Tuipiganie nchi yetu: "bila wazalendo wa aina ya kina Ibrahim Traore, tungali tupo tupo sana!"

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine?

View: https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc

Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa.

Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida, ila kwetu air bus nzima ya biashara na hadi kina Mwi*jakwu ndani!
 
Ngoja waje waliokaririshwa kuhusu demokrasiaa..Huyu watamtafuta mpaka wammlize halafu baadaye wanaanda kurudi nyuma ...Yaani wanaomini demokrasia ni watu wajinga sana.
 
Traore mwenyewe anawindwa kama swala huko..muda wowote kinaumana. Africa tumelogwa.wazalendo hawadumu wachawi ni sisi wenyewe tukishirikiana na mabeberu
 
Zingatia neno uzalendo , kwani wa aina ya kina G-55 na washirika wao tungetoboa?

Kwani hatimaye tunataka reforms kwa sababu ya nini?
Tunataka Reforms ili Demokrasia na Utawala bora ushamiri nchini.

Sio Wanajeshi kuingia kwenye siasa.
 
Traore mwenyewe anawindwa kama swala huko..muda wowote kinaumana. Africa tumelogwa.wazalendo hawadumu wachawi ni sisi wenyewe tukishirikiana na mabeberu

Kama Lissu na kina Heche tu.

1744224725751.png

Bila kuwasahau dream team kutokea Uru.
 
Tunataka Reforms ili Demokrasia na Utawala bora ushamiri nchini.

Sio Wanajeshi kuingia kwenye siasa.

Mkuu tunataka wazalendo ndiyo maana wengine g-55 na wenzao hatukutaka kuwasikia tokea tulipowaelewa.

Au nasema uongo?
 
Ngoja waje waliokaririshwa kuhusu demokrasiaa..Huyu watamtafuta mpaka wammlize halafu baadaye wanaanda kurudi nyuma ...Yaani wanaomini demokrasia ni watu wajinga sana.

Demokrasia ni sahihi kwa maana asiyefaa atafurushwa pasipona kumlea.

Demokrasia waipende vipi wapenda nyama na pombe za bure?
 
Back
Top Bottom