Tuinuane wakuu

Tuinuane wakuu

Winga dalali

Senior Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
196
Reaction score
265
Habari,I hope mu wazima wa afya
Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei zake 🙏
 
Habari,I hope mu wazima wa afya
Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei zake [emoji120]
Unazichukulia wap chief namimi natamani kufanya biashara Kama hiyo tatizo Ni wap nitapata Mzigo.
 
Back
Top Bottom