Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Point ya kukimbiwa ni ipi?Mbona unamkomalia olunga.. nimeshasema simjui.. wewe unaemjua ndie uniambia olunga alicheza miezi chini ya sita kama samatta na nonda au mwaka ligi ya bongo,
Pili acha ujanja ,, usikimbie point nimekuwekea link ya ranking za caf usijifanye hujaiona? Kanitafutie timu ya msuva
Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita... msuva na chama wote wa kawaida tu kama nchimbi ndio maana walicheza ligi ya bongo miaka kibao
Leta nafasi ya timu ya msuva, sina mda wa kuanza kutafuta maana najua ni timu nzuri.
Olunga nani kakwambia amecheza Tanzania?
Rudi nyuma kasome vizuri utanielewa.