Mkuu huwa huoni aibu kudanganya?
Ok Zambia hawakufuzu AFCON ,
Qualification mechi ya Mwisho walicheza na Namibia, kaangalie Highlights utaona alichofanya.
Mbona unazunguka.. afcon ina qualifications zake na hata world cup ina qualifications zake..
Siku hizi kuna google.. nenda katafute starting line up ya mechi ya ushindani ya timu ya taifa zambia iwe ku qualify mashindano makubwa yeyote ama wapo mashindanoni ukatafute jina la chama..
Highlights hazioneshi mchezaji ameingia dakika ya ngapi..
Narudia tena chama mpuuzi tu ndio maana anacheza simba miaka kibao...ameshindwa kucheza hata vigogo vya africa.
Nimekupa mfano wa nonda shaban alicheza yanga miezi sita.. na nikakupa mfano wa samatta nae simba miezi sita.. huo ni mfano tosha wa wachezaji bora huwa hawachezi ligi ya tanzania zaidi ya miezi sita...
Chama hamfikii hata thomas ulimwengu kwa mpira mkubwa... ushahidi ni CV zao tuzilinganishe.
Chama ni kama nchimbi tu ndio maana anacheza simba. Mshahara haufiki hata milioni 20
Angekuwa anajua mpira angenunuliwa na ma mamelodi ama vigogo vya africa.. maana bajeti ya simba kwa mwaka ni bilioni 3 tu kwa maneno ya tajiri wenu mo dewji.. huku jackson muleka tu kauzwa usd milion 4 almost bilioni 10..
Nikakupa mfano wa transfer ya ben malango from tp mazembe kwenda raja casablanca.. halafu wewe mpuuzi unamuongelea chama..
Chama ni kama nchimbi tu au mkude.. ndio maana anacheza simba timu maskini inafungwa 5 kila mara... kufika robo kwao sherehe . Huku hao vigogo wanafika kila mwaka ..