Salhat
Senior Member
- Oct 14, 2018
- 182
- 417
[emoji1][emoji1][emoji1]dahTena yule waziri wa Elimu,Ndalichako ni muhanga wa lugha kuliko hata Jiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]dahTena yule waziri wa Elimu,Ndalichako ni muhanga wa lugha kuliko hata Jiwe!
Unafikiri kila mtu ni mwanasiasa humu?Safi saana matusi kwenu ndo ilani ya uchaguzi mwaka huuu.
Hakuna mtu hapo mkuu tuikomboe kwani nchi imetekwa?Mnyonge mnyogeni haki yake apewe, Lissu leo amenigusa kwenye swala la lugha ya kufundishia. Jambo hili limekuwa mwiba kwenye elimu na maisha ya Watanzania miaka na miaka.. Ni ukweli usiofichika kwamba lugha ya kufundishia ni tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Magufuli mwenyewe ni mhanga Mawaziri wetu ni wahanga, Wabunge ni wahanga. Tuunge mkono chadema vijana wetu wapone.
Magufuli huongea kwa Kiswahili na kuhubiri kukuza Kiswahili si kwamba anakipenda sana. sababu kubwa ni kwamba hajui English vizuri, Ingawa alikua mwalimu na PHD aliandika kwa kizungu. Yeye mwenyewe ni mfano mzuri wa halihalisi na shida tuliyonayo kwenye elimu yetu. Lakini cha kushangaza hajachukua hatua kundoa shida hii inayoliamiza tafa. Tundu lisu ameona tatizo na yupo tayari kulitatua.Tumunge mkono Lisu tuiokoe Tanzani.
Kwenye hili la elimu tuambiane ukweli. Hatutaendelea kwa kuhimiza vijana wawe wamachinga, wajaze mitaa wakichuuza vitu vya mchina wakati maduka yapo. Leo Barabara, Reli nk ni wageni wanajenga. kwani nani alienda kujenga Reli China au Korea? Kijana akitoka na zero form 4 utampeleka wapi? CCM imetuangusha kwa tangu Uhuru. Tanzania tunahitaji mabadiliko.
Vijana wetu wengi wanashindwa kupata maarifa ya kutosha mashuleni na vyuoni kwa sababu tu hawaelewi lugha inayotumika kuwafunza. Mfano;mtihani wa kitato cha 4 si mgumu kiasi cha zaidi ya nusu ya wahitimu kupata alama (division) 4 na 0.
Wawekezaji wakija Tanzania wanashindwa kupata wafanyakazi wanaoweza kuwasilana nao vizuri na wenye weledi na marifaya ya kutosha kwenye lugha. Matokeo yake wanaamua kuajiri Wakenya kwenye nafasi za juu. Uliza Managers kwenye makampuni makubwa hapa kwetu ni akina nani. Tunge mkono Lisu Tupate Tanzania mpya.
Tanzania itaweza tu kusonga mbele endapo tutaamua kuborosha elimu yetu itowe wasomi wenye viwango vya kimataifa na sio kupelka watoto shule kwa mazoea tu lakini watoka watupu.
Hakuna nchi yoyote Duniani amboyo ina mifumo miwili ya lugha za kufundia kama ilivyo kwa Tanzania. Wanachi waliona tatizo hilo wakamua kuazisha shule zinazofundisha kwa Kingereza ili kuziba pengo, hivyo Tanzania hakuna watoto wanafunzwa kwa Englishi na Wale wa Kiswahili.
Tundu Lissu na CHADEMA ameamua kulivalia njuga suala hli tumuunge mkono.
Mimi nakuelewa kuna wanafunzi wanapata shida kwenye kuchanganya lugha mbili. Kwa upande wangu, sidhani kama lugha mbili ambazo ni kiswahili kwenye shule ya msingi na kingereza sekondari au chuo ni shida. Ukiwa shule ya msingi unasomeshewa somo la kingereza kwenye madarasa yote mpaka utakapofika darasa la saba. Na hii inatakiwa pale unapofika sekondari, basi angalau unajuwa kutumia lugha ya kingereza na pia una hazina ya lugha mbili yaniShida sio kuongea kinge, shida ni kuwa mwanafunzi hawaelew wanachofundishwa shuleni. Mtu anatakiwa also english waikati huo huo masomo mengine yanafundishwa kwa kiengereza!
Tuwe na lugha moja tu tokea chekechea mpaka chuo, km ni kiswahili bas ni mwanzo mwisho na ndo wachina wanafanya hivyo na english huwa somo la giada. Like wise kwa kiengereza.
Watu wanapata changamoto mavyuoni including myself. Kwahiyo tuchague lugha moja, english au swahili. SWALI NI, KISWAHILI KINAJITOSHELEZA KUFUNDISHIA MASHULENI NA CHUO KIKUU KAMA WACHINA WANAVOFANYA?
Tatizo sio unaishi wapi, tatizo ni mwanafunzi anatakiwa kupewa nyenzo zote ikiwa na pamoja na walimu wenye weledi wa juu, vitabu, vitendea kazi, madarasa nk. Huwezi kusema mwanafunzi kashidwa kusoma kama hujampa ushirikiano wa kutosha na vifaa vitakavyo msaudia kutimiza malengo yake.Mbona unaongea kama vile watu wote wanaishi daresalam au watu wote wana uwezo kifedha.Lugha ni zaidi ya kuongea na kuandika.Lugha ndo msingi wa maendeleo nahili sio jambo jepesi jepesi kama unavyolichukulia.
Una werevu gani wewe punguani kama kuuzwa ushauzwa zamani kama ulikuw hujui ndio maana unapewa elimu ya kuunga unga usitoke hilo tongo tongo lililo kwenye jicho lako kalaghabahoKwa sisi werevu hatuwezi kumpa kura yetu Lissu piga ua. Ila kwa wale wadukuwaji ndo mtakaompa kura lissu. Kila la heri kutuuza watanzania.
Kama mnajua changamoto za elimu ni pamoja na mazingira kwa nini mdanganye watanzania kwa taarifa za uongo??Unatoa mifano ya nchi ambazo kuanzia mazingira ya mwalimu,mwanafunzi na shule yenyewe yako vizuri.Hebu itazame tanzania alafu niambie hicho ulichokiandika kama kinawezekana hapa bongo kwa hali iliyopo sasa.Kwasababu hapa changamoto sio uwezo mdogo tu wa mwalimu kufundisha bali ata mwanafunzi mwenyewe anaweza kau na uwezo mdogo kutokana na changamoto kadha wa kadha zakimazingira,lishe n.k.
Napenda sana kutumia akili ndugu...sasa tunasubiri nini kufuta Kiingereza tukomae na Kiswahili kama wachina wanavyotumia lugha yaoWewe mwanasaccos hapo Afrika ya Kusini tu wameamua Kiswahili kuingizwa kwenye mtaala wao wakufundishia kwenye shule zao!! Wewe unadharau Kiswahili!!