Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Ninyi Mbumbumbu watu wa ajabu sana mnasifia hata kitu cha kawaida mtu anasema hajawahi kuona pasi kama ile duniani kumbe dunia yake ni Daresalaam mtu anayejua mpira atabaki simba si wangemchukua nje huko
 
Bodaboda FC au Mbumbumbu ni tatizo yaani Chama kutoa ile pasi tena kwa timu kama biashara unajisifu
 
Acha ubishi, mpira umebadilika. Mchezaji kutouzwa timu kubwa kunaweza kusababishwa na mambo mengi. Ikiwemo mkataba, umri, mipango ya timu anayochezea. Simba Wana miaka minne Sasa hawana sera ya kuuza wachezaji sio kwamba ofa hazipo. Na sio kila ofa inayofika kwa klabu lazima itangazwe.

Usifananishe Simba na Yanga miaka ya nonda shabani na Sasa. Sasa hivi Kuna watu Wana elimu ya mpira. Unaweza kuuza mchezaji bilioni afu ikasababisha hasara ya zaidi ya bilioni. Timu inakua mbovu, mauzo ya jezi yanashuka, watu kuingia uwanjani wanapungua.

Ukumbuke kupata wachezaji kiwango cha chama kwa investment yetu hapa bongo sio rahisi ukimuuza unaweza kuyumba hata miaka mitano. Angalia Yanga mwaka Jana kasajili wageni wangapi na December katimua wangapi, January kasajili wangapi afu June katimua wangapi. Unadhan mateso wanayopata wakimpata mchezaji mzuri watamuuza kirahisi? Simba na Yanga hawategemei faida ya kuuza wachezaji. Wanategemea mapato ya uwanjani na mauzo ya jezi na hela za wadhamini.

Zipo timu nyingine Africa zina kipaumbele Cha kuuza wanategemea faida ya kuuza ila sio Simba na Yanga. As Vita unaowatajataja wanakupa mukoko wao wanamchukua tshishimbi, mwaka Jana walimchukua zana coulibary. Kwako wewe zana na tshishimbi ni zaidi ya chama? .
 
Wapi nimewataja As vita? Tatizo lenu mnalazimisha mambo... katafute nilipoitaja As Vita hata mara moja kwenye post zangu kisha unioneshe

Kisha isome hii "Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita...
 
Tuambie ni timu gani zimemtaka Chama na simba wakakataa yule ni mchezaji wa kawaida na ndio maana hata mechi za Ihefu na Mtibwa alitiwa mfukoni ila mnampamba mno kuzidi kipimo hatuna jina lingine zaidi ya MBUMBUMBU
 
Walter pass,man on space man with ball,ball in net '" simba 4 classic asist from chama ,hii mwaka wa tatu sasa dunian haijatolewa
Alex Kashasha
 
akili tele
 
Ninyi Mbumbumbu watu wa ajabu sana mnasifia hata kitu cha kawaida mtu anasema hajawahi kuona pasi kama ile duniani kumbe dunia yake ni Daresalaam mtu anayejua mpira atabaki simba si wangemchukua nje huko
Ninyi Mbumbumbu watu wa ajabu sana mnasifia hata kitu cha kawaida mtu anasema hajawahi kuona pasi kama ile duniani kumbe dunia yake ni Daresalaam mtu anayejua mpira atabaki simba si wangemchukua nje huko
We pale Deportivo de La Utopolo nani anapiga kama ile?
 
Tuambie ni timu gani zimemtaka Chama na simba wakakataa yule ni mchezaji wa kawaida na ndio maana hata mechi za Ihefu na Mtibwa alitiwa mfukoni ila mnampamba mno kuzidi kipimo hatuna jina lingine zaidi ya MBUMBUMBU
Muulize HARUNA NIYONZIMA ndio anajua Vibe la Simba kipindi Chama anaivusha timu kwenda MAKUNDI na Q.FINAL.

Yanga 0-3 Kagera
 
Wapi nimewataja As vita? Tatizo lenu mnalazimisha mambo... katafute nilipoitaja As Vita hata mara moja kwenye post zangu kisha unioneshe

Kisha isome hii "Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita...

Mkuu, hoja yako ya mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania kwa zaidi ya miezi sita naipinga kama ifuatavyo;-

1. Samatta (uliyemtaja kwenye mfano wako mwenyewe) amecheza ligi ya Tanzania kwa zaidi ya hiyo miezi sita. Alisajiliwa na Simba toka African Lyon ambayo ilikua inacheza LIGI YA TANZANIA.

2. Hoja yako hapo juu, inamfanya YIKPE kuwa mchezaji bora na mzuri kuliko Chama, kuliko Niyonzima, kuliko Lunyamila na wengine wengi...

Huenda tu una tatizo binafsi na Chama au timu anayoichezea, kitu ambacho sisi tunapaswa kukiheshimu (tofauti zenu).

Ila kwa muono wa kimpira, Clatous is someone.
 
Samatta lyon kacheza muda gani na simba kacheza muda gani? Weka idadi ya mechi za ligi kuu alizozicheza samatta? Chukua za lyon jumlisha na za simba.. weka idadi ya mechi za ligi kuu alizocheza samatta?

Hujui hata samatta african lyon alicheza kama youth career... simba ndio proffessional career yake ya kwanza.. unaujua mkataba wa samatta na lyon ?

Naona unahamisha magoli.. wapi nimemtaja Yikpe katika post zangu ?

Post zangu mifano yangu ni nonda shaban na mbwana samatta ndio nimewataja sana..

Haya tafuta majibu urudi kuipinga hoja ? Samatta simba kacheza miezi mingapi?

Hujaona post nilizomponda hata msuva sio bora wa kutisha.

Kama msuva nimempinga naanzaje kumsifia yikpe
 
Nonda hakununuliwa Tanzania, alikimbia Tanzania. Akakimbilia Afrika Kusini , narudia hakuuzwa Tanzania
 
Nonda hakununuliwa Tanzania, alikimbia Tanzania. Akakimbilia Afrika Kusini , narudia hakuuzwa Tanzania

Huko africa kusini alienda baada ya kucheza yanga miezi mingapi? Hujui ukiajiriwa sehemu pesa unalipwa kutokana na kuuza huduma yako.. je nonda africa kusini alikuwa anacheza bure bila malipo? Ama alikuwa anauza huduma yake ya kucheza mpira? Je hao aliokuwa anawauzia huduma ya kucheza mpira hawakuwa wanunuzi wa huduma yake?

Na africa kusini alienda kwenye majaribio akiwa na bakari malima.. hujiulizi mbona bakari malima alikataliwa na akarudi bongo ila nonda alifaulu, ndipo utajua tofauti ya mchezaji bora na mchezaji wa kawaida

Unajua hata Yanga nonda alikujaje?

Narudia tena mchezaji bora hachezi ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita
 
Jamani watu tumejadili sana ile pasi lakini turudi tuangalie lile goli la pili, ule ufundi aliyoufanya kwenye lile goli hata messi the GOAT hajawahi kufanya
Lile goli la pili ukigiogle thamani yake ni milioni 200 na ushee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…