Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 94
- 202
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni