RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Acha uongo :ulisikia wapi Marekani au UK private schools na government schools wanafundishwa kwa lugha mbili tofauti kama Tanzania😂😂au bado haujajua shule za msingi Tanzania mfumo wake haupo sawa kwa iyo unaona fresh tu watoto wengine wapewe elimu kwa English na wengine kwa Kiswahili😂😂 tulia tafakari vizuri utaona kasoro , ila lugha ya kufundishia kuanzia secondary hadi chuo ipo fresh tatizo hapo kwenye primary schools,*&nurseryUna point ila kuhusu Lugha za kufundishia hiyo mbona ipo kwa Nchi nyiingi zilizoendelea (Nchi nyingi tu za Ulaya ambazo Kiingereza sio Lugha ya kwanza wana mtaala wa Lugha yao ya Asili na Mtaala mwingine wa Kiingereza na Hata Vyuo hadi Vyuo Vikuu; Mtu akitaka kuomba kutokea Nje mfano Africa, anatakiwa kuwa makini kuomba chenye mtaala wa Kiingereza
Uliza China, Ujerumani, Holand nk