Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 94
- 202
Hiyo ni Sirikali ya Samaki, alisikika Dalali fulani akisema,Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
Umeeleza kinagaubaga kwa ufasaha sana maalim 👊👊Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
Ahsante sn mkuu. Ni heshima kubwa kwangu kupata appreciation kwa mtu makini km wwUmeeleza kinagaubaga kwa ufasaha sana maalim 👊👊
Hatimaye samaki wadogo wamemla samaki mkubwa.Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
Sio kwamba samaki wadogo wanafata samaki aliyekufa?Miba ya samaki inachoma 🐼
"...serikali ninayoiongoza haiwezi kugeuzwa kuwa "serkali ya samaki""SeREkali ya SAMAKI".
HILI NALO MKALITAZAME.
Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Muliro mwende mkahakikishe kwamba serekali ninayoiongoza haigeuzwi kuwa SEREKALI YA SAMAKI.
intelijensia yetu ni kali, kila uovu unaopangwa mimi mama yenu nauona kwa macho yangu haya ya kurembua.
Mwende mkanipiganie.
Samaki aliyekufa anakuwaga na kichwa kizima? 🐼Sio kwamba samaki wadogo wanafata samaki aliyekufa?
Kuna wale wanaoza viungo ikiwa bado waIma hujawahi kuona mtu anaoza mguu mpaka unafika kwenye mapaja?Samaki aliyekufa anakuwaga na kichwa kizima? 🐼
Naona kaliwaMie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
kumdharau, kumthamini ama kumheshimu mtu ni utashi wa mtu kulingana na malezi, lakini pia hekima na busara zake katika kutoa hoja, kujieleza na kuskiza wengine,Kwamba huyu chawa Tlaatlaah ni mtu makini? Mkuu kuwa serious basi.