Tuikumbuke Sudan pia sio kila siku Israel na Ukraine

Dede 01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
1,182
Reaction score
2,248
Habari wanajf.

Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.

Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.

BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.

Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.

Maoni yenu tafadhali.
 
Wale madoctor wa sudan habari zao zimeishia wapi bado wapo muhimbili kwa anaye jua atujuze
 
Habari wanajf.

Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.

Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.

BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.

Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.

Maoni yenu tafadhali.

Mkuu siyo ungeanzia na kina Soka, Kipanya, Boni Yai au Kibao kabisa, au?
 
Habari wanajf.

Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.

Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.

BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.

Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.

Maoni yenu tafadhali.
Usa akitia neno anaitwa mchonganishi , acha ajikite panapomuhusu , China anaeutaman superpower nae yupo kimya hlf ndo mnamuona mkomboz huyu China ilihali wasudan wanauana Kwa silaha za wachina na warusi
 
Siku wakijamfahamu mchina ndiyo akili zitawakaa.
 
Habari wanajf.

Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.

Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.

BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.

Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.

Maoni yenu tafadhali.
Wazungu wanafaidika na mateso na vifo vyetu weusi, hutawasikia wakitupigania au kutusemea
 
Habari wanajf.

Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.

Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.

BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.

Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.

Maoni yenu tafadhali.
Shida ya Wasudani wanagombana wenyewe sio taifa lingine limewachokoza Mkuu soo ni wao wenyewe wakae wazungumze washighulike na mambo yao ya ndanii.
 
Back
Top Bottom