Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Unazichukulia wap chief namimi natamani kufanya biashara Kama hiyo tatizo Ni wap nitapata Mzigo.Habari,I hope mu wazima wa afya
Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei zake [emoji120]
Zilete huku pia PwaniPlatformsHabari,I hope mu wazima wa afya
Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei zake [emoji120]
Asante,sana mkuuKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Sawa,mkuu ngoja nifanye hivyoZilete huku pia PwaniPlatforms