanaomfuata japo kuwa ni hai, ni wasaidizi wake machawa na wanafiki ambao wapo kwa ajili ya kumfurahisha yeye, wala si kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa.
 
Inaonyesha Mama anahali tete lakini wanawe bado wanategemea awasaidie..

Yaani bado kuna watu wanafikiri Mama akipita uchaguzi ujao atawasaidia ilihali Ana hali tete hivi sasa ...
 
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.

Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.

Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.

Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.

Karibuni

View attachment 3106045
Naona kaliwa
 
Kwamba huyu chawa Tlaatlaah ni mtu makini? Mkuu kuwa serious basi.
kumdharau, kumthamini ama kumheshimu mtu ni utashi wa mtu kulingana na malezi, lakini pia hekima na busara zake katika kutoa hoja, kujieleza na kuskiza wengine,

sasa kama wewe ulitia kiburi kulelewa kwa maadili na wazazi, basi Lazima utashangaa watu kuheshimimiana na kuthaminiana. daima huwezi kua na utashi wa kuheshimu wengine japo sio Lazima pia 🐒
 
Back
Top Bottom