Wale madoctor wa sudan habari zao zimeishia wapi bado wapo muhimbili kwa anaye jua atujuzeHabari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.
BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.
Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.
Maoni yenu tafadhali.
Siraha zinauzwa na makampuni binafsi na huko nje ni biashara halali inayolipa Kodi hakuna namna utawazuia wasiuze sirahaSawa ni civil,lakini SAF na RSF wanapata wapi silaha hizo.
Habari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.
BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.
Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.
Maoni yenu tafadhali.
Usa akitia neno anaitwa mchonganishi , acha ajikite panapomuhusu , China anaeutaman superpower nae yupo kimya hlf ndo mnamuona mkomboz huyu China ilihali wasudan wanauana Kwa silaha za wachina na warusiHabari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.
BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.
Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.
Maoni yenu tafadhali.
Mmewaoa hivyo hivyo na flat screen zao,watanzania mna roho ngumu sana!!Baadhi yao tulishawaoa,so possibility za kurudi Sudan ni ndogo sana.
Siku wakijamfahamu mchina ndiyo akili zitawakaa.Usa akitia neno anaitwa mchonganishi , acha ajikite panapomuhusu , China anaeutaman superpower nae yupo kimya hlf ndo mnamuona mkomboz huyu China ilihali wasudan wanauana Kwa silaha za wachina na warusi
Wazungu wanafaidika na mateso na vifo vyetu weusi, hutawasikia wakitupigania au kutusemeaHabari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.
BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.
Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.
Maoni yenu tafadhali.
Shida ya Wasudani wanagombana wenyewe sio taifa lingine limewachokoza Mkuu soo ni wao wenyewe wakae wazungumze washighulike na mambo yao ya ndanii.Habari wanajf.