Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Naona hoja yako ya mkopo umeitupa.Simba samatta alicheza miezi mingapi na chama amecheza simba miaka mingapi..
Hata nonda shabani alicheza yanga.. ila haikuzidi miezi sita sababu anajua akaonekana fasta na timu kubwa aftica..
Hiyo ndio tofauti ya anaejua huwa ligi ya bongo amalizi mwaka huku asiyejua anakaa miaka kibao
Naona hoja yako ya mkopo umeitupa.
Ok twende na hii naona umehamisha mada kutoka timu anayochezea mpaka Mda.
Ko kiufupi hoja ya wanaojua hawachezi Simba imekufa.
Umefuatilia timu ngapi zinamhitaji chama?
Au ana ofa Ngapi mkononi?
Najua hujui Utajaribu kuzunguka zunguka.
Timu ya taifa haanzi?Ndio hajui.. ndio maana hata timu ya taifa zambua huwa haanzi.. anatokea benchi.
Mchezaji mzuri hawezi kucheza simba zaidi ya miezu sita.. ukiona mchezaji yupo simba zaidi ya miezi sita ujue ni makapi tu kwa level za africa wala ulaya
Timu ya taifa haanzi?
Assistant captain?
Bro huna hoja naona wivu ndo unaokutesa.
Nambie timu ya taifa anaanza nani?
Mkuu huwa huoni aibu kudanganya?Weka ushahidi wa chama ametakiwa na timu kubwa africa akakataa.. weka ushahidi wa kikosi cha zambia game za afcon ama qualification ya afcon.. weka starting line up ya zambia ya afcon tumtafute cleutas chama... chama aneanza zambia ni mdogo wake .. ila chama wa simba anatokea benchi.. labda mechi za mabonanza za kirafiki ndio anapangwa wasipoitwa wachezaji wa timu kubwa africa na ulaya
Hizi maneno ndo zinazoua mpira wa bongo.View attachment 1575820
Mimi sijawahi kuona pasi assist kama ile hapa duniani. Halafu Simba hata hawalingi, wanachukulia kawaida tu
Uyo jamaa unampa za uso za kutoshaMkuu huwa huoni aibu kudanganya?
Ok Zambia hawakufuzu AFCON ,
Qualification mechi ya Mwisho walicheza na Namibia, kaangalie Highlights utaona alichofanya.
Nimemuonyesha Baba Mwenye Nyumba wangu hii clip kaniambia Miezi yangu ikiisha niongeze mingine miwili bureView attachment 1575820
Mimi sijawahi kuona pasi assist kama ile hapa duniani. Halafu Simba hata hawalingi, wanachukulia kawaida tu
Mkuu huwa huoni aibu kudanganya?
Ok Zambia hawakufuzu AFCON ,
Qualification mechi ya Mwisho walicheza na Namibia, kaangalie Highlights utaona alichofanya.
Nani kasema kakataa?Ndio hajui.. ndio maana hata timu ya taifa zambia huwa haanzi.. anatokea benchi.
Mchezaji mzuri hawezi kucheza simba zaidi ya miezi sita.. ukiona mchezaji yupo simba zaidi ya miezi sita ujue ni makapi tu kwa level za africa wala ulaya
Acha mambo ya imaginations.. timu kubwa Africa zikikutaka lazima zikupate tu.. uliza ben malango transfer kutoka tp mazembe kwenda raja casablanca ilikuaje.. watu wanamlipa mchezaji mshahara kama ulaya halafu useme zikutake ukatae
Nani kasema kakataa?
Labda anasubiri aondoke free, apate signing fee kubwa?
Hivi unajua Ramadhani Singano Messi aliyepoteza namba Azam FC kwamba yupo TP Mazembe? Unadhani hivyo vilabu vipo mbali sana na Simba hii ya miaka mitatu hii iliyopo?Angekua anajua ma mamelodi, mazembe, raja casablanca,Esperence yangemshamchukua kitambo.
Chama ni kama nchimbi tu ndio maana wanacheza ligi moja ya wanyonge
Hivi unajua Ramadhani Singano Messi aliyepoteza namba Azam FC kwamba yupo TP Mazembe? Unadhani hivyo vilabu vipo mbali sana na Simba hii ya miaka mitatu hii iliyopo?
Ngoja nikusaidie kitu rahisi.Mbona unazunguka.. afcon ina qualifications zake na hata world cup ina qualifications zake..
Siku hizi kuna google.. nenda katafute starting line up ya mechi ya ushindani ya timu ya taifa zambia iwe ku qualify mashindano makubwa yeyote ama wapo mashindanoni ukatafute jina la chama..
Highlights hazioneshi mchezaji ameingia dakika ya ngapi..
Narudia tena chama mpuuzi tu ndio maana anacheza simba miaka kibao...ameshindwa kucheza hata vigogo vya africa.
Nimekupa mfano wa nonda shaban alicheza yanga miezi sita.. na nikakupa mfano wa samatta nae simba miezi sita.. huo ni mfano tosha wa wachezaji bora huwa hawachezi ligi ya tanzania zaidi ya miezi sita...
Chama hamfikii hata thomas ulimwengu kwa mpira mkubwa... ushahidi ni CV zao tuzilinganishe.
Chama ni kama nchimbi tu ndio maana anacheza simba. Mshahara haufiki hata milioni 20
Angekuwa anajua mpira angenunuliwa na ma mamelodi ama vigogo vya africa.. maana bajeti ya simba kwa mwaka ni bilioni 3 tu kwa maneno ya tajiri wenu mo dewji.. huku jackson muleka tu kauzwa usd milion 4 almost bilioni 10..
Nikakupa mfano wa transfer ya ben malango from tp mazembe kwenda raja casablanca.. halafu wewe mpuuzi unamuongelea chama..
Chama ni kama nchimbi tu au mkude.. ndio maana anacheza simba timu maskini inafungwa 5 kila mara... kufika robo kwao sherehe . Huku hao vigogo wanafika kila mwaka ..
Ngoja nikusaidie kitu rahisi.
Kwa kikosi cha mwisho kilichoitwa ni wachezaji watatu kama sio wanne wanamzidi chama Caps nyingi.
Akiwa na Caps 22 na goli nne.
Nimekwambia angalia hao wanaosajiliwa kwa pesa hizo walikuwa na mkataba wa miaka mingapi?
Hivi Unadhani watotoa pesa Yote hiyo kwa mchezaji mwenye mwaka mmoja wa mkataba?
Au watamsubiri amalize wamchukue free?
Kama unataka hoja ntakupa, matusi hayo Mimi Sina( kuniita mtu wa vijiweni na kubeti ni kunitusi).Ndio mnavyodanganyana vijiweni mnaposhinda mna bet . Yaani leo ije ofa ya mshahara milioni 50 uikatae eti unasubiri mkataba uishe uende free.. kwanza timu kubwa hazitoi hela ya usajili wa free agent... huo ni utaratibu wa ma mbumbumbu wa mikia fc kutoa hela za usajili kwa free agent... ndio maana yanga iliwagomea kina yondani.. why free agent upewe hela
Kama unataka hoja ntakupa, matusi hayo Mimi Sina( kuniita mtu wa vijiweni na kubeti ni kunitusi).
Chama hana Uwezo wa kuondoka sasa hata afanyaje( Ana mkataba na simba).
Kuhusu Signing fee hii ipo duniani kote (kwa free Agents) na sio Simba tu.
Utamshawishi vipi mchezaji aje kwako na Sio timu nyingine bila Signing fee?
Naona mkuu kinachokusumbua ni roho ya kwanini chama tupo Simba na sio upande wako.
Naona hoja ya timu ya Taifa imekufa, ok tuhamie kwenye hoja hii ya pili.Timu kubwa zina bajeti kubwa.. hazinaga mambo ya kusubiri subiri.. wakikuona unajua utawasaidia sehemu fulani huwa hawana kuremba.. wanakuja kama mwewe.. nikakupa mfano wa ben malango alivyonunuliwa na raja casablanca kutokea tp mazembe