Tuiombee sana CHADEMA

Tuiombee sana CHADEMA

CCM ni lidubwashwa kubwa achana na safu ya uongozi unayoiona ya sijui mwenyekiti, makamu, katibu mkuu (na safu nzima ya uongozi).

Hiko chama kina walinzi wake wa kudumu ambao wamebobea kweli-kweli kwenye siasa na washashika nafasi za juu kwenye uongozi za kuendesha taasisi zingine za serikali.

Baada ya pilika za uchaguzi wanaingia kati kuhakikisha watu wanarudi kwenye mstari, kazi yao ni kuilinda CCM.

CDM aina luxury ya kuvurumana wenyewe, shughuli ya kuwaunganisha watu baada ya mgawanyiko wa chaguzi sio ndogo.

CCM wenyewe hawana hizo skills, ni walinzi wao chama ambao ni watu nyeti awali serikalini.

Watu ambao mnadhani siasa za Lissu ni sahihi amuielewi CCM, unadhani ni ya mzaha-mzaha.

Sasa kama CCM chama kikongwe kinategemea walinzi wake waliobobea kwenye siasa na walikuwa na nafasi nyeti serikalini huko nyuma kuwaweka sawa.

Jiulize CDM ambayo aina hao watu, hao NCCR Mageuzi na CUF havikudhoofika bure bure.

Political tip (CCM awabahatishi umoja wao).

Kushabikia siasa za Lissu ni utoto tu wa kutoelewa siasa za Tanzania.
Yaani nashangaa mno watu wanavyojidanganya kuwa lisu ana nguvu sana ya kuitisha CCM!!!, Yule wanajua namna ya kumuendesha kama tiara,

Wanamtafutia mtu mmoja tuu serikalini, kazi yake ni kumlisha fake informations!!! Ndani ya mwezi tuu anadharaulika
 
Unawaombea watu wahuni Kama hao wanaoshirikiana na Ccm kuua watu
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
Wewe mchawi amka usije ukakojolea kitandani.
 
Shida ni akili ya mwenyekiti kama anakipenda chama kweli akubali kukaa pembeni,Zito amemshinda akili.
 
Usiamini kwenye upofu kiongozi unachotakiwa kujiuliza ni kwa nn Tanzania ina wapinzani wa hovyo,Hv unadhani haya yanatokea kwa Tanzania tu,vyama tawala hiyo ndio kazi yao ww ulitaka wawaache bila kuweka propaganda zao.Kikubwa hapa ni kitu kimoja tu nacho ni UIMARA wa viongozi wa vyama pinzani basi,ukiona chama kinajinasibu kina zaidi ya miaka 25 kwenye upinzani na kinaishia kulumbana kisa kugombea uongozi ndani ya Chama kwa njia za kidemokrasia,basi ujue hicho chama hata kikipewa dola hakijajiandaa,lazima mjue kama chama mnataka nini. Unaimba Demokrasia halafu hiyo Demokrasia ikihamia ndani ya Chama chako unaloose control,unachanganyikiwa na hutaki.Kubali viongozi wetu wa vyama pinzani hawajajipanga kwa lolote.Ukiyumbishwa ukapuuza ujinga huo ujue umekomaa.
Umeongea Jambo la msingi sana
 
Confirmed Chadema ni Saccos ya Mbowe, chama Cha Wachaga

Subirini James akomae komae kushika Uenyekiti aje arithishwe
 
Yaani nashangaa mno watu wanavyojidanganya kuwa lisu ana nguvu sana ya kuitisha CCM!!!, Yule wanajua namna ya kumuendesha kama tiara,

Wanamtafutia mtu mmoja tuu serikalini, kazi yake ni kumlisha fake informations!!! Ndani ya mwezi tuu anadharaulika
Sasa Lisu ni tofauti kabisa , kesi za mchongo sio rahisi kufanikiwa kwake kwa sababu hafanyi jambo lolote nje ya katiba na sheria.
Tundu Lisu Ana moyo wa haki .Tundu Lisu ni muwazi , muadilifu na anaichukia Rushwa kwele kweli .
Kwa uadilifu wa Lisu ni wazi kuwa ana kibali mbele za Mungu kwa ajili ya kuijenga Tanganyika yenye haki katikati ya rasilimali nyingi alizoziumba Mungu kabla ya Kuwepo kwa CCM na Chadema . Tundu Lisu amesimama na wananchi katika kupigania maisha ya wengi
Credit: 1000 digits
 
Ishu sio kusikika unasikika kwenye nini bad news au good news? Huku sio entertainment kwamba Kiki yoyote kwa msanii wa music inampa jina
Hapa Tanzania kama hujui level ya ujinga ilivyo nikupe siri: mtu aliyekamatwa ugoni na jina lake linasikika na kuzoeleka na watu akigombea ubunge na wewe usiyesikika atashinda yule mgoni!
 
Hapa Tanzania kama hujui level ya ujinga ilivyo nikupe siri: mtu aliyekamatwa ugoni na jina lake linasikika na kuzoeleka na watu akigombea ubunge na wewe usiyesikika atashinda yule mgoni!
Sio kwenye siasa mkuu na ndio maana kashfa ya ufisadi ilikuwa inamkabiri lowassa ndio ilichangia kushusha kura zake kwa watu kwenye uchaguzi wa 2015.CCM waliitumia Kama kete kumuharibia
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
It's better Mbowe apumzike.
 
Back
Top Bottom