Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Point ya kukimbiwa ni ipi?
Leta nafasi ya timu ya msuva, sina mda wa kuanza kutafuta maana najua ni timu nzuri.

Olunga nani kakwambia amecheza Tanzania?
Rudi nyuma kasome vizuri utanielewa.
 
Point ya kukimbiwa ni ipi?
Leta nafasi ya timu ya msuva, sina mda wa kuanza kutafuta maana najua ni timu nzuri.

Olunga nani kakwambia amecheza Tanzania?
Rudi nyuma kasome vizuri utanielewa.


Mbona olunga unamtaja juu juu tu... hutaki kumuelezea deep

Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita... msuva na chama wote wa kawaida tu kama nchimbi ndio maana walicheza ligi ya bongo miaka kibao
 
Mbona olunga unamtaja juu juu tu... hutaki kumuelezea deep

Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita... msuva na chama wote wa kawaida tu kama nchimbi ndio maana walicheza ligi ya bongo miaka kibao
Sio kazi yangu kukufundisha aseeee.
Ungekuwa mtu wa mpira ungemjua.
Ok kiufupi kacheza ligi ya Kenya ambayo ni dhaifu kuliko yetu saiv yupo Spain....
Kutoka hapo unapata picha gani?
Mda mwingine kucheza nje ni bahati...
Wakati mwingine ni Aina ya wakala uliyenaye....
 
Mkuu kameze pain killers naona mimba ya chama inakusumbua.
 

Ligi ya kenya siijui ila inaonesha ina mwanga kuliko yetu maana victor wanyama, dennis oliech wameicheza hiyo ligi... siwezi kuiongelea ligi ya kenya sana.. naongelea ligi ya Tanzania sababu naijua.. ukiona mchezaji anacheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita.. ujue mpira haujui... wanaojua mpira kina samatta na nonda walicheza sio zaidi ya miezi sita

Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita... msuva na chama wote wa kawaida tu kama nchimbi ndio maana walicheza ligi ya bongo miaka kibao
 
Kwahiyo Calinhos, Sarpong, Mukoko ni mavi tu ndo maana wanacheza VPL?
 
Wewe unabishana bora mradi mkuu....
Hauna hoja ni wa kupuuzwa, ligi ya Kenya ni bora kuliko yetu?
Tumefika kote huku sababu ya Ubishi wako bila hoja.
Ukijikusanya ukija na hoja niite.
 
Samatta Simba walilazimisha kumuuza kama Simba wangekuwa na pesa asingeondoka mapema, Nonda alikimbia njaa lakini Chama amekuja kipindi Simba ipo vizuri ndio maana amekaa muda mrefu nyinyi gongowazi udenda utaendelea kuwatoka
 
Hawa ndio walishangilia walipodanganywa Chama kasaini kwao na ikitokea ikawa hivyo watamlamba miguu injinia wao
 
Unatuharibia Uzi wetu....
Utakua muha wewe,halafu mfupi maana una roho mbaya ,Chama anajua hilo liko wazi
 
We nyani kweli yaani Nchimbi ndio umlinganishe na Chama we inaelekea uko kwenye mipasho ya taarabu siyo mpira
 
Ila huyu jamaa Mtibwa walimfanyia kitu mbaya
 
Jamani watu tumejadili sana ile pasi lakini turudi tuangalie lile goli la pili, ule ufundi aliyoufanya kwenye lile goli hata messi the GOAT hajawahi kufanya
 
Hiyo assist leo asubuhi nmetoka kulipia mahali, kodi ya nyumba, mkopo wa HESLB, Madeni yote ya toka mwaka 2015 na nmebakiza chenji ya mil 25 nataka ninunue crown athletes mpya nilingie mujini.
[emoji1][emoji1][emoji1]

Halafu bila shaka ukishanunua crown lazima zibaki pesa za kunywa bia wiki mbili...
 
Yaani wewe acheni kukariri, hao TP mazembe walikua wanamtaka Ajibu, unataka kusema Ajibu ni bora kuliko chama, au Singano alivyokua ameenda Tp Mazembe ni bora kuliko Chama.
 
Hivi Tff kumfungia Luc walikosea. Maana alisema sahihi kua mashabiki wa Utopolo fc wanaropoka tu ka manyani au mbwa. We Utopolo unasema chama hachezi timu ya Taifa la Zambia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Chama kama chama mwamba wa lusaka genius wa mpira kuwahi kutokea katika ligi yetu akiyafanya makubwa apendavyo akiwa na kikosi cha mabingwa wa nchi

Nipo naangalia lile goli la pili ndio nimejikuta naandika yote hayo duuh huyu mtu huyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…