Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Habari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na kuwasaidia waafrika wenzetu kutoka Sudan.
BBC SWAHILI walitangaza ya kuwa idadi ya silaha zinazoingizwa Sudan ndani ya mwezi ni kubwa kuliko idadi ya misaada na vyakula vinavyoingizwa nchini humo.
Lakini hili suala halijawahi kuongelewa humu Jf.Ila leo kuna kiongozi wa Hezbonllah ameuliwa,watu wamejadili hilo suala saa chache baada ya hilo tukio.
Maoni yenu tafadhali.